Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.

Hana lolote hizo ni propaganda.
Ameanza /wameanza kuwa na hofu mapema na wanaona miaka miwili iliyobaki haya toshi kwa yeye kuendelea kuponda miraha kwani anajua 2015-CDM itakuwa pale magogoni na madudu yao yote lazima yatachunguzwa na kuwekwa wazi .

Ukitaka kuona dalili , anza kufanya tathimini ya safu za Uongozi wa CCM kwenye Uchaguzi huu uliopita jinsi hofu ya Kundi la Mkapa na mafisadi wengineo linavyohaha kutafuta namna ya kuzuia CDM maana wameshaona Jk (''Dhaifu'' by J.Myika) hawezi kuwazuia CDM.
 
watafanya kila ufisadi ilimradi tu cdm isiingue madarakani make wataumbuka vibaya mno"!"!!!!!!
 
Huyo anaye tweet anaweza kua sio Balali jamaa tu anatuchanganya akili; lakini naamini kwamba Balali mwenyewe yupo hai.

Huyu jamaa ana siri nzito na kama alifariki kweli, basi serikali ingekua na furaha sana na kufanya mazishi ya wazi hili jamii wajue kwamba ushahidi umepotea.

Kilichofanya "msiba" wake uwe wa siri ni kwa vile ilikua kanya boya. Sijui walifukia sanamu.

Nashangaa sijui kwanini jamaa kakubali kupoteza uhuru wake kwani hili swala hata kama angekua hai, kwa Tanzania swala lingekua limeshapotezwa.
 
Hana jipya marehem,atuandalie nafasi tu huko kuzimu,serikali sio wajinga na hawawezi kumchekea mtu ambae ataweza leta sintofahamu kwa wananchi wake nikimaanisha kuwa kama angekuwa hai ni muda tu serikali ingefanya kile tunacho kielewa,
huyo hayupo hai ni mtu mwingine tu ndiye anayetumia mtandao huo.
 
Hebu tujiulize na hili. Msingi wa kuamini utabiri wake ni nini? kwa vile "amekufa"? Huo ni mtazamo tu kama ambao angeutoa mtu yeyote aliye na fikra za kimagamba magamba na aliye na hofu ya mabadiliko.
 
Kama kweli yupo real aende kwenye TV stations ili tumuone kwa nini amekuwa mwoga kiasi hicho!?Nahisi kama mhuni fulani mwenye ajenda ya siri...!
 
Awe hai awe alikufa cha maana watanzania tuendelee kupigania Tanzania tunayopenda iwe. Sidhani hata kidogo, hata kama yupo hai hatabadili matatizo yetu au mitazamo yetu.
 
Tunajua ccm ni wataalamu Wa Ufisadi, naona hapa wamefanikiwa kufisadi hadi kifo cha Balal!

ila jibu ni moja, it makes no difference whether Balal is alive or not, CCM imefikia mwisho, utabiri wa Mwalimu Nyerere unakaribia. CCM imeshagawanyika imebakia kupasuka.

CDM haitagawanyika hata kama kina Zitto, Shibuda na wenzake wakiamua kwenda CCM kwa kurubuniwa na nguvu ya kifisadi.
Hakuna kinachoweza kugawanya nguvu ya umma.
 
Ya mungu ni mengi ipo siku ataibuka Jangwani au Karimjee kuhutubia mkutano wa CCM ............. JUST WAIT!

Wataumbuka watu mbona:confused2:
 
Barbaric propaganda which can not change the mind of critical thinkers,even if Balali is alive,he can not do what you propagate so the owner of the twitter account isn't him. It is a wrong trick played by ccm propagandist to threat CHADEMA although,it will fail.What kind of revelation to be given to Balali by God? On the other hand,CCM chairperson Hon.Jakaya Kikwete is responsible for subotage under his political party as many Tanzanians regrets on how he mismanages to fight corruption actively,then isn't a filth to his party when such kind of information spreads over streets.If J.K is radical,he will work out to stop the trick of using Balali even by asking help to google world.I am swearing here at Jamiiforums,I know what ccm tries to measure to people on news consumption but they will fail badly.Not all those in the system are conservative,then either ccm should die or should work hard to improve peoples standard of living thus they can add trust.
 
ina maana kabadili sura?anatumia pasi yenye jina ,sura ya nani?
 
Balali awe hai au mfu ipo siku isiyo mbali atashuhudia ccm inatolewa madarakani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…