Banned: PAW

PAW amesimamishwa Kazi kwa Ufisadi wa Generetor, alikuwa anataka kumuhonga Invisible ili ilibebe. Kweli Ufisadi unakuwa kwa Kasi Tanzania mpaka PAW anataka kutukatia Umeme katika SERVER za JF. Haya PAW nenda salama na usirudi tena hapa hatukutaki kama Kikwete na Chama chake anavyochukiwa na Watanzania kwa Ufisadi.

Uwe na Amani huko ulipo PAW
 
Mimi simo nyie changia hiyo hoja mje muone kama nyote hamtakula ban!!!!

Tiba
 
PAW amesimamishwa Kazi kwa Ufisadi wa Generetor, alikuwa anataka kumuhonga Invisible ili ilibebe. Kweli Ufisadi unakuwa kwa Kasi Tanzania mpaka PAW anataka kutukatia Umeme katika SERVER za JF. Haya PAW nenda salama na usirudi tena hapa hatukutaki kama Kikwete na Chama chake anavyochukiwa na Watanzania kwa Ufisadi.

Uwe na Amani huko ulipo PAW

Si wangemsimamisha kazi kama Jairo tuu? Kwa nini wamfukuze. Tanzania mtu hafukuzwi kazi.
 
Ama kweli simba akilala waweza kumshika hata ndevu!! Ngoja PAW aamke mtakiona.....
 
Uh.
I thought am serving a ban kumbe is a joke. But am around watching and moderating.

Haya karibu tena Jamvini, Nasikia Umekata Rufaa kwa Invisible. Kila unapo-log in JF unapiga Members BAN, haya Tupe idadi ya leo ni wangapi waliokula BAN
 
Si wangemsimamisha kazi kama Jairo tuu? Kwa nini wamfukuze. Tanzania mtu hafukuzwi kazi.

Amehamishiwa kufuta vumbi kwenye Server room na kufagia huku wakiangalia sehemu nyingine ya kumpachika najua Max na Invisible watampachika sehemu, JF inatakakuwa kama Serikali ya TZ kwa kupachika watu waovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom