Barabara ya Mabatini, Kijitonyama: Nani kala 10%?

Barabara ya Mabatini, Kijitonyama: Nani kala 10%?

Si hiyo tu. Barabara ya bagamoyo - msata ambayo imejengwa kwa fedha nyingi tu na haijaisha imeharibika vibaya sana crocodile cracks all over the road surface. Barabara inayoendelea kujengwa ya Mwenge - Tegeta ni mbovu kupita barabara zote nilizowahi kuona zinajengwa ona mapungufu machache yaliyo dhahiri;
1. Pavement failures on several sections of the road( ruting etc)
2. Road signs improperly installed and some placed on the junction roads
3. Lack of deceleration lanes on major turnings
4. Closed Central reserve at zebra crossings
5. Unnecessary curves close to Bridges
6. Etc

Makosa haya lazima yamesababishwa na;
1. Poor designs
2. Poor Construction
3. Poor supervision
4. Lack of transparancy from project initiation to construction for the projects financed by Japanese grant

Please those are few projects that have been poorly Constructed.

Hii ya Mwenge-Tegeta ndio kituko. Barabara haina hata service road. Yaan hata ukipata breakdown inabidi upaki barabarani.
 
Wako busy na Big Results Now!!!
Wakati huo huo small results zinawapiga chenga!

Hivi vitu kama BRN watu wasitake kuharibu context yake.....YES we need Big Results Now....but not to the detriment ya au ku-undermine Quality...na.pesa ya mlipa kodi......
 
Del Monte ndio wenye tenda ya hizi barabara za mitaani. Namfahamu Bw. Rupia, mmiliki wa Del Monte kama mgawa rushwa wa hali ya juu mno. Hua anagawa bahasha mpaka kwa wafagizi.

Barabara ya Akachube na hii ya Mabatini zina ujazo wa Lami usiozidi hata inch 1. Yaani ni aibu mno kwa kweli, na madiwani + wabunge wamekaa kimya tu! Q

Hao wabunge hawawezi kufanya lolote kwa kuwa na wenyewe ni wachukua RUSHWA wakuu. Hakuna kitu kibaya kwenye Management Kama kukosa Moral Authority.Kikwete hawezi kuwawajibisha wala rushwa wakubwa kama Wakurugenzi wa manispaa na Mawaziri aliowateua wenyewe, Wabunge wakiliona hili wanajua uozo unatetewa na bosi wa hawa watu.Na wao hawawezi kuwawajibisha wa chini yao. Wakurugenzi nao hawawezi kuwawajibisha maafisa wanaosimamia MIRADI. Kwa mishahara ya wakurugenzi TZ (below 3M take home) ni ndoto na Hadithi nzito kuwa na UKWASI waliokuwa nao.Sio jambo la kushangaza kukuta kijana mdogo wa miaka isiyofika 40 anamiliki mali za mabilioni na akiwa mfanyakazi wa manispaa. Tukihoji tunaitana tuna wivu n.k, Hauwezi kupambana na RUSHWA kama hakuna Integrity.Rushwa ni Vita inayopiganwa kutoka Juu, Siku tukipata Head of State anayemaanisha kuwa anachukia Rushwa tutaona mabadiliko.kwani effect itashuka chini. Siku watendaji wa chini wakiona Bosi wao anaswekwa Jela kwa Rushwa hawatathubutu kujihusisha na rushwa, kwani pia hao mabosi zao hawatakubali kuwa compromised.
 
Del Monte ndio wenye tenda ya hizi barabara za mitaani. Namfahamu Bw. Rupia, mmiliki wa Del Monte kama mgawa rushwa wa hali ya juu mno. Hua anagawa bahasha mpaka kwa wafagizi.

Barabara ya Akachube na hii ya Mabatini zina ujazo wa Lami usiozidi hata inch 1. Yaani ni aibu mno kwa kweli, na madiwani + wabunge wamekaa kimya tu! Q
Ni aibu iliyoje kwa mkandarasi mzalemdo kufanya madudu yasiyovumilika kama tunayoyaona.

Mimi nikifikiri hawa ni waItaliano au wachina wasio na uchiungu na nchi hii.
Na waliopokea hiyo 10% toka kwa huyo bwana wa Delmonte mwajidikiaje baada ya kuweka lami ya 10-15mm kinyume na taratibu za ujenzi.

Mkurugenzi wa Manispaa vipu nawe hujatembelewa?
Jamani nchi hii ni yetu , tutakaoijenga ni sisi, na tunaoibomoa ni sisi vile vile!
 
uchakachuwaji upo mwingi sana....sijui viongozi wetu wanafanya nini
 
Del Monte ndio wenye tenda ya hizi barabara za mitaani. Namfahamu Bw. Rupia, mmiliki wa Del Monte kama mgawa rushwa wa hali ya juu mno. Hua anagawa bahasha mpaka kwa wafagizi.

Barabara ya Akachube na hii ya Mabatini zina ujazo wa Lami usiozidi hata inch 1. Yaani ni aibu mno kwa kweli, na madiwani + wabunge wamekaa kimya tu! Q

Sasa watu ndo wanafunguka!
 
Fungukeni, hata kama ulipewa bakhshish njoo hapa na a.k.a yako utueleze ukweli labda tutaanzia hapo kuwajua wabaya wetu. Dawa ya hawa watu ni kuwapiga mawe tumalize hasira zetu.
 
Sasa uliza thamani yake ndio utachoka... nchi hii sio kabisa, ukichunguza sana utakuta watu wamemalizia vibanda vyao huko bunju na mbweni.. manina zetu!
 
Sasa uliza thamani yake ndio utachoka... nchi hii sio kabisa, ukichunguza sana utakuta watu wamemalizia vibanda vyao huko bunju na mbweni.. manina zetu!
Astakafullahi!!!
Mwezi haujaonekana Ustaadh!!!!
 
Mbona mi naona ni barabara ya lami....
attachment.php

Mkuu MMKJJ hata sasa fanya utembelee hapo
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    89.6 KB · Views: 486
Bila aibu kwa kipande cha saint Maries alijitokeza Meya WA ILALA NA KUTETEA HII hujuma Hadharani!! Hii Imekaaje Hii Kampuni na Huyu Mwanasiasa Anayejiita Kijana
 
ukisikia waandisi kanjanja hawa ni kufru. barabara ya polis mabatin inaonyesha mkandrasi amepaka rangi kokoto na kupeleka invoice ya madai ya lami.
 
ukisikia waandisi kanjanja hawa ni kufru. barabara ya polis mabatin inaonyesha mkandrasi amepaka rangi kokoto na kupeleka invoice ya madai ya lami.
ndio maccm..unakuta hapo imeshaharibu nchiikipitisha upuuzi ikiamini itawekewa lami,ni mikoa yote ambayo haijawahi pata lami.wakandarasi wanaamini hawajui lami.cha kushangaza hata hiyo mibunge yao ya nDIOOOOO nayo hajui lami.
 
attachment.php
Barabara hii inayopita karibu na kituo cha Polisi Kijitonyama, maarufu kama Mabatini, haina hata mwaka imeanza kumeguka vipande vipande.Nani kala 10% hapo?
ajabu ipo kati ya mtera na iringa barabara imetengenezwa mwaka jana lakini hawa wachina wa sietco wameanza kuweka viraka ,hii ndio barabara kuu kutoka cape town to cairo jamani magufuli upo
 
ndio maccm..unakuta hapo imeshaharibu nchiikipitisha upuuzi ikiamini itawekewa lami,ni mikoa yote ambayo haijawahi pata lami.wakandarasi wanaamini hawajui lami.cha kushangaza hata hiyo mibunge yao ya nDIOOOOO nayo hajui lami.

Marehem aliyewahi msituni aliwa kusema lami yetu ikibanduliwa ikapelekwa kenya inaweza kufika hadi chooni. tanzania hatuna lami tuna kokoto iliyopakwa mafuta machafu
 
Back
Top Bottom