funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS.
kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo
leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na kuhamasisha jamii isishiriki kwenye uchaguzi.my extra thinking inaniambia kuwa CDM ilifunzwa kwa muda mrefu ili kufanya uhaini hapa nchini.
Tuvishukuru vyombo vya usalama kuwagundua hawa accomplice wa uhaini.
Ningekuwa na mamlaka ningewaungamisha kwenye kesi ya uhaini na sio kuwarejesha makwao..
Somo kwa GEN Z ni moja tu..kuwa wapo mamluki wa ndani na nje ya nchi wanaopambana kuiumiza Tanzania kwa kutumia jamii,taasisi na vulnerability ya watanzania...tuwaepuke na tupambane nao.
www.kas.de

Verantwortungsvolle Führung und nachhaltige Entwicklung
Erwartungen und Herausforderungen nach den Wahlen 2015