Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

Aaa wapi,,kwani nini cha ajabu kipya,mbona Mkapa alipiga pini na akuna cha mahakama ya mwanzo wala cha ICC.
Unadhani kipindi cha mkapa ni sawa na mwaka huu???

Unajua mkapa wako alikuwaje kidiplomasia??? Unaweza mfananisha na hawa utopolo wako Magufuli na Kabudi????
Uliwai sikia senate wanaijadili Tanzania kipindi cha Mkapa???
 
We fala nilikwambia mapema Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sasa hivi umebakia kila thread ICC, nina uhakika hata kirefu chake hujui. Kesho ndo mwisho wa kelele zenu, mbaki mnalalamika tu.
Dalali ni huyo aliyejenga uwanja wa ndege chato
 
We fala nilikwambia mapema Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sasa hivi umebakia kila thread ICC, nina uhakika hata kirefu chake hujui. Kesho ndo mwisho wa kelele zenu, mbaki mnalalamika tu.
Kwani kura zimeshapigwa??? Raisi ameshatangazwa????
Mbona kama umechanganyikiwa???
 
Sawasawa kabisa. Ndo mpeleke pesa za walipa kodi wa Tanzania nzima tena bila kufuata taratibu??
Kahoji kwanza pesa za ruzuku ya chama, michango ya wabunge na rambirambi za michango ya marehemu mawazo wa Geita Mbowe kazipeleka wapi?
 
We fala nilikwambia mapema Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sasa hivi umebakia kila thread ICC, nina uhakika hata kirefu chake hujui. Kesho ndo mwisho wa kelele zenu, mbaki mnalalamika tu.
Punguza basi ukali wa maneno
 
Huko kwao ndio kimenuka zaidi,
Ila kwao wanaongea tu wanagombana kisiasa lakini hakuna atakayethubutu kumuumiza mpinzani wake au mpenzi wa chama kingine au siju Trump azime net watamtimua mara moja. hapa tushindane kisiasa lakini sio kutisha watu kuongea na kuzima mitandao.
 
Unadhani kipindi cha mkapa ni sawa na mwaka huu???

Unajua mkapa wako alikuwaje kidiplomasia??? Unaweza mfananisha na hawa utopolo wako Magufuli na Kabudi????
Uliwai sikia senate wanaijadili Tanzania kipindi cha Mkapa???
Nimekuelewa sana bwashee,inamaana ukiwa mwanadiplomasia ukauwa watu ni sahihi,ila usipokuwa mwanadiplomasia kisha ukauwa watu unakuwa muovu.

kumbe ndo maana kuna marais wengi kama G.Bush,Kabila n.k wameuwa watu wengi ila kwasababu ni wanadiplomasia The Haugue aiwaoni.
 
Hii damu ni doa Sana kwa familia ya mwinyi, yule mzee ana miaka 95 badala ya kukaa karibu na Mungu lala salama hii ana hangaika utadhani bado ana mda tele wa kuishi duniani
 
Kwa mwenye akili

Ni bora na salama kwa ww kuridhika na Ugali unao upata kila siku

Hii ni Afrika
Hakuna nchi iliyobadilika baada ya kuondolewa Mtawala na kusimikwa Mtawala mpya.....
Bali ni machafuko na ubabe tu

Tuitunze amani tuliyonayo

Hii ndio comment bora kuliko zote kipindi hiki cha uchaguzi
 
Watu wenye altitude ya upingaji ni wanafiki na wapumbavu Sana. Yani wao wanataka wawapige police kwa mawe waachwe tu, sijui wandhani police sio watu? Mnapokwenda kuchokoza police aliyeshika AK47 hakikisheni uwezo wa kukabiliana nao mnao, sio mnakuzwa vichwa tu na watu ambao hata hawaishi nchini. Mtakufa na kupata vilema vya maisha na wala hakuna atakae wajali zaidi ya kuwalilia tu mitandaoni kama hivi.

👉 HAYA kile kizee cha zenji kimeamka leo asubuhi eti kinaenda kwenye kituo Cha kupigia kura ilihali kinajua kabisa kinatakiwa kikapige kura kesho. Eti lengo lake kikamatwe na police kiingize watu road😂😂.Wazanzibar hawawezi kuhatarisha maisha yao, juu ya mtu alie katika harakati zake za kujitafutia ugali.
 
tafuta chanzo nini na sio kubweka tu,pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom