Bar ya Highland Tabata Baracuda inateketea kwa Moto mda huu

Ngoja tuombee na ndege za Emirates zote ziungue moto sababu zinatoa huduma ya pombe pia! according to Faiza Foxy's self indulgence on this incident.
 
Bia zitapona tu kama ilivyokuwa pale kinondoni stereo. Bia zote kwenye friji zilipona
 
Ngoja tuombee na ndege za Emirates zote ziungue moto sababu zinatoa huduma ya pombe pia! according to Faiza Foxy's self indulgence on this incident.
Ww kama nikiungo cha mwili ni kile cha kupitisha K.N.C.
Bora niishie hapo utanitafutia ban cjui umetumwa?
 
Toka lini kazi ya kuuza pombe ikawa ya mungu?

Foxy unataka wote wawe na kazi km yako,gari km yako,dini km yako?kila mtu anaendesha maisha kwa njia zake...mwenye bar ana family na watoto wanaenda shule kwa hela hio hio ya shetani...unataka akuletee watoto umsaidie kulea kwa njia zako za kimungu?wacha hizo...
 
Ndiyo maana nikasema wacha iteketee, siioni faida wala umuhimu wake kwa jamii.
 
Tena iishe kabisa. Mnakalia kuvunja amri za Mungu.
Tena na zingine ziwake tu

natamani bar zote ziungue, pombe inasababisha maovu yote ya dunia. walevi wengi wametelekeza familia zao kwa kuendekeza pombe, bar ni laana
 
Back
Top Bottom