..hii itakuwa ni ajabu kidogo ukizingatia kwamba Balozi Sefue hajapata kuwa Katibu Mkuu wa wizara yoyote ile.
..Makatibu wakuu viongozi wengi waliomtangulia waliteuliwa kutoka ktk safu ya Makatibu Wakuu.
..pia nafasi hiyo haijapata kushikwa na mwanamke tangu tupate uhuru. Je, hakuna kina mama wanao-qualify hapo?
..hakuna Mzanzibari amewahi kuteuliwa Katibu Mkuu kiongozi.
..pia sikumbuki kama kuna Muislamu amewahi kushika wadhifa huo.
NB:
..according to mwana JF Kilasara,Makatibu wakuu viongozi tangu tupate uhuru ni hawa hapa: Dunstan Omari, Joseph Namata, Dickson Nkembo, Timothy Apiyo, Paul Rupia, Martens Lumbanga, na Philemon Luhanjo.