Kutwa leo ndani ya Kikao cha Baraza la Mawaziri (Extra Odinary Meeting)Walioko kiungani tupeni yanayojili.
Labda anapewa newz za harusi ya binti Lowassa
Kutwa leo ndani ya Kikao cha Baraza la Mawaziri (Extra Odinary Meeting)Walioko kiungani tupeni yanayojili.
extra ordinary meeting lazima kuwe na issue nzito, hawaitani tu kama mnavyoitana jioni kwenye vikao vya mbege na dengerua.Kwa nini tuna hii attitude sisi watanzania?? Hilo baraza nadhani lina kawaida ya kukutana mara kwa mara kwa ajili ya kureview mambo mbalimbali yanayohusiana na wizara zao/serikali kwa ujumla.
Nashangaa kuona wewe unataka upate update? Za nini? Kama wangetaka iwe news si watu wa media wangeitwa? I think we need to spend more time working than speculating what the cabinet meeting will/is expected to come up with!!!
Hii ndio Tanzania ya kizazi cha dot com.Wanadadisi karibu kila kitu kinachofanyika.Kadri kwoledge inavyoongezeka ndivyo watakavyo demand zaidi kutoka kwa viongozi. Kama ulivyo mquote Charles Darwin hapo chini, dawa sio kujitutumua na kufanya mambo kibabe...dawa ni kubadilika ili survival iwepo.Kwa nini tuna hii attitude sisi watanzania?? Hilo baraza nadhani lina kawaida ya kukutana mara kwa mara kwa ajili ya kureview mambo mbalimbali yanayohusiana na wizara zao/serikali kwa ujumla.
Nashangaa kuona wewe unataka upate update? Za nini? Kama wangetaka iwe news si watu wa media wangeitwa? I think we need to spend more time working than speculating what the cabinet meeting will/is expected to come up with!!!
Kutwa leo ndani ya Kikao cha Baraza la Mawaziri (Extra Odinary Meeting)Walioko kiungani tupeni yanayojili.
Anapata baraka toka kwa baraza lake la mawaziri kabla ya kuchukua maamuzi magumu.
hivi na sophia simba yumo ndani? nina wasiwasi asije akalianzisha kwa wabaya wake humo humo yaani kitendo bila kuchelewa, mama yupo faster 5min ahead of normal time.
Baba na mama wakikaa sebuleni usiku kucha kama siyo kawaida yao, budi watoto kuuliza kulikoni.Kama watoto hawaulizi na kukaa kimyaa basi ujue kuna kasoro katika uelewa wao..
JK Rais WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Hawezi hata kumfokea waziri wa hovyo zaidi katika utawala wake Sophia Simba , Makongoro Mahanga na makarunguyeye wengine, atawabembeleza, atawalambalamba miguu, atachekacheka...mwisho wa siku wanaendelea kuvurunda.Big Up Mh. Kikwete waite ule nao lunch ukimaliza anza kuwahukumu usiwaogope hao mimi nakufagilia lakini mabest wanakuharibia
kuna mwanajamvi mmoja amesema labda anawahadithia juu ya mabembea ya Jamaika.Nothing new...Jueni kwamba hakuna analoweza kufanya jipya yule.
Labda anapanga nao jinsi ya kumalizia mwaka na kufanya sherehe za xmas na kuukaribisha mwaka mpya!
Kwa habari ya siasa..mhhh nothing!