FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,211
Bora umenisaidia mzee, nilishawahi kumshauri jamaa asipende kudownload picha kwenye mitandao na kuzipost hapa bila uhakika, as if yeye ndio kapga picha!
tazama sasa watu wanaoishi jirani na mlima na kuuona kila siku wanambishia, yeye analazimisha kwa ushahidi wa picha ya mtandao..
daah! jamaa huyu bana..
Nway, studies zinasema hatua madhubuti zisipochukuliwa, barafu inaweza kuyeyuka yote in two decades.. So ni jukumu letu watanzania kutunza misitu na mazingira yote kwa ujumla.. Otherwise we'll all suffer the consequence..
Mara nyingi huwa namuuliza ana miaka mingapi? Maana huwa ana post picha humu ambazo hazina maana kabisa.
Mara ooh nyumba yangu, mara mke wangu, mara familia yangu nashangaa huu hajasema "mlima wangu". Ana mambo ambayo wanafanya watoto wa miaka mitano.