Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Ngoja nao waisome namba, si walizoea kuwasomesha wengine namba.
Mbona kashindwa kuwatumbua wafanyabiashara?
 
Hivi ni nani alisema meli zipo za kutosha bandarini hakuna shida
 
tena ningekuwa mm ni bakhresa ningewaaambia mpige magoti kuniomba radhi kwa kuniita mkwepa kodi alafu niwafotoe foto, hasa YOHANA!
Maskini pole sana ndugu yangu....tatizo ni ushabiki umekujaa ika ungejua ungakaa kimya na siku ukilejeshewa akili zako ulizowapa wanasiasa utatamani kulia...
 
Lisu alisema wamewekeza kwenye mitandao ndio najionea kwenye huu uzi!

Siku hizi UKAWA wanapotezea hasira zao kwa vihoja vidogo kweli..
 
Serikali inaingia hasara kusafirisha watu kwenda kuwapigia goti wafanyabiashara haha...serikali yakukurupuka aka Mwendokasi
Tutaona mengi
 
kuna mijitu hapa ilifurahia sana kuanzia waandishi mpk wenye chuki binafsi wakajua anakomolewa jakaya and co kumbe hwakajua maskini kama maamuzi yale yalikuwa yanakuja ua bandari
Akili ndogo na chuki ndio tatizo lao
 
Kwani c nimeona bungeni wanadai wameandikiwa barua na wafanyabiashara kuwa wataanza kutumia bandari
 
sio wafanya biashara 100 bali ni wote wanaotumia bandari ya DSM wa ndani na wa nje na kwa sasahivi hakuna hakuna bandari ambayo haifuati wateja wake
 
Hivi zile sarakasi za makontena kupotea ziliishiaga wapi??
 
Well, la kutima moyo katika haya yanayotekea ni kwamba maofisa wa Magufuli wameanza kumuelewa ni kiongozi wa aina gani na kutokumuogopa, na sasa wanatoa misimamo na maamuzi ya serikali bila kujali Rais kasema nini.

Wananchi na sisi, kama wanavyofanya wasaidizi wa Magufuli, inabidi tujifunze kum ignore anachokisema. Tumeshajua kwamba huwa Rais anaongea na mihemko tu, hakuna mantiki katika mengi anayosema.
Wewe wasema, kesho naomba itisha press conference, maneno yote uliyoandika hapa yafute ila bakiza ilo la........ mihemko. Pengine watakuelewa zaidi.
 
Kuna thread humu jana alionyesha kodi ya milioni 20, wakati gari amenunua milioni 5!

Huyo mtu inawezekana alinunua gari kwa bei rahisi likiwa chini ya thamani yake lakini hapo TRA wanajua tathmini la hilo gari, inawezekana likwa kwenye 10 milions. Kuna rafiki yabgu hivi karibuni kanunua gari ford ranger kwa bei ndogo sana hapo UK lakini kwenye kodi hapo lazima ajitayarishe vizuri.
Mbona kodi za magari iko wazi hapo TRA. unaingia kwenye web site Yao pale kuna calculator ya magari ingawa inaweza ikawa plus au minus. unweka Aina ya gari, ukbwa wa Engine na mwaka iliotengenezwa then inkupa bei utakayo lipia.
Mimi binafsi niliwahi kuleta kw mara ya kwnaza tractor ndani ya container, na humo nikaweka nguo nilizokua nikizitumia huku Sweden na TV na suround system. Ikaleta kasheshe hapo bandarini, yaani hizo nguo tu ambazo ni maboxi 5 yaliotumika na ka TV hako walitaka nilipe dola 3500. Huo ni uwizi wa wazi kabisa, Sasa inatakiwa tuungane ili uwizi huo ukomeshwe, na ndio Magufuli anacho jitahidi ingawa baado hapo bandarini kuna hao wanao mhujumu.
Ilikua wewe unaleta conatiner ulipizwa mahela kibao, tajiri mwingine analeta meli nzima ya mzigo yeye ana honga huku na kule na mzigo unaingia bila kulipia kodi. mfano kama alitakiwa kulipia dola 200 0000 basi zitamtoka dola laki mmoja tu kw akuhonga na mzigo ukaingia mitaani, na sisi wa container mmoja unajikutuna kutoa mahela na hongo kila kona na pia mzigo wako usitoke kwa mda unao takiwa.
 
Serikali imewafuata Wafanyabiashara 100 wapi? Wako Jengo gani kila Udaku unaoenezwa na Wakenya Watanzania wanaujadili kama kweli. Hovyo kabisa..
Kweli mkuu, akili imegotea hapo hapo kwenye user name.
 
KWA NCHI KAMA YETU ILIYOUZA RASILIMALI ZAKE ZOTE KWA WAZUNGU SI RAHISI KUWANYALI WAFANYABIASHARA.
 
Back
Top Bottom