Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,635
- 218,069
Mungu wabariki WazunguNchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605
Mungu wabariki WazunguNchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605
Hiyo ni akili kweli mkuu au Utopolo? Wewe inaamani gani hapo ulipoKwa mwenye akili
Ni bora na salama kwa ww kuridhika na Ugali unao upata kila siku
Hii ni Afrika
Hakuna nchi iliyobadilika baada ya kuondolewa Mtawala na kusimikwa Mtawala mpya.....
Bali ni machafuko na ubabe tu
Tuitunze amani tuliyonayo
Mkuu hapo ndipo unapokosea unaposema hawezi kuwa Rais hata iweje.Si ameandika tu uko Twitter, kuandika hawajaanza leo, wino upo wa kutosha acha waandike tu. Ila ukweli utabaki palepale mzee Sief awezikuwa Rais wa Zanzibar hata iweje.
Kiburi sio jambo jema maana wapo Marais wa ulimwengu na wafuasi wao waliamini hakuna wakuwaondoa madarakani matokeo yake waliondolewa kwa aibu kubwa ikiwemo kuburuzwa mtaani kama vibaka na wengine kutoroka kwa kujifunga baibui za wanawake ili wasijulikane.Si ameandika tu uko Twitter, kuandika hawajaanza leo, wino upo wa kutosha acha waandike tu. Ila ukweli utabaki palepale mzee Sief awezikuwa Rais wa Zanzibar hata iweje.
Kula=Kura.Kulikuwa kuna ulazima gani wakwenda kuwarushia police mawe kulikuwa na ulazima gan wa Seif kutangaza kwenda kupiga kula leo ilhali anajua uchaguzi ni kesho leo ni kwa makundi maalumu yaliyoidhinishwa na istoshe mawakala wake wapo wanasimamia
Upinzani isiwe chanzo cha kupinga kila kitu hao police mnaopiga mawe wanafamilia zao pia zinawaangalia akijitetea mnalalamika
Nendeni mkapige kura haki ni kupiga kula sio kusababisha machafuko huko the Huge mnaposema nchi mnayosema inawasaidia kuwasemea haiitambui hiyo mahakama
KAPIGE KURA SUBIRI MATOKEO KUWA MPINZANI WA KUJENGA SIO KILA KITU UNAPINGA
Hiyo ni akili kweli mkuu au Utopolo? Wewe inaamani gani hapo ulipo
Ni wachache sana wenye akili watakuelewa ChiefKulikuwa kuna ulazima gani wakwenda kuwarushia police mawe kulikuwa na ulazima gan wa Seif kutangaza kwenda kupiga kula leo ilhali anajua uchaguzi ni kesho leo ni kwa makundi maalumu yaliyoidhinishwa na istoshe mawakala wake wapo wanasimamia
Upinzani isiwe chanzo cha kupinga kila kitu hao police mnaopiga mawe wanafamilia zao pia zinawaangalia akijitetea mnalalamika
Nendeni mkapige kura haki ni kupiga kula sio kusababisha machafuko huko the Huge mnaposema nchi mnayosema inawasaidia kuwasemea haiitambui hiyo mahakama
KAPIGE KURA SUBIRI MATOKEO KUWA MPINZANI WA KUJENGA SIO KILA KITU UNAPINGA
ICC ilishajifia, juzi USA imewawekea vikwazo maafisa wote!Kwa iyo ndo mnatisha watu??? Kwa taarifa yako watu wa namna yenu sehemu yenu inaitwa ICC
Mnapoteza Muda, Uonevu kafanya Ilan kwa kuangasha ndege iliyojaa abiri wake na watu wakaandamana na kuwapiga na hiyo the Mahakama yenu kimyaa itakuwa nyie wachacheAsante balozi USA ,dunia inashuhudia kila uovu na dhuluma.
Kwa hiyo? Ccm mzidi kutuchapa risasi kisa na marekani wanafanya hivyohivyo?Huko kwao ndio kimenuka zaidi,
Kwa hiyo? Ccm mzidi kutuchapa risasi kisa na marekani wanafanya hivyohivyo?Huko kwao ndio kimenuka zaidi,
Mungu awasaidie nyie akina Nani?!Walipanua midomo kwamba Upinzani unafutika 2020.......matokeo yake wao ndio wanafutika 2020......Mungu atusaidie
Ofsaa, hakuna kitu kinauma kama ushabiki wa chama wa kipuuzi unaenda kusababisha maafa kwa watoto na kina mama kisa tu mtu kaamua kupinga kwa mitazamo yake kama Seif alichofanya Sio sawa nilitegemea Kuona watu wakikemea alichofanya seif lakin watu wakashangilia Kuwapiga Police akili ndogo sana ndo ilotumia hapoNi wachache sana wenye akili watakuelewa Chief
Wapuuzi sana
Wamarekani wenye majina ya Donald siyo diplomatic saaana.Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605
Inasikitisha kauli muhimu kama hizi zinatoka kwa wageni wakati viongozi wa dini hapa Nchini wako kimya wakimpamba Magufuli na kumsaidia kueneza propaganda mfu.Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605