Balozi wa Tz amvisha mkewe kimasai ndani ya Buckingham Palace!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Hapo balozi wetu wa Uk akiwa na mkewe baada ya kutoka kumuona Malkia.... balozi.JPG
 
Kwa nini yeye mwenyewe hakuvaa kimasai kama mnasifia yeye? Eti kwa "kumvisha mkewe," hatuwezi kusema "mkewe kavaa"?

Picha yenyewe sioni uhusiano wowote na "baada ya kumwona Malkia," vipi alirudi ubalozini kusoma hotuba za kimasai?
 
kwa nini mgosi avae kimasai?kwani huko tanga hakuna vazi la jadi?. Mrs karaghe (mama balozi) nimjuaye mimi ni masai kwa hiyo alivaa vazi lake la jadi.
 
lakini mama niwakimasai so whats wrong with her wearing her traditional cloths. unless u dont know her u should ask first
 
kwa nini mgosi avae kimasai?kwani huko tanga hakuna vazi la jadi?. Mrs karaghe (mama balozi) nimjuaye mimi ni masai kwa hiyo alivaa vazi lake la jadi.
Kumbe mke ndo Mmasai, sasa kwa nini mnamsifu mume kwa "kumvisha mkewe" kimasai? Mfumo dume, tufurahie Mama kavaa Kiafrika, sio kumsifu mwanamme, halafu unadai mume wa Tanga hata yeye kwao kuna mavazi ya jadi, mbona hakuyavaa kavaa suti ya Magharibi mirangi utafikiri kaazima Taxedo.
 
Kwa nini yeye mwenyewe hakuvaa kimasai kama mnasifia yeye? Eti kwa "kumvisha mkewe," hatuwezi kusema "mkewe kavaa"?

Picha yenyewe sioni uhusiano wowote na "baada ya kumwona Malkia," vipi alirudi ubalozini kusoma hotuba za kimasai?

achaa udufi , we huoni huyo mama kapendeza . hongera mama balozi kwa kung'aaa wasalam aleikum boflo.
 
Kwa nini yeye mwenyewe hakuvaa kimasai kama mnasifia yeye? Eti kwa "kumvisha mkewe," hatuwezi kusema "mkewe kavaa"?

Picha yenyewe sioni uhusiano wowote na "baada ya kumwona Malkia," vipi alirudi ubalozini kusoma hotuba za kimasai?

Umetoa hoja nzito huwa najiuliza mara nyingi.

Mfano

  • kwa nini vasmi rasmi la bunge iwe suti tu. kwa nini bunge letu japo liswe na ubunifu japo siku moja kati ya tano za bunge wawaruhusu wabunge kuvaa mavazi ya kitamaduni kama wanapenda?Nafasi ngapi za ajira za ndani zitatengenzwa?Bunge haliwezi kuwa kieleleza na mfano wa utamaduni?
Sasa huyu balozi mkewe kavaa kimasai tumpongeze. Je yeye angevaa lubega kwenda kwa malkia angefukukuzw kazi??????? Amthin kwa sababu hata official mavazi yetu ya kiofisi bado ni ya kikoloni balozi kuvaa kimasai ingetosha arudishwe nyumbani.

Tunajisifia tulipata uhuru lakini kimawazo bado.

NB:
But hiyo picha nadhani haiendani na tittle ya thread au Huko palace kuna Picha ya JK.
 
attachment.php

huyu balozi nani?

kweli na yeye angevaa lubega

huyu ni balozi Kharage, balozi wa tz uingereza,kabla ya kuhamishiwa uk alikuwa balozi wa tz canada. Kabla ya kuwa balozi alikuwa ofisa habari wa ikulu: uliza tena.
 
Shida ni kwamba UK watu wengi wanajua wamasai wanaishi Kenya na Mlima Kilimanjaro uko Kenya
 
Huu uvaaji umechakachuliwa, unless wangevaa wote kijadi. Au pia na jadi zao zimeshachakachuliwa hawajielewi tena. Pengine huyo mheshimiwa balozi uzungu ndiyo jadi yake.
 
Wasambaa hawana mavazi ya jadi, haileti awe tofauti na mamsab wake
 
nimeipenda hiyo, kweli huyo jamaa ni balozi wa tanzania

Huyu ni balaozi wa Tanganyika kwani ni wamasai ndio peke yao wanaoishi nchi hii ?????kwa nini asimvike kikawaida tu wacheni ujuha wenu huo hamuaibishi nchi yenu bali mnaaibisha watu weusi wa ulimwengu mzima tunaonekana si watu hatuna fikra zozote zite zile kazi ni kucheza ngoma tu , haya yote yanatokana na wazungu kuja afrika na kupendezewa na maisha ya kabila fulani ,haina mana kila Mtanzania au muafrika ni mmasai ,majuha wakubwa nyie msioweza kuzituma akili zenu mshhhh
 
Back
Top Bottom