Acha bhana... ama kweli wewe ni Greet Thinker! Kumbe meli 7000 duniani zimepaki na kuuzwa chuma chakavu na kilichopo huko baharini ni mitumbwi??!! Hata kama kilichopo ni mitumbwi; hiyo mitumbwi nasi tunaitaka lakini sio kwa mgawanyo huu:Siyo vizuri kushangilia msichokijua jamani. Hao waliyofuatwa ni wadaiwa sugu wa bandari siyo waleta mizigo. Wao mizigo wataleta na nini wkt meli karibu 7000 duniani zimepaki na zingine zimevunjwa kuwa vyuma chakavu kwa kukosa bidaa? Naona JF siku hizi imekuwa siyo greetthinkers bali imebaki ya wanywa mbege wasiyo na uelewa bali washangiliaji
Bandari za Tanzania
Bandari za Kenya:
Bandari za Msumbiji:
Hapo hatujawekwa "mitumbwi" iliyopo na inayotarajia kufunga nanga kwa Madiba!!!!
Source: Marine Traffic