Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Bosi hanuniwi
Swali Kuntu!bandari si imeingiza matilioni miezi 2 iliyopita inakuaje tena??
Viongozi Wetu wa Kiafrica Ufikiri Uongozi Unamanisha Una Akili Nyingi Kuliko Uwaongozao!Tatizo watu wanadhani kupigiwa kura ama kushika nafasi ya uongozi na madaraka ndiyo kuwa kiongozi. Uongozi ni taaluma inayosaidia na tabia ya mtu aliyozaliwa nayo.
Mtu anakila kitu chini yake, lakini anashindwa kujua umhimu wake katika kufanikisha malengo. Wataalamu hadi polisi!.
Hili litakuwa ni tatizo la mtu binafsi na majuha wa ccm, linatugharimu taifa zima na vizazi vyetu kwa maslahi ya kundi dogo la watu wachache waovu!.
Huu Mchezo bana hauhitaji Push Ups. Huwezi mnunia mfanyabiashara na biashara haiendeshwi kama familia.Sasa Mkulu si alijifanya masikini jeuri kwa kutamba kuwa waliokimbia kutumia bandari ya Dar ni wale wafanyabiashara wakwepa kodi na akawaambia kuwa waende kwenye hizo bandari za nchi nyingine zinazoruhusu mizigo kupita bila kulipiwa kodi?
Sasa baada ya kuona bandari imekauka kabisa ndiyo anakuwa 'mpole' na kutaka kwenda kuwapigia magoti?
Hii nchi haitakiwi kuendeshwa kwa ubabe na matamko ya majukwaani, badala yake inatakiwa kuendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali namna bora ya kuiendeleza nchi yetu.
Mkulu akiendeleza kuendesha nchi yetu kwa staili yake ya ONE MAN SHOW, hakika nchi yetu itakuwa inaelekea kuwa another Zimbabwe...............
Asante,mkuu!
Inaelekea wadau wengi hawajui tofauti kati ya sera ya serikali ya zero tolerance to corruption na TPA marketing strategy. The latter is subject to the former.
Acha Wale Mavomit yao!Huu Mchezo bana hauhitaji Push Ups. Huwezi mnunia mfanyabiashara na biashara haiendeshwi kama familia.
Walianza kutishia wanao ingiza sukari na kusema wataenda kuagiza wao wenyewe walipofika Brazili wakaambiwa tayari tuna mawakala wetu tz na tuna mkataba nao so kama mnataka Sukari wafuateni hao na bado hawakujifunza namna biashara inavyo enda. Sasa Bandari imedodo inawalazimu kula mavomit yao na kuwapigia magoti wafanyabiashara.
si bora ununue baiskeli ya lakiGari unanunua mil 5 kodi mil 8 situmii kabisa hiyo bandari hata iweje
Hivi yanaitwaga "mavomit" au?
and Magufuli team learn it in a hard way.Siku zote Ubabe mfanyie masikini ila siyo mfanyabiashara mana unaweza lala bila kuvua viatu kwa kuchanganyikiwa..
Kajijaribu Mwenyewe!Sijalibiwi !