Hujagusia kabisa the meltdown of polar ice. Umekimbia angle hiyo ya discussion.
Hiyo mbona ipo wazi. Na kwenye post yangu sehemu ya mwisho nimegusia. Mimi sijapinga kuyeyuka kwa theluji kule Arctic. Ila ninachokisema ni juu ya siasa za wanasiasa na wanaojifanya wataalamu, eti kwamba kuyeyuka huko kunapelekea sea level rising. Ukweli wa kisayansi ni kwamba, kwa kiwango kikubwa sana ongezeko hilo linasababishwa na litasababishwa na thermal expansion ya maji ya bahari; kwani maji yanapochemka yana-expand. Hivyo kupelekea sea level rising.
Siasa za kuyeyuka kwa theluji na sea level rising ni mbinu za kupata sympathies kutoka kwa wanadamu, ni siasa kati ya UNFCCC na IPCC.......
Of course barafu ikikauka, maana yake mito inayopata maji kutokana na barafu itakauka. That is a logical tautology. How can you argue against that? Mambo mengine ya significance ya amount ni secondary.
Chifu, nimeshakwambia katika Mlima KLM hilo suala halina logic. Sasa wewe bado unang'ang'ana nalo. Nimekupa na matokeo ya tafiti yanayodhihirisha hivyo, ila bado tu. Basi, nakuomba tena, ebu leta matokeo ya tafiti katika mlima yanayooonyesha madhara ya kuyeyuka kwa theluji hiyo kwenye mito inayozunguka ikolojia ya Mlima. Nafahamu Mto Pangani ni unategemea sana ikolojia ya mlima; sasa ebu leta ushahidi wa kuonyesha athari za kuyeyuka kwa theluji katika mito hiyo.
The idea kwamba kuna mtu mwenye authority katika haya mambo is laughable. Usiniambie nani ana authority, niambie logic ya idea yake. Aristotle alikuwa an authority in all matters, aka deduce uongo ulioaminika kwa karibu miaka 2000. Kila mtu aliyesoma anaogopa kumpinga, kwa sababu yeye ni Aristotle, an authority. Mpaka akaja Galileo akafanya experiment na kugundua alichosema Aristotle, the authority on physics, kuhusu vitu vizito kuanguka kwa kasi zaidi in a natural state kuwa si sawa.
Kumbe tunaelewana. Kwa wakati huu, huyo niliyemtaja ndiye mwenye authority, mpaka atakapotokea mtu mwingine na kusema vingine ama tofauti, basi hiyo authority ndipo itakapokoma. Mbona hilo ni jambo la kawaida katika akademia na dunia ya kiuwanazuoni!!
So don't flaunt authorities, every authority you can cite has a counter authority I can cite since the matter is now rather political. Nipe logic. Don't try to intimidate me with names and authorities.
Na nimekuomba ulete ushahidi kuonyesha tofauti na vile nimekuonyesha. Wewe ulileta ushahidi wa kwanza, mimi nikakupa counter arguments. Sasa leta counter arguments nawe......
Logic ya idea inayopatikana katika counter arguments nilizokupa, ndiyo inamfanya huyo bwana Hemp awe na authority katika hili......la sivyo kama arguments zake zingekuwa illogical hasingekuwa na authority......katika akademia, authority inapatikana kutokana na citations, sasa unapoongelea suala la kuyeyuka kwa theluji ya mlima KLM, most cited people ni hao, Professors Lonnie Thompson na Andreas Hemp.
Even though the direct contribution of snow/ ice to the rivers and rivulets is statistically insignificant, the contribution of this ice to the hydrosystem is not to be underrated. You cannot remain with a stable ecosystem after the depletion of the ice.
Bado unanilisha maneno chifu.
If you read careful what I wrote about glaciers, montane forest and hydrology in Mt. KLM, you can't write what you have written above.
I can't underrate the contribution of glaciers for the mountain's ecosystem functioning.
I did say this: melting glaciers have caused exposure of black 'dirty' surfaces at the mountain. Such surfaces absorb sun's rays, causing increased temperature within the mountain. The increased temperature has led to intesified wildfires in montane forests, leading to reduction of the forests' capacities to create 'cloud forests' that are pivotal for hydrological functions.
Therefore, without glacier melting, we couldn't see the reduction of montane forests' capacities to form 'cloud forests'.
If you do understand the logic behind, you wouldn't say that I underrate glaciers' contribution to the mountain's ecosystems.
My only problem is in your first reply to the topic,
"Barafu ikikauka maana yake mito inayopata maji kutokana na barafu ya mlima nayo itakauka." Sasa nimekuomba ulete ushahidi wa mito itakayokauka kutokana na kukauka kwa barafu hapo Mlima KLM.