Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Wazee walisema kungulu hafugiki..... Ni kweli kungulu hafugiki..... Ila vijana wa leo tunasema fisi hafugiki.... Jiulize sasa ni kweli fisi hafugiki!?!?!!? Ni kweli utakubaliana na mm kuwa fisi nae hafugiki....

Basi mwacheni mwapachu aludi poli lake la fisiem koz yeye ni fisi hafugiki!!!!!
7eda20459a8be31bde5bf2dc66eea150.jpg
 
Alivyokuja tulimshangilia.....sasa anarudi tunamzomea....

Haya Masha, Mpendazoe, Mahanga, Msindai, Lembeli na nyie tieni maji
 
Kwa taarifa yako cdm hata lisingekuja hilo kundi la wahuni bado ingepata zaidi. Hiki unachokisema wewe labda kwa watu wasiojua siasa wala kuijua cdm. Huyo EL alikatwa na ccm kwa hofu ya kuogopa nguvu ya cdm, idadi ya watu kujiandikisha kwa hasira uchaguzi huu ilijitokeza kwa sababu ya kutaka kuing'oa ccm, na walio wengi walijua EL ndio atachaguliwa na ccm. Sisi cdm ndio tukaona tumepata hilo kapi toka ccm kumbe tumepatikana. Nani kakudaganya cdm imependwa baada ya kuja EL? Mimi binafsi nimempa EL kura yangu sio kwa kumkubali bali ni ile tofauti yangu ya kudumu dhidi ya ccm lakini nilikuwa najua hafai. Na kwakuwa najua elimu ya uraia wangalau niliona ni bora nimpe EL ili kupunguza wingi wa wabunge wa ccm bungeni. Wewe baki kudanganya watu hapa na kutoa matusi ya kishamba ili uonekane mjanja kumbe ni boya tu. Na ukitaka matusi hebu niPM nikuchomekee disk mbovu ndio utajuta kujichanganya na mimi K...ma mama..ko. Watu tumepigwa mpaka mabomu huyo EL akiona sawa tu tulichokuwa tunafanyiwa wapinzani, leo unataka kutuambia usengerema gani we kenge. Chama ni watu sio mtu kama unavyotaka tumuamini huyo EL.
Katika mifugo ile ya porini aka nyumbu bas ww ndo yuleee wa mbele anaeongoza msafara. [emoji89] [emoji85]
 
Wazee walisema kungulu hafugiki..... Ni kweli kungulu hafugiki..... Ila vijana wa leo tunasema fisi hafugiki.... Jiulize sasa ni kweli fisi hafugiki!?!?!!? Ni kweli utakubaliana na mm kuwa fisi nae hafugiki....

Basi mwacheni mwapachu aludi poli lake la fisiem koz yeye ni fisi hafugiki!!!!!
7eda20459a8be31bde5bf2dc66eea150.jpg
Hahaha hiyo inaitwa "back to my roots"
 
Wenzake wa akina nani na why aseme haya leo?Wenzake wamebaki na vyeo vyao wakina nani why asiwataje?Aliaidiwa Uwaziri wa mambo ya Nje why anasema leo?Kipi kilimsukuma?nadhani kwa weledi wake hiyo taarifa yake imepwaya sana
Wapi alosema kuwa aliahidiwa cheo na wenzie wamepewa vyeo?
Maana hapo naona hotuba yake " tamko" na katika hilo sijaona hayo ambayo watu wanaysema kayasema.
Kuna sehem, EATv nimeona wamepost hotuba ambayo iko tpfauti kabisaaaa na hayo aliyoyapost mtoa uzi. Ukweli uko wapi, yapi ni kweli matamko yake, ninyale ambayo yanasema alikuwenda chadema kwa kumfuata Lowasa na alihaidiwa uwaziri wa mambo ya nje? Au hii iliyoko hapo juu kwa mtoa post, amabayo sijaona hata moja kati ya yale ambayo wary wanasema?
 
Kama kigezo ni demokrasia mtu Ana haki ya kuhama chama kimoja na kujiunga au kutojiunga na chama kingine.. Pia demokrasia inamruhusu binadam kurudia chama alichotoka akajiunga tena.... Bas nahis demokrasia hiyo hiyo inampa binadam haki ya kumfata ampendaye aliko na akiona amechemka anaweza kumwacha na kumfata mwingine aliko. HIYO NDIO DEMOKRASIA. Na moja ya maaana ya siasa ni NANI ANAPATA NINI? LINI? NA KWA NAMNA GAN! (WHO GETS WHAT, WHEN AND HOW) kwa hivyo sijamlaum sana mwapachu kwa uamuz wake LAKIN NIMEMWOGOPA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naona leo wafuasi wa CHADEMA wanapeana za uso...aa jamani acheni tabia mbaya hii ni siasa tu tehe tehe tehe!
 
Wazee walisema kungulu hafugiki..... Ni kweli kungulu hafugiki..... Ila vijana wa leo tunasema fisi hafugiki.... Jiulize sasa ni kweli fisi hafugiki!?!?!!? Ni kweli utakubaliana na mm kuwa fisi nae hafugiki....

Basi mwacheni mwapachu aludi poli lake la fisiem koz yeye ni fisi hafugiki!!!!!
7eda20459a8be31bde5bf2dc66eea150.jpg
Dah Jamaa hata kuandika tena kwa kiswahili hawezi!! aisee! kweli hizi ni ghasia za demokrasia.
 
Nakumbuka yale maneno ya Mbowe alipokuwa akimsifia Mwapachu, dah ilikuwa shida wakati wa kampeni tehe tehe tehe!
 
Inaonekana wote waliomfata Lowassa waliahidiwa vyeo, dah hii ni hatari sana tehe tehe tehe!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom