Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

Nyie wachokozeni polisi , mtaelewa!
Ngoja wamalize kupiga kura kwanza
 

Attachments

  • FB_IMG_1603789649796.jpg
    FB_IMG_1603789649796.jpg
    38 KB · Views: 1
Jiwe ameharibu nchi yetu sana aburuzwe mahakama za kimataifa.
Mnaongeaga tu kuhusu mahakama za kimataifa ila amjui lolote.

Kaulizeni wananchi wa Rwanda,Burundi,Uganda,Congo kwanini marais wao hawajapelekwa hizo mahakama za kimataifa ilhali wameuwa maelfu ya watu badala yake wanakaribishwa kwenye hizo nchi za mabeberu kwenda kula good time.
 
Wakati jana mnafurahia video za wahuni wachache wakiwapopoa polisi na matofari mlijiuliza polisi mwenye ak 47 akiamua kujibu matokeo yake yatakuwaje...
Kwann polisi wafanye hivyo? Kuna madhara risasi ikikosea njia. Wahalifu hawaadhibiwi kwa kuuliwa.
 
Ukisikia kuomba jamvi msibani ndio huku...unajipeleka barabarani ili upigwe na video zako zitumwe kwa mabawana wakubwa nchi yako iwekewe vikwazo, na wakati huo huo kwa bwana mkubwa wapo wanapakana matope na email za siri za wagombea, matangazo ya kampeni ya kuitana mazombie, polisi wakitandika waandamanaji Chicago, China ikiwaminya mbavu kwenye biashara, deni kubwa la kupambana na vmafua....nk
Kwa taarifa za wafanya fujo huu mwaka wana bahati mbaya,

Mungu atulinde sisi na nchi yetu

Tukumbuke

Hakuna wa kumpenda mTanzania bila bila kuwapo kwa Tanzania

Hakuna wa kuipenda Tanzania bila kuwapo madini, mafuta, gas, bahati, maziwa, milima, mbugazetu na wanyama, ardhi yenye rutuba, mito n.k
 
Huyu beberu hajawaasa hata kinafiki raia wahalifu wanaofanya fujo, yaani ndo zao hawa kikinuka anakuja kuchukuliwa na dege la kimarekani na watumishi wenzake.
 
Halafu siku zote huo ubalozi ndo kimbelembele sana. Walileta chokochoko sana syria sasa wametuliza matako yao
 
Back
Top Bottom