Wanajamii nimepata tetesi kuwa dr balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania haijulikani alipozikwa na hata ndugu zake hawakuudhuria mazishi yake wala serikali haikutuma mwakilishi nataka kujua kama alizikwa au ilikuwaje?
Kama yupo hai basi Watanzania tutaendelea kuburuzwa mpaka kiama. Lakiki acha waendelee kuuana tu na kuzikana kwenye vyombo vya habari siku watakapofufuka tu sisi wakati huo tutawabana tu tukiwa na katiba yetu mpya
Hivi kujadili hili litaondoa nafasi ya kujadili katiba? SiriKali I mean serikali inawajibu wa kuuhakikishia uma kama haya madai ni ya ukweli au la. Mimi nilisikia kuwa yuko UK, na kuna MTZ mhadhili wa UDSM alimwona wakatambuana, kilichofuata aliporudi nyumbani ilikuwa ni mauti yake. Kweli tukae kimya?
D
Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK
Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK
Unajua sisiem ni zaidi ya chama cha siasa, ndo maana utakuta mtu kama Rostam yupo tayari kuwekeza mabilioni ilimradi hicho chama kiendelee kukaa madarakani.
wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi ccm na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa gavana wa benki kuu yaani balali yupo na anakula bata sweden.. I will come back