Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,096
- 831,736
- Thread starter
- #121
Huna lolote wewe acha kujifanya eti sijui una busara na vi thd vyako kama Hadithi za kipindi cha Mama na mwana cha RTD enzi zilee!!
Kifupi huna jipya jipange halafu njoo tena..ushauri wangu wa bure acha kukejeli na kudharau dini za watu, pigana na maisha dharau kwa dini za watu hazitokusaidia lolote na umri nao unasonga mbele,
Zinduka wewe toka usingizini,mambo ya Udini na Ukabila yalishapitwa na wakati wewe ndio kwanza unaanza!!
Shame on you!!
Loh hata hapa umeshindwa kujibu? Wakati unajiita clever king? Am sure you even don't know what Clever king means