monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,633
Noma sana!
(Zaburi 53:1), MPUMBAVU amesema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU. Amenutofuati unakuja pale mtu unapoamini kuwa higher system inayotucontrol sisi ni Mungu( Mtu)..
Ukiambiwa kuwa kuna mtu kawai kumuona Mungu ?? jibu hakuna...
Ndo mana wataalamu wamekuja wakagundua kuwa everything is energy,kwa hiyo kupitia energy unaweza trace back original au kugundua kabsaa energy kubwa inayotuendesha sisi ila swala la kusema hiyo nguvu ni Mungu ( mtu ) wataalamu wa mambo wanakataaa...
tukubali kuwa kuna system tata iliyoshikilia kila kitu ila kuamini kuwa ni Mungu (Mtu) bado hakuna proof scientifically...
Mkuu ukipata muda hebu weka content zaidi maans kuna vitu umevigusa tungependa kujua zaidi hasa huyu SophiaKuna kitabu kinaitwa Baphomet: The temple mystery revealed cha Tracy Twyman. Humo historia ya Baphomet imehusishwa na vitu vingi lakini vingi vikiwa vinahusiana na Esoteric Christianity, Early Christian cults waliowekwa kwenye group moja liitwalo Gnostics...Hawa Gnostics walikuja kuangamizwa na Kanisa Katoliki. Inasemekana Knight Templar walijifunza elimu fulani kutoka kwenye mojawapo ya wakristo hao...hasahasa kutoka Kwa waliojulikana kama Ophites. Hawa Ophites moja ya mambo yao ilikuwa ni venerations of the snakes, tamaduni ambayo ni ya zamani zaidi ya ukristu, inarudi nyuma zaidi hadi Misri kwenye mafundisho ya Asclepius na Hermes au Thoth (Tehuti). Huyu Tehuti aliabudiwa kama Mungu wa Maarifa na Sayansi...Alama yake ni staff entwined by two snakes. Elimu ya huyu Tehuti imesurvive kama Hermeticism, ikimaanisha elimu ya Hermes.
Pia Hawa Templar waliwahi kupigana na majeshi ya ukombozi ya kiislam yaliyoongozwa na Saladin, lakini pia inasemekana kuwa baadaye walikuja kuwa na urafiki wa siri, ambapo hawa Templars walijifunza mambo flani kutoka kwao ikiwa ni sehemu pia ya mafundisho ya Hermes lakini yaliyosurvive kupitia mystics of Islam wanaoitwa sufis, hasahasa Hashashins, yaani watumiaji wa hashish ...stori yake ni ndefu sana...lakini Kwa kifupi ilihusishwa na baptism of wisdom, ubatizo wa busara, ubatizo wa pili, wa moto au wa roho (fire = spirit)...wisdom inayohusishwa na roho mtakatifu, njiwa/dove/columbia, Divine Sophia, Mother Goddess, Mama aliyezaa kila kitu, Mama wa Mungu, Madonna of the virgin birth, aliyezaa bila kutungwa...