Bar ya Highland Tabata Baracuda inateketea kwa Moto mda huu

Bar ya Highland Tabata Baracuda inateketea kwa Moto mda huu

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
WanaJF nimepita njia ya Tabata Baracuda Vingunguti nimekuta Bar ya Highland iliyoko mbele ya Barakuda Bar hapa Tabata kuelekea Vingunguti inateketea kwa Moto na Zimamoto wako tu wamepaki gari lao wanaangalia sijui wameishiwa maji.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Daaaaaaaaah.....pole ya mmiliki
 
hii si taarifa nzuri kwa machangu.
 
Labda mmiliki ni CDM zimamoto hawajapewa amri...
 
:eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:..............KAMA ALIWEKA BIMA

Yeah_hapo itakuwa njema mkuu,..lakini as far as my experience kuhusu hawa wafanyabiashara wengi wa bongo ni wachache sana waliofanya hivyo.....anyway lets wait..!
 
Poleni ila acha iugue mungu mkubwa, baa na ulevi hata mungu havitaki.
 
Back
Top Bottom