NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
Kila baada ya miaka kumi Tanzania bara na visiwani tunapiga kura anaingia Rais mwengine.Kiburi sio jambo jema maana wapo Marais wa ulimwengu na wafuasi wao waliamini hakuna wakuwaondoa madarakani matokeo yake waliondolewa kwa aibu kubwa ikiwemo kuburuzwa mtaani kama vibaka na wengine kutoroka kwa kujifunga baibui za wanawake ili wasijulikane.
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
kwa Tanzania akuna Rais king'ang'anizi wa kung'ang'ania madarakani mpaka kufikia hatua ya kubuluzwa barabarani kama Samwel Do na wengineo.