Balaa halitaletwa na T.B. Joshua

Balaa halitaletwa na T.B. Joshua

Alete balaa kama nani?
Acheni kumpaisha.
Mtetezi wetu yu hai atatupigania
 
Bahati mbaya siongizwi na hisia mihemko wala upofu wa imani kama kimekuuma report spam

mkuu unaweza kuleta Uthibitisho juu ya walioapa wakati wao hawakuwa washindi? Wakati mwingine kuna kila sababu ya kuamini kuwa wapo watu ambao kwao thamani ni kitu cha Ajabu... Ongeza Juhudi lakini nafasi zimekwisha
 
TB joshua ni mpiga deal kama Ngwajima tuu....
 
Duu kwanza sihitaji heshima yako hata kidogo..! kwangu wewe si lolote si chochote, ushauri wako jishauri mwenyewe utasaidika
Usiwe na papara za kupost tulia tafakari pima kisha ujiridhishe kama unaweza kujibu ama la
Nimekuuliza swali moja rahisi sana lakini umeshindwa kujibu badala yake unakuja na mipasho ya kiswazi

Nakuuliza tena Samia suluhu alitumia nini kuapa pale national stadium? Halafu unionyeshe hiyo dharau unayozungumzia wewe

Mkuu maana Ya Walioapa na Misahafu inasimama kwenye Wingi na Ungesema aliyeapa ungeeleweka.. Kila la Kheri
 
Stupid TB Joshua alitabiri uchukuali ea Lowassa yaani kushinda sasa alikuja kuepusha au kulisafisha jina man angeusha umaarufu
 
Stupid TB Joshua alitabiri uchukuali ea Lowassa yaani kushinda sasa alikuja kuepusha au kulisafisha jina man angeusha umaarufu

Hajawahi kutabiri lowasa atakuwa rais acheni kumsemea maneni ya uwongo.Kama ingekuwa kweli ungekuta hiyo clip inazungushwa kwenye mitandao.Hata kama umpendi mtu usimsemee uwongo kama una uwakika
 
tatzo HATA WATOTO WA BRN TENA WA FOM 6 HATA CHUO MWAKA WA KWANZA AMBAO BADO MNAELEMENT ZA UFOM 6 MMERUHUSIWA JF ET GREATER THINKER,kaz kwel kwel
 
Mbwembwe zipi mkuu? Ikulu yako aliingia peku peku sijui Nani aliedharauliwa wewe au yeye
Am just thinking loud

Hakuingia ikulu peku,andika vitu vyenye uakika.Usiwe na chuki kwa wanadamu.wenzio sio wanyama.Ukimpenda mwenzio utamsemea uwongo jiangalie.Ni.aliposhuka kwenye ndege ndio alishuka amevaa soksi na sio peku
 
Pumbavu wewe na Tb Joshua tena mpigie simu haraka. Mliitwa malofa na mapumbavu sio bure. Huyo Mungu wenu alishindwa nini kuzuia lile jengo lake kuanguka na kuua mamia ya watu. Fankuuuro wote na Joshua wenu. Mungu wa ukweli hata Pope anajua sio huyo wa nguvu ya kiza.

Asante.
 
Kaka Mshana nisaidie kujibu maswali yafuatayo:-

1. Mungu wa TB Joshua na Gwajima alishindwa kuzuia CCM na TUME wasiibe kura? Kashindwa huko anasubiri alete balaa!!!

2. Huyo Mungu ambaye watu waliomba na kufunga lil kumchagua mtu fulani na sio mapenzi ya Mungu kutimia ni kigeugeu? Huku aseme fulani ndio Rais na ashindwe kumuweka?

3. Mungu hafurahii wanawe wapate mabalaa Kama ulivyosema. Hata sodoma na Gomorrah isingeangamizwa Kama wenye haki watano wangekuwepo. Je TZ haina wenye haki hata watano ili Mungu atuepushie balaa?

4. Wewe ni mtu wa ajabu sana unayetamani mabalaa yatupate kwasababu mtu wako hakuwa Rais?? Mungu hayuko Kama mwanadamu, angekuwa hivyo wengi tusingekuwa hai.

Tunaitakia AMANI TZ na mafanikio ya Serikali ya awamu ya 5. Mungu ambariki na kumlinda Rais wetu na kumuongezea Hekima kila siku ili aiongoze TZ kwa haki na kweli yote.

Queen Esther

Queen Esther, Wewe unaangalia upande mmoja wa maandiko. Biblia inasema haki siku zote huinua taifa methali 14:34. Misingi ya kiti cha enzi cha MUNGU Baba ni haki na hukumu Zaburi 89:14. MUNGU kamwe hawezi kwenda kinyume na neno lake ili kutimiza mapenzi, kwani YEYE huliangalia neno lake ili alitimize Yeremia 1:12, ikiwemo kutumia hila. MUNGU pia ni mwingi wa rehema kabla ya kuangamiza Ninawi alimtuma Yona kuwaonya wahusika na wahusika waligeuka. Kama wahusika waliletewa ujumbe wakapuuza, hawawezi kumlaumu MUNGU gharika likiwapata. Kumbuka pia mfalme Yehoshapat na miji yote ya Judah walifunga na kuomba ili MUNGU walipotaka kuvamiwa na moab and the amoon. Mfalme naye alijinyenyekesha hakuupuza kama wengine ambavyo hufanya soma 2 Nyakati 20 yote ukipata muda. Baada ya taifa zima alikiwepo mfalme kujinyenyekesha mbele za MUNGU kupitia nabii Jahaziel mwana wa Zechariah na kusema msiogope kwa ajili ya umati huu, vita hivi ni vya Bwana. Kumbuka mfalme hakupuuza. Ninawi baada ya kupata habari kutoka kwa nabii yona, Ninawi yote wakiwepo watawala na hata wanyama walifunga kuomba rehema, watawala hawakupuuza sauti ya MUNGU.


YESU alisema katika mathayo 10:14, If anyone will not welcome you or listen to your words, leave that home or town and shake the dust off your feet, 15: truly I say to you, it will be more tolerable for the land of Sodom and Gomorrah in the day of judgment than for that city.

Neno la MUNGU ni upanga ukatao kuwili, usitumie tu kwa kujifavor wewe, simamia ukweli kama wewe kweli umeokoka na umeitwa kwa jina la Bwana. Usipotoshe. MUNGU kamwe hadhihakiwi apandacho mtu ndicho avunacho, mshahara wa dhambi ni mauti. Kumbuka pia Whoever remains stiff-necked after many rebukes will suddenly be destroyed--without remedy methali 29:1. Ni kweli ni MUNGU wa rehema ndio maana anatoa maonyo kwanza, mtu akipuuza basi MUNGU anakuwa hana jinsi. Hiyo ndiyo torati na manabii, injili ya Kweli isiyogoshiwa.
Shalom! Shalom!
[h=2][/h]
 
Ujio wa ghafla (kama ni kweli ni ghafla)wa T.B. Joshua Tanzania na kupokelewa na Magufuli mshindi wa ccm kiti cha urais na kukanyaga ardhi ya Tanzania pekupeku (japo alikuwa kavaa soksi kwahiyo sio pekupeku kabisa) kulizua mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii na wengi wakitabiri kama ni uchuro na balaa ...mimi napingana nao

T.B. Joshua na umaarufu wake hawezi kuleta balaa lolote ni kiumbe mdogo sana kwenye huu ulimwengu yeye alishuka kama dismainder fulani hivi, wamekuja na ndege yake kavaa alivyovaa hajali protocol, safarini aliamua kuvua viatu miguu ipumue (waliopanda ndege hata magari ya masafa marefu wanakua ni kwanini). Kwahiyo kwake ilikuwa ni sawa tu hata angeamua kuvaa bukta ...halafu awaachie walimwengu waje na tafsiri zao lukuki

Kwahiyo yeye hana uwezo huo wa kutuletea mabalaa bali mabalaa yataletwa na wale walioshika misahafu na kula kiapo cha ushindi wao bandia tena mbele ya maelfu ya watu..hii ni dhihaka na dharau kubwa mbele za Mungu. Hakuna jambo baya kama kumshirikisha Mungu kwenye dhambi na kumuomba akusaidie kuhalalisha udhalimu wa waziwazi ulioufanya...Mungu si wa maskhara kihivyo
Kama kweli Mungu au whatever ataamua kushusha mabalaa na kuadhibu asilaumiwe T.B.Joshua bali wale wote walioshiriki udhalimu na kushika misahafu

Laana tulah x 1000
 
Pumbavu wewe na Tb Joshua tena mpigie simu haraka. Mliitwa malofa na mapumbavu sio bure. Huyo Mungu wenu alishindwa nini kuzuia lile jengo lake kuanguka na kuua mamia ya watu. Fankuuuro wote na Joshua wenu. Mungu wa ukweli hata Pope anajua sio huyo wa nguvu ya kiza.

Kinacho nifurahisha ni wenye akili hawana Muhimbili yao, Kariakoo yao, daladala zao, nk, Sasa wanatofauti gani na wapumbavu na malofa. Nadhani aliyetamka maneno hayo alimaanisha watanzania wote pamoja na wewe. Ni tafakuri tu
 
Ikiwa upumbavu wetu unajumuishwa na uwepo wa huyo unayemuita 'tapeli' kwa mujibu wa mafundisho na adabu za dini na kabila lako, unaweza kuniambia ni nani alimualika tapeli kwenye sherehe ya kitaifa na alimualika kwa minaajili ipi?

Chuki inakupofusha bi mkubwa

Nadhani kuna haja ya kuwa objective bila kusukumwa na mapenzi ya upande wowote. Uungwana ni vitendo. Chuki ndizo zimemfanya mshindwa kwenu (EL) awe na kiburi.
Mkitaka kuwa wapinzani wa kweli kuweni km mama Anna wa ACT. Majungu hayajengi kamwe
 
Kuanzia mwanzoni mwa maelezo niliona ni muelewa ila umekuja kuharibu sehemu mbili
1. mwishoni ulipo anza kutoa hukumu kanakwamba una ushahidi wa wizi wa kura kwa asilimia 100 ya aliye tangazwa
2. Kutoa comment zenye mrengo wa udini

Kwakweli km ukiendelea na hili la pili litakuondolea heshma yako. Naomba uwaache wengine waendelee ili kulinda heshma yako
 
Back
Top Bottom