Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Siasa ni sayansi!

Ukikosea formula utapata solution ya ajabu!

Mafuriko ya kutengeneza yaliwafanya wakawa vipofu kifikra!

Msanii alifanya kazi yake iliyosababisha baadhi kukumbwa na mafuriko ya kutengeneza!

Kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa!

Ukweli hutumia ngazi kuwafikia walengwa!

Ukweli umeanza kuwafikia!

By the way. Mambo ya kuhama hama vyama wawaachie vijana. Wewe umezeeka ukiwa ndani ya chama halafu baadaye unatuambia eti chama kimepoteza mwelekeo au kimekosa pumzi!

Wazee wa aina ya Juma Mwapachu ni hatari sana katika ustawi wa Taifa kwa sababu kwao tumbo ni kila kitu. Wako tayari hata kuua ili washibishe tumbo lao.

Watu kama Mzee Warioba au Butiku hawaho ndani ya CCM kwa sababu CCM ni nzuri sana, la hasha. Wako ndani ya CCM kwa sababu heshima yao wameipata ndani ya CCM.

Kwenye utawala wa Rais Magufuli tutaona na kusikia mengi!
I concur.......
 
Huyo atakua mamluki wa ccm, kaenda kwa kazi maalum! Keshaimaliza na sasa analudi nyumbani kwao.
We jamaa akili yako iko vizuri hilo jambo liko wazi.

Pitia sababu alizotoa ni za kudestroy image ya UKAWA/CHADEMA mbele ya wananchi.

In short anamaanisha kwa sasa CHADEMA imejaa wapiga dili walioahidiwa vyeo na Lowasa.

Strategies za CCM ni next level watatawala kwa muda mrefu sana.

Shikamoo CCM
 
Huyu Mzee bora angeikita hoja yake kwenye utendaji wa Magufuli. Hili la kuahidiwa Uwaziri Duh! Limechefua haswaa
 
Sitawashangaa kwa propaganda zenu hizi. kwani mlianza wakati wa kampeni kuwa LOWASA endapo akishindwa kupata uraisi atarudi CCM kwani kule CDM amefuata cheo na siyo uanachama wa CDM.

Mkapatwa na aibu kubwa sana baada ya kuona kuwa mh. Lowasa bado yupo ngangari ndani ya CDM pamoja na UKAWA bado inadunda tu.

Mlipatwa na AIBU KUBWA SANA majuzi mlipomuona Mh. Lowasa akiwa katika mkutano mkuu wa CHADEMA pale jijini MWANZA.

Mlipata aibu kubwa majuzi mliposhuhudia mama Regina Lowasa akiwa na BAWACHA pale hospitali ya Morogoro wakifanya usafi pamoja na kutoa misaada katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani.

NI AIBU YENU MILELE.

BADO MTASEMA MENGI. View attachment 330172


hapo ndo tunapokosea katika uelewa wa siasa.

chama chaweza muajiri na kumfuta kazi mtu yeyote kulingana na chama kitakavyoona inafaa. hivi vyama ni taasisi kama taasisi zengine. wakiona utawafaa katika nafasi yenye mapungufu kwao basi watakuchukua na kukupa mkataba.

pia hawa wanasiasa ni watafuta ajira kama wewe unapoomba ajira bank, nssf na kampuni zengine. wanahaki ya kuomba kazi sehemu yeyote watakayo.

pia inauma chama kupoteza watuwao mahili katika chama, kama vilabu vya mpira napokuwa ngumu kuwapoteza baadhi ya nyota wa club zao.

tatizo tz tunachukulia viongozi wa ccm au chadema au cuf, kama miungu akiama tu basi utukufu umeisha katika chama hicho, ukifuata hivo utaumia sana. najua uchaguzi wa 2015 umeachia madonda ndugu kwa vyama vikuu hapa tz lakini jua ndo mchezo ulivyo wa kuibiiana wale vichwa wa chama. na wale vichwa wao wanaangalia vitu viwili tu pesa na wapiataendelea kungaaa kama lulu.

ukielewa haya huwezi kuwa na hasira za utani wa jadiii

salaam
 
We jamaa akili yako iko vizuri hilo jambo liko wazi.

Pitia sababu alizotoa ni za kudestroy image ya UKAWA/CHADEMA mbele ya wananchi.

In short anamaanisha kwa sasa CHADEMA imejaa wapiga dili walioahidiwa vyeo na Lowasa.

Strategies za CCM ni next level watatawala kwa muda mrefu sana.

Shikamoo CCM

Hapana mkuu nnapingana na wewe, ameidhalilisha sana CCM kwa kuonesha aina ya wanachama iliyo nayo nikimaanisha wanachama MASLAHI mbele..

Wapo radhi hata kuuza nchi hii kwa sababu ya matumbo yao, imagine mtu kama huyu akiahidiwa pesa nyingi ili kutoa siri za kiusalama ci mapema tu anachukua chake!!?
 
Hawa wazee wazima walikubali kuingia mkenge.

Je hawa nao waliahidiwa uongozi au waliongozwa na dhamira zao


1. Sumaye

2. Mgeja

3. Kingunge

4. Masha

5. Makongo

6. Ole Medee

n.k



Mwapachu umenisikitisha sana.
 
Waswahili wanafiki sana dont dare to trust them,huwa hawana msimamo kabisa
Sasa Waswahili wametoka wapi?
Mnatukana makabila ya Watu kwa mazoea. Kwa nini usiwe Uchaga,usukumaka au Kabila lolote.
Tumechoka kutukanwa hovyo.
 
Chezea Chama usichezee Mkuu wa nchi. Juzi juzi Arusha kwenye mkutano wa EA Mkulu alimpita Kama hamjui..nafikiri hilo pia lilimshtua sana hakulitegemea. Na kasheshe anazozipata uraiani.
Hata majuzi waziri wa kazi alipoenda Arusha alipita pale Ofisini kwa mtoto wake na Leopard.. Mtoto wake ana kesi kubwa sana na wafanyakazi wa hiyo kampuni waliofanya kazi kwa zaidi ya miaka 20 bila ujira wowote kulipwa NSSF wakati kwenye salary slip walikuwa wanakatwa makato ya NSSF... Nadhani pale walimbeep tu na bado kesi iko mahakamani... Na pia ana msala wa kufanyisha watu wasio Watanzania kazi bila ya permit.. Nadhani hili kasheshe ndio limefanya dogo ampigie babake magoti arudi CCM..
 
Hawa wazee wazima walikubali kuingia mkenge.

Je hawa nao waliahidiwa uongozi au waliongozwa na dhamira zao


1. Sumaye

2. Mgeja

3. Kingunge

4. Masha

5. Makongo

6. Ole Medee

n.k



Mwapachu umenisikitisha sana.
 
Ni haki yake maana hakulazimishwa kutoka wala kuingia,lakini kwa umri wake haionyeshi tabia nzuri kwa jamii,mwanaume lazima uwe na msimamo,ukisema hii ni njano iwe njano sii baada ya muda unasema ni nyekundu.
 
Back
Top Bottom