Banned: Asprin....

Wala usipandishe mzuka hapa lazima uelewe wikienda ndo imeanza inawezekana ameshapitia mahali akapata hv huoni hata masaa yenyewe? sasa hivi frequencies za SW zimefungwa na kufungulia FM
 
Last edited by a moderator:
Wewe mtu mzima una post elfu 14 pumba tupu,sasa hii thread ina maslahi gani kwa Taifa? nyie ndio mnaotucheleweshea maendeleo yetu

mkuu -k-

ukiwa na utaratibu wa kutambua utaratibu uliowekwa na JF usingepata pressure kama hii ....

naomba utambue kwamba hili ni jukwaa lijulikanalo kama Chit Chat

enjoy your weekend
 
Hujaninunulia biya skulimeti....... tumevunja urafiki au tunaukataa ulimbukeni?

Ban imeongezewa muda : Life time!

Kutokana na mgao wa umeme inabidi unywe biya kwenye baa ambayo generator iko mbali kidogo, maana miungurumo ya generator inalewesha kuliko viceroy!
 
Reasons: Kujipendelea wajukuu, kushabikia mila na kuukosoa ubazazi.

Period: 1 week

Zingatia sheria na kanuni za JF.

Onyo: Atakayepinga hii BAN naye anapigwa BAN.

Wengine wote muwe na weekend njema.


================
Ban prolonged to 2 weeks


Hahahahahah lol! nilikuwa sijui kama wanachama wanaweza kujifungia wenyewe :) :) :) hebu nipe maujuzi ya kujifungia (kitufe kipi unabonyeza hahahahah lol!) ili uweze kujifungia badala ya kuwasumbua MODS. Unamwaga razi (isomeke radhi) jamvini halafu unajifungia kama kwa mwezi mzima hivi :) :)
 
PAW, rudisha mabandiko yangu tafadhali ohooo!

Natema mate chini na kabla hayajakauka niyaone mabandiko yangu hapo.


Wee tuache turaruane huku tutiane adabu bana!
 
Nini papai....kuna konokono anatwanga watu za maisha....Banned: RRReason: TGIFDuration: Till 50% sober
Huyo mi sijamtambua bado aisee.In that case i like konokono too!
 
  • Thanks
Reactions: RR
Chezea hapa uone....Kudadeki...kumbe nina ban yangu.....!
Yako iko wapi?Anyway nimemuona! Mi nayataka mabandiko yangu seriously! Kuna watu humu wanataka tu usitofautiane nao, if u dare to, lazima wakutusi.Sasa sikopishi mtu hapa, tit for tat! Bring it on and i will dance to the rythm!
 
Back
Top Bottom