Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
HANA TOFAUTI NA MFU,maisha gani hayo anayoishi sasa?? hana raha , amani isitoshe unaishi kwa kuhama hama nakujificha. Hana tofautuina Osama bin Laden. He is alive but going through hell, atakula jeuri yake.
 

He! Kama ni hivyo inawezekana pia kwamba Chacha Wangwe alikutana naye katika vichochoro vya mji wa mpakani wa Sirari. Naye akamalizwa!
 
Awe mzima au amekufa haitusaidii watanzania.
 
pls. tuletee evidence,post yako itanoga zaidi!!!
 
Ukisikia habari go about it deeply then tell the story to people,wewe mbona unatuonjesha mkuu..
 
Ukisikia habari go about it deeply then tell the story to people,wewe mbona unatuonjesha mkuu..
Rweye, nadhani jamaa ana problem ya insanity, he is sane hivyo asemehewe, hajui atendalo. Sio kila kichaa lazima aokote makopoi!.
 
Leo asubuhi katika kipindi cha maswali na majibu mbunge mmoja (wa ccm simjui jina) kaitaka serikali itoe uthibitisho wa vidoe kama kweli balali amekufa.
Katika majibu yake naibu waziri wa fedha akasema taarifa alizonazo kutoka ubalozi wa tanzania u.s.a; balali amekufa na hivyo amekufa na mambo yake.
 
ukiona hvyo ujue kuna walakini...binafsi siamini km Balali amefariki.
 
si ndio kafa na mambo yake ila wajue za mwiz za esabika na ukweli haupotoshwikabla hao viongoz wote wa serikali hawajafa one day ukweli utajulikana tu
 
Bilal kafa kama Osama. Katoswa bahari ya Atlantic. No video kama Obama vile
 
There is a big controversy on Dr.balali's death, i hope time will do us favor and reveal the truth one day!
 
Tusaidiane hili swala la balali linatuumiza sana vichwa vyetu pleaseeeeeeeeeee
Mke wake yupo hai kama ndiyo anasemaje?
Watoto wake je wanasemaje hili swala?
Ndugu wakaribu je?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…