Baraza la JK limekaa kuna jipya?

Mmh naona wanachonga dili,ngoja tumuulize the Don Rost tamu maake yeye ndie Don Creole hasa,ukigombana na mkeo unaenda kwake kupata ushauri,ukitaka ubunge unaenda kwake na ukitaka ku EPA unaenda kwake ,ukitaka uwaziri ,ukiranja wa mkoa pia unaenda kwake yeye ndio Alfa na Omega TZ wengine photocopy bana
 
Hehehe
nimecheka sana hizo post hapo juu.
anyway tuone if blue litmuspaper itachange to red
 
Kumbukeni kwamba wameapa kwamba hawataotoa ''siri'' za vikao vya Baraza la mawaziri. Hapa jamvini hatutapata newz zozote zaidi ya umbea!!

Lets hope that wanajadili maswala muhimu kwa maslahi ya Taifa letu. Tujaribu kuondoa negatives kwenye akili zetu. Haiwezekani wakajadli 100% pumba... lazima kuna some parcentage fulani zitatunufaisha. Ni ngumu sana kuwaridhisha watanzania wote
 
Kwa nini tuna hii attitude sisi watanzania?? Hilo baraza nadhani lina kawaida ya kukutana mara kwa mara kwa ajili ya kureview mambo mbalimbali yanayohusiana na wizara zao/serikali kwa ujumla.

Nashangaa kuona wewe unataka upate update? Za nini? Kama wangetaka iwe news si watu wa media wangeitwa? I think we need to spend more time working than speculating what the cabinet meeting will/is expected to come up with!!!


Ni tabia mbovu...baada ya kufanya kazi, wanarandaranda kutafuta majungu?Hatuwezi kuendelea kwa utaratibu huu.
 
Kwa nini tuna hii attitude sisi watanzania?? Hilo baraza nadhani lina kawaida ya kukutana mara kwa mara kwa ajili ya kureview mambo mbalimbali yanayohusiana na wizara zao/serikali kwa ujumla.

Nashangaa kuona wewe unataka upate update? Za nini? Kama wangetaka iwe news si watu wa media wangeitwa? I think we need to spend more time working than speculating what the cabinet meeting will/is expected to come up with!!!

As citizens of this country we have every right to speculate what resolutions the cabinet is bound to come out with for the simple reason that those resolutions affect our lives!!
 
OATH OF A MINISTER
I, ..............................................................., do swear that I will well and truly serve the United Republic of Tanzania in the office of Vice-President/Minister, that I will to the best of my judgement, at all times when so required, give my counsel and advice to the President of the United Republic of Tanzania for the good management of the public affairs of the United Republic, and that I will not directly or indirectly reveal such matters as shall be referred to the Cabinet and committed to my secrecy. So help me God.
 
extra ordinary meeting lazima kuwe na issue nzito, hawaitani tu kama mnavyoitana jioni kwenye vikao vya mbege na dengerua.
sasa Watz wameamka, wanadadisi kila jambo hii ni katika kulinda mustakabali wa nnchi yao, sasa hivi hata ukiongea na mkeo juu ya kuhujumu nchi ujue kesho watu wote wamejua, hii ni nzuri sana.

Mpwaa nkuulize mustakabali wa nchi (Tanzania) ni upi???
Na Mustakabali wao ni Upi???

Wee huoni nchi yajieendea tu haina kichwa wala miguuu just observe mambo yote yanayotokea na yaliyotokea na jinsi serikali yetu inavyo yashughurikia utaona ni mizahaa mingi na maskini ndie anaye nyongewa kati na matajiri kupeta sasa Huo Mustakabali uko wapi?

Huo mustakabali kama ungelikuwepo nchi ingalikuwa mbali sana wapwaaaa vitu viwili au vitatu vingalikuwa vime punguza hata umaskini (Utalii,Madini,Maziwa makuu matatu Victoria,Tanganyika na Nyasa) ukiangalia mpaka leo ni porojo na kukimbiali kutunga kauli mbiu Kilimo kwanza huku ruzuku za wakulima hatujui hata zinapangwaje na kutolewaje jamani siasa ni nyingi sana nadani ya nchi hii.

 
Briefying za safari na jinsi lowassa and his company wanamyomsumbua

uchaguzi mkuu nini kifanyike ushindi wa kishindo

utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na pambio jipya la kuwahadaa watanzania..
 
Bi Simba ameenda kutoa taarifa ya mfadhili katika send-off ya binti wa EL. Huyo mfadhili anaweza kuwa potential kwa uchaguzi mwakani.
 
kwani huwa kuna kuwa na mapya kutoka kwenye kikao cha balaza la mawaziri? especially hili la JK, naona labda kilichojili ni hadisi tu nzuri za safari za mkulu na kuwapongeza kwa kuhudhuria shughuri ya Lowassa
 
Kwani kwenye kikao si kunakuwa na fweza za kikao? Hata kama wataongea upupu tu, bora senti imeingia.
 
vincible umenichekesha kweli.
sidhani kama kabinet ikikaa kunakuwa na posho. ni kikao cha kazi. kama wanalipana poshi SITAWAELEWA katika hili
 
Speculations as usual!! I said it in the begining lets do our work tuachane na masuala ya kusubiria ati kikao kischokuwa cha kawaida who know the normal and abnormal and how do you standardise them?

Leteni ripoti ya kikao hicho basi tuone sasa?
 
..........when the brain ceases to think critically anymore,there is nothing new one can expect from that same brain again......
 
Back
Top Bottom