Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,421
Kwahiyo ni furaha kwako au ni uzuniHii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
Chanzo:Star tv magazeti
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!
Kwahiyo ni furaha kwako au ni uzuniHii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
Chanzo:Star tv magazeti
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!
Link?Source ya Habari Yako!Hao waliyofutwa ni wadaiwa wa bandari
Yule jamaa kachanganyikiwa haelewi anachotakiwa kufanya kwa sababu ya kukurupuka na kujifanya mjuaji wakati hajui loloteKufanya hivi ni upuuzi kiwango cha lami ni kutengeneza makundi, hivi hawa washauri wa bob wanatoka sayari gani
Kama ni kweli hili litakuwa kundi untouchable!
Kinachitakiwa ni kuweka mazingira rafiki kwa biashara
Uaminifu
Wepesi wa nyaraka
Uhakika wa kutoa mizigo kwa wakati
Kupunguza mlolongo wa kodi kwa ajili ya kuvutia wateja wengi zaidi
Bandari kufanya kazi 24/7 kwa shift
Nk nk
Furaha,Ndelemo na Vifijo!Kwahiyo ni furaha kwako au ni uzuni
Ndio huyohuyo
Kumbe kule Mombasa, Beira na Durban wanatudanganya meli zimeongezeka kumbe zimepaki tu hamna kazi kabisa.Siyo vizuri kushangilia msichokijua jamani. Hao waliyofuatwa ni wadaiwa sugu wa bandari siyo waleta mizigo. Wao mizigo wataleta na nini wkt meli karibu 7000 duniani zimepaki na zingine zimevunjwa kuwa vyuma chakavu kwa kukosa bidaa? Naona JF siku hizi imekuwa siyo greetthinkers bali imebaki ya wanywa mbege wasiyo na uelewa bali washangiliaji
Tehee usipende kujiaibisha bila sababu za msingi...hamna gazeti lolote lisilopenda kuuza kwa kichwa cha habari kisemacho "WAFANYABIASHARA NA WADAIWA SUGUHao waliyofutwa ni wadaiwa wa bandari
Me pia nataka sikia jambo kwa hawa wanywa maji ya bendera leo inakuwaje wakwepa kodi tunaenda bargain nao.... Kweli njaa haina baunsaNaomba Mwenye Uwezo Awatag Wafuatao:
Lizabon,Wakudadavua,MsemajiMkweli,MOTOCHINI et al
Lete na wewe source ya Habari yako na weka heading tofauti tuje kusoma na comments zetu otherwise mtu mzima huchutama kwa muda huuSiyo vizuri kushangilia msichokijua jamani. Hao waliyofuatwa ni wadaiwa sugu wa bandari siyo waleta mizigo. Wao mizigo wataleta na nini wkt meli karibu 7000 duniani zimepaki na zingine zimevunjwa kuwa vyuma chakavu kwa kukosa bidaa? Naona JF siku hizi imekuwa siyo greetthinkers bali imebaki ya wanywa mbege wasiyo na uelewa bali washangiliaji
Sasa Mkulu si alijifanya masikini jeuri kwa kutamba kuwa waliokimbia kutumia bandari ya Dar ni wale wafanyabiashara wakwepa kodi na akawaambia kuwa waende kwenye hizo bandari za nchi nyingine zinazoruhusu mizigo kupita bila kulipiwa kodi?
Sasa baada ya kuona bandari imekauka kabisa ndiyo anakuwa 'mpole' na kutaka kwenda kuwapigia magoti?
Hii nchi haitakiwi kuendeshwa kwa ubabe na matamko ya majukwaani, badala yake inatakiwa kuendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali namna bora ya kuiendeleza nchi yetu.
Mkulu akiendeleza kuendesha nchi yetu kwa staili yake ya ONE MAN SHOW, hakika nchi yetu itakuwa inaelekea kuwa another Zimbabwe...............