Kauli kama hiyo iliwahi kutolewa na Rais, kwa hiyo unamaanisha Rais naye alitakiwa kupunguza jazba na hisia???Teh teh teh.... wanaruhusu kukwepa kodi au wana kodi ambazo ni reasonable!? Punguza jazba na hisia weweee.
Taratibu somo linaanza kueleweka, huwezi jenga nyumba hewaniDawa imeanza kuingia
Well, jambo la kutia moyo katika haya yanayotekea ni kwamba maofisa wa Magufuli wameanza kumuelewa ni kiongozi wa aina gani na hawamuogopi tena, sasa wanatoa misimamo na maamuzi ya serikali bila kujali Rais kasema nini.Sasa Mkulu si alijifanya masikini jeuri kwa kutamba kuwa waliokimbia kutumia bandari ya Dar ni wale wafanyabiashara wakwepa kodi na akawaambia kuwa waende kwenye hizo bandari za nchi nyingine zinazoruhusu mizigo kupita bila kulipiwa kodi?
Sasa baada ya kuona bandari imekauka kabisa ndiyo anakuwa 'mpole' na kutaka kwenda kuwapigia magoti?
Hii nchi haitakiwi kuendeshwa kwa ubabe na matamko ya majukwaani, badala yake inatakiwa kuendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali namna bora ya kuiendeleza nchi yetu.
Mkulu akiendeleza kuendesha nchi yetu kwa staili yake ya ONE MAN SHOW, hakika nchi yetu itakuwa inaelekea kuwa another Zimbabwe...............
Lakini utambue hata kama utashuhsia South afrika kodi itakua pale pale,Gari unanunua mil 5 kodi mil 8 situmii kabisa hiyo bandari hata iweje
No, hujasema ukweli. Gari milioni 5 , kodi milioni 20!Lakini utambue hata kama utashuhsia South afrika kodi itakua pale pale,
nimejikuta na cheka,kwamba majeshi yatazalisha na uchumi utapaaAlijua hata hao wafanyabiashara wakisepa haina Noma...Polisi na Makonda watainua uchumi.
tena ningekuwa mm ni bakhresa ningewaaambia mpige magoti kuniomba radhi kwa kuniita mkwepa kodi alafu niwafotoe foto, hasa YOHANA!Sasa mbona tunarudi kwa Jakaya kuwapigia Magoti Wakwepa kodi?
eti sa hivi mnaanza visingizio eti ukosefu wa mizigo bandarini ni dunia nzima na sio Tanzania..kwa hiyo una manisha uchumi wa dunia unayumba haupo vizuri.na kama ndivyo ni kwa Takwimu zipi na za lini ??? mnavituko nyie lumumbaSiyo vizuri kushangilia msichokijua jamani. Hao waliyofuatwa ni wadaiwa sugu wa bandari siyo waleta mizigo. Wao mizigo wataleta na nini wkt meli karibu 7000 duniani zimepaki na zingine zimevunjwa kuwa vyuma chakavu kwa kukosa bidaa? Naona JF siku hizi imekuwa siyo greetthinkers bali imebaki ya wanywa mbege wasiyo na uelewa bali washangiliaji
tehetehetehe ataanguka au ameshaanguka tayari, kamuokoteni yupo chini kwenye miguu ya akina bakhresa!Tena Huyu ndiyo ataanguka vibaya sana.
Hapo sasa utakua uleta gari lilichoka hasa hadi utozwe 20 milions. Maana sasa ushazidisha uongo na umeigia kwenye ushabiki sasa. Kodi na vat za magari zinajulikana kama umenunua 5 milions uangalie tathmini ya hilo gari liko kiasi gani. Hata mimi naweza kununua gari la dola 1000 ambalo thamani yake ya sokoni ikawa dola 3000 na ndipo utakapo lipia ushuru kwa dhamani ya dola 3000 na sio hiyo 1000.No, hujasema ukweli. Gari milioni 5 , kodi milioni 20!
Kwa hiyo wataka kuniambia ukashushie gari Mombasa au badari lingine halafu uingize tu Tanzania na kulisajili bila kulipia???No, hujasema ukweli. Gari milioni 5 , kodi milioni 20!
Kuna thread humu jana alionyesha kodi ya milioni 20, wakati gari amenunua milioni 5!Hapo sasa utakua uleta gari lilichoka hasa hadi utozwe 20 milions. Maana sasa ushazidisha uongo na umeigia kwenye ushabiki sasa. Kodi na vat za magari zinajulikana kama umenunua 5 milions uangalie tathmini ya hilo gari liko kiasi gani. Hata mimi naweza kununua gari la dola 1000 ambalo thamani yake ya sokoni ikawa dola 3000 na ndipo utakapo lipia ushuru kwa dhamani ya dola 3000 na sio hiyo 1000.
Turudi kwenye hoja manao sema hamtumii bandarikwa sababu ya kodi... Lakini kodi iko palepale.Wanao toza kodi sio bandari, ni TRA ndugu. Labda bandari watakusumbua kutoa hilo gari na wakakukamua hela zaidi. Na ndio hilo suala linalo takiwa kuzungumziwa kwa sasa kama Bahresa anavyo sema kwenye hilo gazeti