Banned: PAW

Banned: PAW

Amehamishiwa kufuta vumbi kwenye Server room ...
Mkuu sasa mimi huko naona unaenda mbali. Kwa sasa the ban is lifted, anaweza kuchangia kama member wengine, ila ile role ya u-Mod nimemuondolea.
 
Na kamshahara kake vipi umekipunguza ua ndio vilevile
 
Haa haa haa! Hairuhusiwi kuexpose mshahara wa mwajiriwa hadharani! Hata hivyo kwa kawaida mishahara huwa inaenda inapanda au inabaki pale pale. Sijawahi kusikia kampuni fulani imempunguzia mwajiriwa wake mshahara, sana sana itapunguza wafanyakazi!
 
Kama mnafikiria kupunguza Wafanyakazi basi PAW awe No.1 katika list ya lidandasi, Huyu Kijana anapenda sana kuBAN members bila ya sababu. Tangu Invisible na Timu ya JF wampe BAN ya WEEK amerudi akiwa na akili timamu na nimesikia pia wamemuambiwa kuwa akipiga BAN member bila ya sababu watamsuspend kwa miezi sita bila ya malipo
 
Siku zote mwalimu mkali ndo hupewa nicknames na wanafunzi,P.A.W=Prawns.Are.Wonderful!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom