Baphomet: Sanamu la Shetani linayozua vurugu USA

Baphomet: Sanamu la Shetani linayozua vurugu USA

Kuna watu wanachanganya kwenye mambo haya magumu na yenye siri kubwa juu ya uwepo wa shetani na Mungu.

Shetani hawezi kuonekana kama Mungu hajawahi kuonekana ,kumbuka both spirits are the same by mode of existance according to Spiritual analysis..

Hakuna mtu ambae amewahi kumuona shetani hata kama ni freemasoni wa degree ya namna gani..

I swear kwa damu yangu..hizo zote ni propaganda za kumfanya mwanadamu azidi kuamini uwepo wa shetani ili akazane kutafuta uhusiano kati ya mafanikio ya haraka na uwepo wake.kitu ambacho badae wakifika huko kwa wenye ukimwengu huu wanawaelekeza jinsi alama hizo zinavyofanya kazi...

Kiukweli ,there is no such kind of a thing kuwa shetani ana umbo la namna hiyo..nakataaa kwa evidence zote..na kama kuna mwenye proof naomba nifanye nao battle kwa hili.

Simply because his presence is unprovable hence his image is non identifiable.

..........

kuna kitu watu wanachanganya kati ya alama kama mafuvu( skull and bones),misalaba(cross signs), alama za X ,pembe,pete n.k ambazo ni alama zinazomuwezesha mwanadamu kuingia au kusynchronise na universal energy( high energy flow system ) ambayo inamfanya mwanadamu apate maarifa mengi pamoja na namna ya kuistudy nature ilivyo..

Alama hizo wala sio za shetan ila ni alama ambazo wajuzi wa zamani(Ancients) walikuwa wanazitumia kupata nguvu za kila aina ya kitu wanachokitaka..

Ila watu wasioelewa jinsi zinavyofanya kazi wanakimbilia kusema ni alama ya shetani..

Kanisa katoliki linatumia misalaba madhabahuni pamoja na vyombo vyote vya altareni vina alama na maumbo kama ya misalaba( obelisk) katika kutrap nguvu( energy) from higher worlds..ila watu wanamisinterprete kuwa ni alama za kishetani...

sio kweli..narudia tena na kukazia sio kweli..

Ipo siku nitatoa elimu zaidi naman misalaba inavyofanya kazi na kwanini wakristo au watu wanaoamini juu ya uwepo wa mungu wameambiwa kuvaaa misalaba na kuitumia kwenye makaburi tofauti na alama zingine..
Kila zama huwa na wapingaji wake,ila kila mmoja anatumia njia tofauti na mwengine katika kupinga

Zama kdg za nyuma,hapakuwa na gunduzi nyingi kama ilivyo sasa....na alipotokea mtu akisema,kuna kitu fulani,Jamii iliyomzunguuka,wengi wao walimkatalia

lkn...wana jamii hii,wakaja na kusema kweli,na kumpa sifa kuu na kumuandika katika vitabu

Kwa wewe leo,kusema hakuna Mungu wala Shetani,hizi ni zako fikra ambazo ndio mwisho wake

Vitabu Vya Mungu,vimekuja kutoa Elimu ya Vitu vilivyopita na vilivyopo na vijavyo,viwe vitu hivyo vinaonekana kwa macho au havionekani

Jukumu lako ww kuwa mtulivu na kuendelea na utafiti zaidi

Kisha fahamu ndg Fahamu

Elimu yako na Akili yako wewe kama wewe,si shahidi tosha katika mambo

Bado wewe una madhaifu kutokana na ubinaadam uliokuwa nayo
Unapatia kidogo
na unakosea sana

Kinachotakiwa,ni kukusanya nguvu ya pamoja na kusoma kwa Bidii
 
Nimetoa ushuhuda wa mtu Moses Kulola( Unluckily he is dead). Pia nikasema mashetani yaweza jitokeza kama mapepo au majini watoto/ watenda kazi wa shetani if yes mbona kuna watu washakutana nao wengi tu na wanasimulia kesi zinazofanana.

Pia sisi biblia inatufundisha kuwa shetani anaweza jigeuza malaika wa nuru. Na tunasoma na kuamini kuwa malaika washawatokea watu mbalimbali ktk biblia ina maana shetani yupo na anaweza kuchukua physical form sawa na malaika. Sasa kuamini haya au kutokuamini kila mtu na lwake lakini Mimi ndivyo ninavyoamini kuwa yupo ila hana nguvu kwa Yesu Kristo.
Listen mkuu,secret societies wanatumia mental illusion kuwapatia watu ili watoe ushuhuda huo..

nothing like that exists in reality form..

nimekwambia kuwa watafute individually wakueleze kinaga ubaga kama shetani wamemuona katika mfumo upi,kavaa vazi gani na anafanaje..

usiamini ushuhuda kwenye umati wa watu..mfate individually akueleze vizuri kama atakusimulia...

Nina proof juu ya hicho kitu ndo mana nakukatalia...

Binafsi nishawahi kumhoji mtu wa namna hiyo pindi alipotoka kulopoka kwenye mikutano ya watu ( mhadhara) kuwa kaoteshwa ndoto sijui yuko wapi ,cijui peponi akawa anawambia watu mbele ya madhabahu na watu wakawa wanamshangilia kwa kumuona kama kafunuliwa lakini baada ya muda flani kutoka jukwani akaenda kukaaa na kuanguka chini ,watu wa huduma ya kwanza wakamchukua na kumpeleka chemba kisha kuanza kumshoji vipi umepatwa na nini hata hawaelewi ,ukimuliza unakumbuka ulichokuwa unakisimulia pale jukwaani akasema hakumbuki..kufuatilia vizuri tukakuta ni mtumishi wa muda mrefu wa kanisa lile katika mikoa mingine huko na badae wataalamu wa psychology wakaconclude kuwa alipata illusions kubwa sana.

.Tena huenda hao wanaowaandaaa wanawapa mental illusiio kwa kuwavutisha vitu ambayo baada ya muda unaanza kuota ndoto ambazo wameukomandi ubongo wako uote ,.

Unaweza anza ota upo mbinguni ( Mental created heaven by illusion) na ukitoka hapo unaenda kulopoka madhabahuni ila badae ufahamu unakuijia bada ya siku mbili kuwa ulikuwa unaota ..

Nina experience na hicho kitu ndo mana nakukataliwa..wale wanatengeneza pesa tu si wnaajua ndezi wapo wataamini...

Go and learn about BLUE BEAM PROJECT INAYOKUJA.

Nadhani hapo ndo utaelewa zaidi yajayo yanafurahisha au laaa...
 
Kila zama huwa na wapingaji wake,ila kila mmoja anatumia njia tofauti na mwengine katika kupinga

Zama kdg za nyuma,hapakuwa na gunduzi nyingi kama ilivyo sasa....na alipotokea mtu akisema,kuna kitu fulani,Jamii iliyomzunguuka,wengi wao walimkatalia

lkn...wana jamii hii,wakaja na kusema kweli,na kumpa sifa kuu na kumuandika katika vitabu

Kwa wewe leo,kusema hakuna Mungu wala Shetani,hizi ni zako fikra ambazo ndio mwisho wake

Vitabu Vya Mungu,vimekuja kutoa Elimu ya Vitu vilivyopita na vilivyopo na vijavyo,viwe vitu hivyo vinaonekana kwa macho au havionekani

Jukumu lako ww kuwa mtulivu na kuendelea na utafiti zaidi

Kisha fahamu ndg Fahamu

Elimu yako na Akili yako wewe kama wewe,si shahidi tosha katika mambo

Bado wewe una madhaifu kutokana na ubinaadam uliokuwa nayo
Unapatia kidogo
na unakosea sana

Kinachotakiwa,ni kukusanya nguvu ya pamoja na kusoma kwa Bidii
Everything is by inner understanding...kila mtu anauelewa tofauti kulingana na uwezo wake wa kupersive reality..

Thats how we live under the matrix system..
unachokiamini wew ndo mana wengine wanakipinga kulingana na uelewa wao na usiwalaumu kwa sababu tumeumbwa kufahamu mambo katika frequence range tofauti tofauti..

Usikasilike wala kuhudhunika kwa sababu we live in the life that is under control by higher life forms..

Naamini katika hilo..
 
nimefurahi kama umefahamu hayo

kadhalika nimefarijika sana kwa kukubali kama sisi tumeumbwa

Tunathibitisha kuwa Muumbaji wa kweli yupo
anatusikia na kutufahamu kwa maana yake kamili

Shukran Bro
 
nimefurahi kama umefahamu hayo

kadhalika nimefarijika sana kwa kukubali kama sisi tumeumbwa

Tunathibitisha kuwa Muumbaji wa kweli yupo
anatusikia na kutufahamu kwa maana yake kamili

Shukran Bro
utofuati unakuja pale mtu unapoamini kuwa higher system inayotucontrol sisi ni Mungu( Mtu)..

Ukiambiwa kuwa kuna mtu kawai kumuona Mungu ?? jibu hakuna...

Ndo mana wataalamu wamekuja wakagundua kuwa everything is energy,kwa hiyo kupitia energy unaweza trace back original au kugundua kabsaa energy kubwa inayotuendesha sisi ila swala la kusema hiyo nguvu ni Mungu ( mtu ) wataalamu wa mambo wanakataaa...

tukubali kuwa kuna system tata iliyoshikilia kila kitu ila kuamini kuwa ni Mungu (Mtu) bado hakuna proof scientifically...
 
utafuati unakuja pale mtu unapoamini kuwa higher system inayotucontrol sisi ni Mungu( Mtu)..

Ukiambiwa kuwa kuna mtu kawai kumuona Mungu ?? jibu hakuna...

Ndo mana wataalamu wamekuja wakagundua kuwa everything is energy,kwa hiyo kupitia energy unaweza trace back origina au kugundua kabsaa energy kubwa inayotuendesha sisi ila swala la kusema hiyo nguvu ni Mungu ( mtu ) wataalamu wa mambo wanakataaa...

tukubali kuwa kuna system tata iliyoshikilia kila kitu ila kuamini kuwa ni Mungu (Mtu) bado hakuna proof scientifically...
Hakuna Mungu Mtu
hata mimi nalikataa

Ila Mungu Muumba vyote,yupo
na wala hafanani na Kiumbe wa aina yoyote
Kadhalika
Jambo la Wana sayansi,haliwezi kuwa ni Hoja thabiti kwa wao kukataa Uwepo wa Mungu
kwasababu
Kila uchwao,Wanasayansi wa zama fulani wanakuja na kuwapinga wanasanyasi wa zama zilizo pita
Tunajifunza nini sisi Wanaadam kwa ukinzani huu?!!!

Mafunzi ni mengi
Bali tufahamu moja tu,kuwa
Akili ya Binaadam imewekewa Mipaka fulani kutokana na zama au hali fulani

Sisi,hatuna uwezo wa kumzunguuka Mola kwa akili zetu,kisha tukamfahamu kama tunavyowafahamu watoto wetu au wake zetu

Ndio maana tunasema kwa sauti kuu

Vitabu vya Mungu kwanza kisha Maneno ya Wana sayansi

Sayansi,haiwezi kuitangulia kauli ya Mola hata siku moja
kwasababu Mola ndio alieumba sayansi na kumuumba huyo mwana sayansi
 
utafuati unakuja pale mtu unapoamini kuwa higher system inayotucontrol sisi ni Mungu( Mtu)..

Ukiambiwa kuwa kuna mtu kawai kumuona Mungu ?? jibu hakuna...

Ndo mana wataalamu wamekuja wakagundua kuwa everything is energy,kwa hiyo kupitia energy unaweza trace back origina au kugundua kabsaa energy kubwa inayotuendesha sisi ila swala la kusema hiyo nguvu ni Mungu ( mtu ) wataalamu wa mambo wanakataaa...

tukubali kuwa kuna system tata iliyoshikilia kila kitu ila kuamini kuwa ni Mungu (Mtu) bado hakuna proof scientifically...
...huwa nakuelewa sana hoja zako mkuu,...keep it up
 
Kabla hujamuelewa

Jaribu kuelewa zaidi Bro
...mkuu niamini mimi,...mimi sio mtu mkurupukaji niko vizuri sana kwenye suala la kujua hoja IPI ni nzito na IPI ni mtindio wa ubongo.

....jamaa yuko vema mno upstairs,_hata wewe hilo unalijua sema haujalikiri waziwazi
 
Kabla hujamuelewa

Jaribu kuelewa zaidi Bro
wewe umeelewa nini juu ya nguvu inayoshikilia uhai na uwepo wa maisha au kitu chochote ulimwenguni???

Unaamini nini au umepata kuielewa ile iliyo kweli katika nguvu inayoshikilia kila kitu .?? umeelewa nini..??
 
...mkuu niamini mimi,...mimi sio mtu mkurupukaji niko vizuri sana kwenye suala la kujua hoja IPI ni nzito na IPI ni mtindio wa ubongo.

....jamaa yuko vema mno upstairs,_hata wewe hilo unalijua sema haujalikiri waziwazi
Huenda ikawa kweli Chief uyasemayo
Huenda.....
 
wewe umeelewa nini juu ya nguvu inayoshikilia uhai na uwepo wa maisha au kitu chochote ulimwenguni???

Unaamini nini au umepata kuielewa ile iliyo kweli katika nguvu inayoshikilia kila kitu .?? umeelewa nini..??
Mimi ni Mwana Dini
Ninachokiamini mimi hasa,Nguvu yoyote ile,ipo mikononi mwa Mola,ndio anae endesha Dunia atakavyo yeye kwa Rehma zake

Ama tunayoyasoma kupitia wana sayansi,hizi ni habari ambazo,zinafaa kupingwa kwa wakati au kukubaliwa kwa wakati fulani,ila kwa sharti,zisiendane kinyume na maneno ya Mola
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom