Picha itakuwa ya siku nyingi kidogo, nipo maeneo ya kcmc hapa, japo ni kwa mbali kidogo nauona mlima hata sahizi napoandika, umejaa barafu.
Picha itakuwa ya siku nyingi
kidogo, nipo maeneo ya kcmc hapa, japo ni kwa mbali kidogo nauona mlima
hata sahizi napoandika, umejaa barafu.
Hiyo ni stori tu mkuu coz hata saizi japo hapajakucha unaonekana MWEUPEE
hiyo imekaa kaa kama photoshop
![]()
Taswira ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uhalibifu wa Mazingira uliokithiri
Toka tarehe 15 december 2013 barafu ipo tele na mawingu ya kutosha mlima hauonekani vizuri......pia kuna picha iliyopigwa 1928 barafu ilikuwa imekauka vivyo hivyo hili si jambo geni kwa wanaoujua mlima huo.......Daah!! Mzizi mie nimeuona mlima Kilimanjaro leo hii, kwanza hauonekani sana siku hizi sababu ya mawingu mengi ila umejaa barafu mpaka ule mdogo wa Mawenzi!! We njoo uhakikishe uone then uniulize hiyo picha imepigwa wapi na lini!!
Barafu haiwezi kuyeyuka yote halafu ikawa imebaki kidogo. You are not making any sense. Mfumo wa elimu ufumuliwe!kuyeyuka Barafu yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu
Nami nimehisi mkuu. Nilikua Moshi wiki iliyopita. Kila asubuhi nilikua nauangalia mlima toka hotelini kwangu. Kiasi cha Barafu nilichoona kilikua kingi zaidi,si kama hicho hapo juu! Ila ni kweli tuache kukata miti hovyo na tupande miti zaidi.hiyo imekaa kaa kama photoshop
Barafu ikikauka maana yake mito inayopata maji kutokana na barafu ya mlima nayo itakauka.
MziziMkavu, usipende kuamini kila kinachoandikwa kwenye magazeti na kwenye mitandao! Pole.
Bora umenisaidia mzee,
nilishawahi kumshauri jamaa asipende kudownload picha kwenye mitandao na
kuzipost hapa bila uhakika, as if yeye ndio kapga picha!
tazama sasa watu wanaoishi jirani na mlima na kuuona kila siku
wanambishia, yeye analazimisha kwa ushahidi wa picha ya mtandao..
daah! jamaa huyu bana..
Nway, studies zinasema hatua madhubuti zisipochukuliwa, barafu inaweza
kuyeyuka yote in two decades.. So ni jukumu letu watanzania kutunza
misitu na mazingira yote kwa ujumla.. Otherwise we'll all suffer the
consequence..