funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
- Thread starter
- #21
Wewe nawe unajihesabu kama ni GT?propaganda kama hizi hazina tija tujifunze kutenda haki Leo ni Nyerere day unaleta propaganda za miaka ya Nyerere wakati tupo Digital ni aibu Amagine huyu ni mwana CCM ana mawazo kama aya kweli Polepole alikua anapigania watu wajinga propaganda za ivyo zimepitwa na wakati