Hata misikitiibomolewe tu kama Angola ina faida gani kwa jamii zaidi ya kuzalisha al shabaab tu
^^^^^^
Hata misikitiibomolewe tu kama Angola ina faida gani kwa jamii zaidi ya kuzalisha al shabaab tu
Hata misikitiibomolewe tu kama Angola ina faida gani kwa jamii zaidi ya kuzalisha al shabaab tu
Kuitwa mchawi sio mpaka uloge watu au kushiriki kwenye ushirikina (kufurahia matatizo ya wengine pia ni uchawi)
Poleni ila acha iugue mungu mkubwa, baa na ulevi hata mungu havitaki.
Sababu zina faida kwa wengine na kuwaka kwao moto ni huzuni / majanga kwao, wewe furaha yako inaonyesha ni vipi unashindwa / hupendi kuishi na kuvumiliana na watu wenye interests tofauti, pia kumbuka kuwaka kwa moto sio pombe tu zinazoharibika, bali ajira na knock on effect inaweza kupelekea hata watoto fulani kutopata mlo wao wa kila siku kutokana kwamba baba/mama yao hana kazi tenaBar zote zikiwaka moto ni furaha kubwa sana kwangu. Sioni faida yake bali kuharibu watu tu.
Bar zote zikiwaka moto ni furaha kubwa sana kwangu. Sioni faida yake bali kuharibu watu tu.
Poleni ila acha iugue mungu mkubwa, baa na ulevi hata mungu havitaki.
hiyo nyumba ya shetani wacha tu iungue na iteketee yote yabaki majivu tu
Wewe sehemu ya jamii Bar ina faida gani kwako zaidi ya kukuchomea pesa zako, kukutoa akili yako na kukuzidishia umaskini?
Bar zote zikiwaka moto ni furaha kubwa sana kwangu. Sioni faida yake bali kuharibu watu tu.
Na iteketee yote, ina faida gani kwa jamii?