Kwa nini yeye mwenyewe hakuvaa kimasai kama mnasifia yeye? Eti kwa "kumvisha mkewe," hatuwezi kusema "mkewe kavaa"?
Picha yenyewe sioni uhusiano wowote na "baada ya kumwona Malkia," vipi alirudi ubalozini kusoma hotuba za kimasai?
Kumbe mke ndo Mmasai, sasa kwa nini mnamsifu mume kwa "kumvisha mkewe" kimasai? Mfumo dume, tufurahie Mama kavaa Kiafrika, sio kumsifu mwanamme, halafu unadai mume wa Tanga hata yeye kwao kuna mavazi ya jadi, mbona hakuyavaa kavaa suti ya Magharibi mirangi utafikiri kaazima Taxedo.kwa nini mgosi avae kimasai?kwani huko tanga hakuna vazi la jadi?. Mrs karaghe (mama balozi) nimjuaye mimi ni masai kwa hiyo alivaa vazi lake la jadi.
Kwa nini yeye mwenyewe hakuvaa kimasai kama mnasifia yeye? Eti kwa "kumvisha mkewe," hatuwezi kusema "mkewe kavaa"?
Picha yenyewe sioni uhusiano wowote na "baada ya kumwona Malkia," vipi alirudi ubalozini kusoma hotuba za kimasai?
Kwa nini yeye mwenyewe hakuvaa kimasai kama mnasifia yeye? Eti kwa "kumvisha mkewe," hatuwezi kusema "mkewe kavaa"?
Picha yenyewe sioni uhusiano wowote na "baada ya kumwona Malkia," vipi alirudi ubalozini kusoma hotuba za kimasai?
huyu balozi nani?
kweli na yeye angevaa lubega
lakini mama niwakimasai so whats wrong with her wearing her traditional cloths. unless u dont know her u should ask first
Hapo balozi wetu wa Uk akiwa na mkewe baada ya kutoka kumuona Malkia....View attachment 16135
nimeipenda hiyo, kweli huyo jamaa ni balozi wa tanzania