MFUKUZI
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 933
- 700
Tatizo lako mleta thread una stress nyingi kichwani mwako,nipe jiji duniani ambalo halina foleni,nipe jiji duniani ambalo miundombinu yake haipanuliwi,mradi wa mabasi yaendayo kasi,ni wa historia ya tangu rais wa kwanza,michoro yake na kila kitu vilikuwepo,serikali ya awamu ya nne imekuja katika utekelezaji tu wa kile ambacho awamu tatu hazikufanya,ni sawa na daraja la kigamboni,michoro yake ipo toka jk.nyerere akiwa rais,kikwete kaja kutekeleza,punguza stress,soma vitu uvijue,na sii thread za kuandika ukiwa kwenye foleni.
Acha kutetea upumbavu.... Umeshasikia majiji kama London, New York, Paris na Munich watu wanatumia masaa zaidi ya mawili kufika makazini,,,,, yaan watanzania wengine n makondoo ambayo yanaswagwa hata hayajui yanapelekwa wapi? Hiyo barabara ni kichekesho na hakuna sehem yoyote duniani mabasi hayo eti yaendayo kasi yakatengenezewa barabara yake,,, Hilo bus lililoonyeshwa ni sawa na yanayotumka ulaya na yanatumia barabara moja kama magari mengine.... Ni upuuzi mtupu