Hahaha!!!! Babu wale wajukuu wote nimekuachai dah hadi na huyu naye unataka umchukue...lol...AshaDii wapi bana huyu babu maslahi yake naona yanazidi ya Dowans
asubuhi yote mnaenda kupiga mbizi???
@The Finest and Bebii
Manyanza tulifanya booking tokea jana, namsubiria huyu soulmate amalize shughuli zakekila siku kwetu ni sikukukuu njoo na wewe kama unataka
Halafu hii Mazandu hii
hii Mazandu hii...............Narudia tena hii Mazandu hii! Subiri:
Banned: Mazandu
Reason: Anamchakachua ndugu yake ODM
Maaaanina!
Ngoja nianze kuwa na uhusiano wa kirafiki na Al Shabab.....inaweza kusaidiaMie nakunong'oneza kila siku huo mtindo wa hawa watu kukuvamia kwamba wee ni dogo wanakutoa njia ya reli kila siku itakucost siku moja.... lol
halafu nampenda manyanza jamani hv availability yake ipo vp? maana naona wewe kumbe mambo yako sio babu kasemaManyanza tulifanya booking tokea jana, namsubiria huyu soulmate amalize shughuli zake
babu umejifungua?????????????????????????? chauro huyu?Aisee hii ni "act calling" you have been warned!
Khaa! kumbe huu msredi ulienda namna hii? Next time ntaongea na mkoloni wangu awe ananiruhusu niwe naenda na network yake nyumbani.....khaa!
Aisee hii ni "act calling" you have been warned!
Khaa! kumbe huu msredi ulienda namna hii? Next time ntaongea na mkoloni wangu awe ananiruhusu niwe naenda na network yake nyumbani.....khaa!
Hahaha!!! BW kitakuwa kidole cha mguunihivi hii ni ile BAN PAW alikupiga kutumia shoka ukakatika kidole
Khaa!!! Yaani ushaanza kusikiliza uzushi kwanza Babu kapata mtoto si unaona Chauro alivyosemahalafu nampenda manyanza jamani hv availability yake ipo vp? maana naona wewe kumbe mambo yako sio babu kasema
Unauliza swali au jibu soulmate vipi banaa??babu umejifungua?????????????????????????? chauro huyu?
Nasikia kununua hisa Precision AirNetwork itakusaidia kuloipia bill za biya na kuchetuka?
Tumsifu yesu kristu kaka TF!Ngoja nianze kuwa na uhusiano wa kirafiki na Al Shabab.....inaweza kusaidia
Ngoja nianze kuwa na uhusiano wa kirafiki na Al Shabab.....inaweza kusaidia
muone dk riwa jf doctorMaumivu chini ya kitovu bebii
Sehemu zenye watu wengi haziruhusiwi nasikia wapo Al Shabab sasa ukienda BuiBui ukikutana nao usiseme kwamba sikukwambia unaingia na mtu kavaa baibui kmbe ndani kidume halafu kinakung'ang'aniaKulaaaaaaleki,
Yaani nimetoka dakika nne tu mmeshaanza utumbo wenu?
Hivi nyie watu ni lini mtakaa na kujadili maswala yenye maslahi kwa taifa kama vile kutongozana na matumizi ya kondom?
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi tena PM kuna kimjamaa kinatumia ID ya kiume kumbe ni kabinti bana! Tuko katika hatua nzuri ya kuelekea Buibui.
Sheria ya JF inayohusiana na maswala ya umri inasema kosa kama hili ulilolifanya hapa azabu yake ni kugeuzwa jinsia. Usifurahi sana, manake ukishabadilishwa jinsia unageuzwa siyo rizki....... haya nenda ka-edit haraka kabla AshaDii hajai-qoute.babu umejifungua?????????????????????????? chauro huyu?
Khaa Leo huu upako umetoka wapi??Tumsifu yesu kristu kaka TF!
The lord is my shepherd. I have everything I need. He lets me rest in fields of green grass and leads me to quiet pools of fresh water. He gives me new strength. He guides me in the right paths, as he has promised. Even if i go through the deepest darkness, I wil not be afraid, LORD, for you are with me. Your shepherd's rod and staff protect me! You prepare a banquet for me, where all my enemies can see me, you welcome me as an honoured guest and fill my cup to the brim! I know that your goodness and love will be with me all my life, and your house will be my home for ever! PSALM 23!Kulaaaaaaleki,
Yaani nimetoka dakika nne tu mmeshaanza utumbo wenu?
Hivi nyie watu ni lini mtakaa na kujadili maswala yenye maslahi kwa taifa kama vile kutongozana na matumizi ya kondom?
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi tena PM kuna kimjamaa kinatumia ID ya kiume kumbe ni kabinti bana! Tuko katika hatua nzuri ya kuelekea Buibui.