Barabara ya Mabatini, Kijitonyama: Nani kala 10%?

Marehem aliyewahi msituni aliwa kusema lami yetu ikibanduliwa ikapelekwa kenya inaweza kufika hadi chooni. tanzania hatuna lami tuna kokoto iliyopakwa mafuta machafu
Kule moshi kuna lami zinakwenda sanya juu,machame aisee barabara ni nyembamba ila bado ipo sana .Tofauti ya wanasiasa wa wa nchi hii..wapo tayari kujiibia..kwanini tusiwe na wabaguzi nchini kiasi hiki.
 
Haha..ndio siku moja alisifia sana CCM kwisho akamaliza kwanini sisi tuna maji mengi upande wake una giza,wakati malawi wana maji moja upande wao unawaka taa,kuna boats za kisasa.Alishindwa jua kuwa anasema jinsi ccm ni ya hovyo
 
uko wa panya ni hatari haadi wakizitoa wanazifuata uko wanazitafuna zote
 
attachment.php
Barabara hii inayopita karibu na kituo cha Polisi Kijitonyama, maarufu kama Mabatini, haina hata mwaka imeanza kumeguka vipande vipande. Nani kala 10% hapo?
mzee wa barabara..kweli nimekuaminia kwamba kweli unapata hasira sana na barabara.Umetoka kwa mkulu sasa,kijito....
 
Kule moshi kuna lami zinakwenda sanya juu,machame aisee barabara ni nyembamba ila bado ipo sana .Tofauti ya wanasiasa wa wa nchi hii..wapo tayari kujiibia..kwanini tusiwe na wabaguzi nchini kiasi hiki.
Pro - Chadema bana kila kitu mfano wao ni Moshi tu.
 
mleta mada unamuuliza nani swali hili wakati ww ni mnafiki,mzandiki na swahiba wa wezi wenzio CCM!peleka unafiki wako kule nyambaf
 
Kwashiakor ya ukubwani bana.Hapo kuna ubaya gani huenda yeye hajawai kuona mfano tofauti na huo sasa ww unataka aingie bichwani mwako atoe ----- ulokujaa kama mfano.Au ww mbona kwa ujinga wako kila kitu una-reflect kwenye siasa nhasa kushambulia CDM!Ikitokea tunatoa mfano sehemu ambayo wana maendeleo duni na umaskini ulokithiri tutakutajia Msoga,
 
Pro - Chadema bana kila kitu mfano wao ni Moshi tu.
Nilijua shida yenu ni kushika dola ,kumbe ni laana.Sasa mbona hata hela ya mzizima mmekula,mkaweza barabara hovyo?
 
Yeye mwenyewe mbovu mbona hashitakiwi,kwanza aliwatesa wananchi kipindi chote anajenga kagorofa kake kamoja hapo,acha naye aonje adha ya udhalimu wa utawala anaoshabikia na kuuhudumu
 
mleta mada unamuuliza nani swali hili wakati ww ni mnafiki,mzandiki na swahiba wa wezi wenzio CCM!peleka unafiki wako kule nyambaf
Unafiki na uzandiki ni kusema ukweli?
Mbona unskuwa kams umepandwa na ashki?
 
Yeye mwenyewe mbovu mbona hashitakiwi,kwanza aliwatesa wananchi kipindi chote anajenga kagorofa kake kamoja hapo,acha naye aonje adha ya udhalimu wa utawala anaoshabikia na kuuhudumu
Si bure una matatizo ya kijinsia hebu fafanua ueleweke.
 
Unafiki na uzandiki ni kusema ukweli?
Mbona unskuwa kams umepandwa na ashki?
Hakuna ukweli wowote hapo umekuja na maneno ya kanga ukitaka kujua nini maoni yetu.Bahati mbaya sie si mashosti wenzio.Kama una wasiwasi nina hiyo state hapo juu njoo then you will be serviced too!
 
Huwezi kunielewa kwa vile bado upo kwenye fungate keep in mind mahari ulishalipiwa siku nyingi.
Let me know when your brain will be in gear.

ina wasi wasi na umahiri wako katika masuala ya kijinsia , maana ndio eneo lako la kujidai.
Lakini jibu hoja iliyopo kama mtu mwenye kichwa juu ya mabega na si boga.
Kama unahusika na uozo wa wizi wa mali ya umma sema tu tutakuelewa.
 
bongo bongo tu, mtauana kwa stress, kama wanaokuongoza kichwani si wazima, unategemea utakaa uridhike hata siku moja?
 
ina wasi wasi na umahiri wako katika masuala ya kijinsia , maana ndio eneo lako la kujidai.
Lakini jibu hoja iliyopo kama mtu mwenye kichwa juu ya mabega na si boga.
Kama unahusika na uozo wa wizi wa mali ya umma sema tu tutakuelewa.
Mkuu hao waliokula 10% utawaona kwa utetezi wao humu mitandaoni, na ni wengi toka Halamashauri hadi mkandarasi.
Nenda leo uione barabara tajwa , inasikitisha na hela imekwenda!

Tunapata faraja huyu DC kijana mgeni wa Kinondoni Makonda, ameahidi kula nao sahani moja.
cc Chabruma
 
Last edited by a moderator:
ina wasi wasi na umahiri wako katika masuala ya kijinsia , maana ndio eneo lako la kujidai.
Lakini jibu hoja iliyopo kama mtu mwenye kichwa juu ya mabega na si boga.
Kama unahusika na uozo wa wizi wa mali ya umma sema tu tutakuelewa.
Upuuzi huo kamuulize mlishi wako CCM wala sina mafungamano na kundi la shetani mie.
 
Mkuu beating around the bush haikusaidii sana, zaidi ya kuonyesha kuwa ni kweli you have a pumpkin for a head.
 
Back
Top Bottom