Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Siyo vizuri kushangilia msichokijua jamani. Hao waliyofuatwa ni wadaiwa sugu wa bandari siyo waleta mizigo. Wao mizigo wataleta na nini wkt meli karibu 7000 duniani zimepaki na zingine zimevunjwa kuwa vyuma chakavu kwa kukosa bidaa? Naona JF siku hizi imekuwa siyo greetthinkers bali imebaki ya wanywa mbege wasiyo na uelewa bali washangiliaji
Mbona kama hamna wasiliano ya kutosha baina yenu. Au mtandao upo chini? Au ndio yale ya nikondoka kwenda Dodoma wote mnifuate, huku mwingine akisema atakuwa wa mwisho kwenda Dodoma.
Serikali imewafuata Wafanyabiashara 100 wapi? Wako Jengo gani kila Udaku unaoenezwa na Wakenya Watanzania wanaujadili kama kweli. Hovyo kabisa..
 
Huyo mtu inawezekana alinunua gari kwa bei rahisi likiwa chini ya thamani yake lakini hapo TRA wanajua tathmini la hilo gari, inawezekana likwa kwenye 10 milions. Kuna rafiki yabgu hivi karibuni kanunua gari ford ranger kwa bei ndogo sana hapo UK lakini kwenye kodi hapo lazima ajitayarishe vizuri.
Mbona kodi za magari iko wazi hapo TRA. unaingia kwenye web site Yao pale kuna calculator ya magari ingawa inaweza ikawa plus au minus. unweka Aina ya gari, ukbwa wa Engine na mwaka iliotengenezwa then inkupa bei utakayo lipia.
Mimi binafsi niliwahi kuleta kw mara ya kwnaza tractor ndani ya container, na humo nikaweka nguo nilizokua nikizitumia huku Sweden na TV na suround system. Ikaleta kasheshe hapo bandarini, yaani hizo nguo tu ambazo ni maboxi 5 yaliotumika na ka TV hako walitaka nilipe dola 3500. Huo ni uwizi wa wazi kabisa, Sasa inatakiwa tuungane ili uwizi huo ukomeshwe, na ndio Magufuli anacho jitahidi ingawa baado hapo bandarini kuna hao wanao mhujumu.
Ilikua wewe unaleta conatiner ulipizwa mahela kibao, tajiri mwingine analeta meli nzima ya mzigo yeye ana honga huku na kule na mzigo unaingia bila kulipia kodi. mfano kama alitakiwa kulipia dola 200 0000 basi zitamtoka dola laki mmoja tu kw akuhonga na mzigo ukaingia mitaani, na sisi wa container mmoja unajikutuna kutoa mahela na hongo kila kona na pia mzigo wako usitoke kwa mda unao takiwa.
Nadhani kwa hiyo watu wana undervalue purchase price huko je. Sasa TRA wanawashtukia! Nimekuelewa!
 
Naona swala la bandari nimechukuliwa na upinzani kutaka kumkomoa rais.inaonyesha jinsi gani msivyo na uzalendo na hata hamtaki kujua ukwl.maslai mnayo tetea niyawatu wachache mlokuwa mnafaidika na mfumo wa bandari kavu ambao ulikuwa ukitumika kukwepa kodi.sasa imekula kwenu
 
Nadhani watu hawajaelewa kuusu ishu nzima kuwafuata wafanyabiashara ni kujua nini suluhu la mtikisiko wa kiuchumi duniani
 
Hata mimi ilipaswa wanifuate aisee kuna tuela twangu tulikua bank nikatuondoa humo na kujipangia bajeti ya kuzila kidogo kidogo hadi jamaa atakapoondoka madarakani ndo nirudi upya ulingoni kutafuta tena kwa upya. Sasa kama biashara hailipi kwa sababu ya kodi lukuki ya nini nijitaabishe?
Ole ni kwa wale ambao wamekutwa na awamu hii hawana akiba. Walahi watatumbua macho sana. Kumuona Dr kwa sasa ktk hospital za serikali ni buku kumi!!
Yethuwangu eeeh...
 
Mimi ninavyoona serikali isijenge uadui na wafanyabiashara kwasababu wao ndio walipa kodi wakuu tuangalie sukari tulikuwa tunanunua sh 1800 bei ya jumla Leo ni 2500 kutokana kutokaa pamoja na wafanyabiashara
 
Gari unaagiza kwa Tshs milioni 19 pale bandarini unalipia wastani wa milioni 15 kwa hapo bado storage charges! Kama kuna mtu kwa kipindi hiki anatumia hiyo bandari basi akapimwe akili!!
Ndugu kwa mizigo ya ndani labla ulalamikie port charges, ila kwa hiyo kodi nyingine ya TRA lazima tu utailipia hata upitishe bandari ya nchi jirani hapo huwezi kwepa.
 
Yaani ni afadhali hata awamu ya Kikwete. Hii ya tano haieleweki kabisa. Mkuu wa kaya aliwaponda wafanyabiashara kwamba wengi wao walikuwa wanakwepa kodi pale bandarini. Wakaamua kuachana na bandari ya Dar, cha ajabu leo wanaenda kuwasujudia hao hao. Hivi kauli za mkulu zinachujwa kabla ya kutolewa kupitia mdomoni au ndo zinafyatuliwa tu?

Huu ni ushahidi kuwa watanzania wengi wanaotoka jua linakozama wanaupungufu katika miamala ya kimaisha na mahusiano mema, mwangalie yule 'alfa na omega' alikuja na ujamaa wakijinga watu wakawa masikini wakutupwa, akawachukia matajiri kupita hata huyu, akawanyang'anya watu mali zao walizozijenga wao wenyewe kwa ile dhana ya kuwa hawa ni wahujumu uchumi, wakwepa kodi, na majina mengine kadhaa wa kadhaa, maadamu yeye kwao alikotoka kuna vibanda vya nyasi na wanalalia marimba, alipofika dar akakuta watu wana vigorofa, akaona hili haliwezekani, yeye na usomi wote analalia marimba iweje wasoma......... walalie magodoro ya sufi??

Pia hii inatokana na staili za maisha yao, tafadhalini jamani, mkija mjini badilikeni, nchi mtaiharibu hii. CHUKUWENI USTAARABU WA PWANI, SIO VISHINDO VYA MAJI KUPWA MAJI KUJAA!
 
Huu ni ushahidi kuwa watanzania wengi wanaotoka jua linakozama wanaupungufu katika miamala ya kimaisha na mahusiano mema, mwangalie yule 'alfa na omega' alikuja na ujamaa wakijinga watu wakawa masikini wakutupwa, akawachukia matajiri kupita hata huyu, akawanyang'anya watu mali zao walizozijenga wao wenyewe kwa ile dhana ya kuwa hawa ni wahujumu uchumi, wakwepa kodi, na majina mengine kadhaa wa kadhaa, maadamu yeye kwao alikotoka kuna vibanda vya nyasi na wanalalia marimba, alipofika dar akakuta watu wana vigorofa, akaona hili haliwezekani, yeye na usomi wote analalia marimba iweje wasoma......... walalie magodoro ya sufi??

Pia hii inatokana na staili za maisha yao, tafadhalini jamani, mkija mjini badilikeni, nchi mtaiharibu hii. CHUKUWENI USTAARABU WA PWANI, SIO VISHINDO VYA MAJI KUPWA MAJI KUJAA!
Yawezekana ukawa na hoja. Lakini unavyoiwasilisha inafungua mawazo na fikra za wasomaji kukuona u-mtu wa aina gani.

Jaribu kuwa na staha unapoongelea miundo na mifumo ya utawala kadri ya nyakati. Nadhani umenielewa.
 
tena ningekuwa mm ni bakhresa ningewaaambia mpige magoti kuniomba radhi kwa kuniita mkwepa kodi alafu niwafotoe foto, hasa YOHANA!

Kiukweli bakhresa alizalilishwa mno kipindi kile
 
Yawezekana ukawa na hoja. Lakini unavyoiwasilisha inafungua mawazo na fikra za wasomaji kukuona u-mtu wa aina gani.

Jaribu kuwa na staha unapoongelea miundo na mifumo ya utawala kadri ya nyakati. Nadhani umenielewa.

Hapo hakutukanwa mtu hapo, huo ndio uhalisia, kama umeangalia masiha na uendeshaji wa serikali yetu na ile ya awamu ya kwanza kuna kufanana kwa sana, tena hapo nimetumia maneno yastaha sana, tena sana. Nioneshe hilo tusi lilokugusa, walionyang'anywa nyumba zao na kuewa NHC si walikuwa watanzania, zilichukuliwa kwahoja gani?? wakati huo ikimiliki laki5 wewe ni muhujumu uchumi na mtu wa rushwa. Acheni watu wafanye mambo yao la sivyo mtahadhirikia. Nakusubiri
 
Matapishiiii. Mtu anaongea kama kakatwa kichwa. Ndio maana wana hasira sana kumbe wana msongo wa mawazo.
 
Kauli ya Majaliwa ya mtikisiko wa uchumi duniani ilikuwa ni danganya toto?
 
Itakua Lowasa ndio katusababishia haya yote [emoji38][emoji38]
 
Sasa wafanyakazi wenyewe wanafanya kazi mguu nje mguu ndani kwa kuwa wanasema hawana vyeti, Sasa hao wateja wakifanikiwa kuwaleta kazi zitafanyanyikaje, waanze kwanza kuwaboresha wafanyakazi kisha ndo waendelee na utaratibu mwingine
 
Back
Top Bottom