George Smiley
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 471
- 267
mkuu una maana gani?
Kama hujaelewa tena bas....tukupe mji uende Mombasa!
Last edited by a moderator:
mkuu una maana gani?
Ndugu yangu naona hujawahi kufanya kosa la typo. BAK kishanisahihisha.Wengne mckurupuke ucngzin na kuleta uozo humu. Sasa Asha Rose anarudi bongo june 2010 maana yake nini?
hahahahaha lol umenichekesha.
Mwanakijiji samahani
Hivi kazi na majukuu ya katibu Mu kingozi nini. I mean kunaweza kuwa na upwayajai wa utendaji cheo kama hicho kikikaa wazi mwaka mzima ?
Katibu Mkuu kiongozi ni cheo kikubwa sana na kina influence kubwa katika uongozi wa nchi lakini siyo kwa Tanzania ambapo Rais ni kila kitu. Kila kitu kwa maana kwamba mawazo yake na maamuzi yake ndiyo sera, mkakati, sheria, kanuni na mwongozo wa kuongoza nchi. Na Rais kama kikwete hali hiyo ndiyo imetamalaki sana. Inasemekana yeye huwa hashauriki, haambiliki na mbaya zaidi wakati wa cabinet meetings huongea sana irrelevant story na hutoa 'concluding remarks' kwenye mada mbichi kabisa ambayo washauri wake wakuu yaani mawaziri na hususani waziri wa sekta husika hajatoa mawazo yake. Kwa hiyo, kwa muktadha huu, ukatibu mkuu kiongozi chini ya kikwete hauna maana yoyote. Kwangu mimi hata akimweka mama salma, au tambwe hiza au hata riz1 ni sawa tu na kuwepo luhanjo. Hakutakuwa na mabadiliko yoyote.

Katibu Mkuu Kiongozi. Ni kiongozi wa mawaziri wote! Kuanzia PM hadi wa Jinsia,na Watoto...
Suala la umri hata ulaya wanaoshika uongozi asilimia mpaka 90 ni wazee!! Ulaya mtu wa miaka 50 kushika madakara ya kuongoza nchi huwa inaonekana kama ni kijana ingawa "life expectancy" yao na yetu ni tofauti. Suala si umri bali ni ufanisi kwani kuna vijana wengine wasomi na wadogo lakini ufanisi wao unapitwa kwa mbali na wazee waliomo kwenye taasisi zao.Hivi hii nchi viongozi ni hawa tu hakuna wengine? Kwa nini watu wanaenda shule kama kazi zenyewe wanashikilia watu wale wale tangu Tanzania oops sorry Tanganyika inapata uhuru!! Wazee kaeni makwenu mle pensheni waachieni watu wengine mimi nakasirika upuuzi huu.
Butiku je?..hii itakuwa ni ajabu kidogo ukizingatia kwamba Balozi Sefue hajapata kuwa Katibu Mkuu wa wizara yoyote ile.
..Makatibu wakuu viongozi wengi waliomtangulia waliteuliwa kutoka ktk safu ya Makatibu Wakuu.
..pia nafasi hiyo haijapata kushikwa na mwanamke tangu tupate uhuru. Je, hakuna kina mama wanao-qualify hapo?
..hakuna Mzanzibari amewahi kuteuliwa Katibu Mkuu kiongozi.
..pia sikumbuki kama kuna Muislamu amewahi kushika wadhifa huo.
NB:
..according to mwana JF Kilasara,Makatibu wakuu viongozi tangu tupate uhuru ni hawa hapa: Dunstan Omari, Joseph Namata, Dickson Nkembo, Timothy Apiyo, Paul Rupia, Martens Lumbanga, na Philemon Luhanjo.