Bar ya Highland Tabata Baracuda inateketea kwa Moto mda huu

Bar ya Highland Tabata Baracuda inateketea kwa Moto mda huu

Du sijui ukumbi umepona,maana ukumbi wao mzuri sana kwa shereher'
 
Bar ikiungua huwa hamna hata hasara sana maana yanangua makuti na viti vya plastic ambayo thamani yake haizidi laki 2.
 
Na iteketee yote, ina faida gani kwa jamii?

unajua vyote!

bar hizo hizo ndizo zinazoendesha uchumi wa nchi kwa kuungana na viwanda vya kutengeneza pombe!

mlipa kodi mkuu wa Tz ni nani?.. kama hunywi mama isiwe sababu ya kuombea njaa wengine!
 
ndio,lile gari la zima moto la kwanza liliisha maji,ndo likaja lingne lakn kwa kuchelewa sana mpaka kila kitu kuteketea.
 
Mwenzenu anatafuta riziki sasa ameshaingia hasara muoneeeni huruma
 

Attachments

  • OhNoYouDidntBish.jpg
    OhNoYouDidntBish.jpg
    17.7 KB · Views: 172
Back
Top Bottom