Balaa halitaletwa na T.B. Joshua

Balaa halitaletwa na T.B. Joshua

Pole ujipe wewe uliyeleta upumbavu humu.

Na tutakupa darsa tu, hatukai kimya hata kidogo, mpaka uisome namba.

Punguani wahed.

Hivi wewe unalaana na huo uislamu wako wakigaidi mpuuzi wewe?mnaswali mara tano lakini haiwasaidii!ndo maana Hamna elimu wajinga nyie!
 
Jembe Africa wala wengine wengi ni wastaarabu na wana uelewa mkubwa Na hekima pia mpuuzi ni huyu kigego mmoja
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe unalaana na huo uislamu wako wakigaidi mpuuzi wewe?mnaswali mara tano lakini haiwasaidii!ndo maana Hamna elimu wajinga nyie!

Laana unayo wewe unaeabudu sanamu la mzungu aliyevishwa nepi.

[h=1]All Terrorists are Muslims…Except the 94% that Aren't[/h]
piechart2.jpg
Terrorist Attacks on U.S. Soil by Group, From 1980 to 2005, According to FBI Database

Source: Study: Threat of Muslim-American terrorism in U.S. exaggerated - CNN.com

All Terrorists are Muslims...Except the 94% that Aren't | loonwatch.com
 
Usitumie wingi kutafuta huruma jaribu kuwa wewe halafu una mipasho ya kipuuzi kweli...kiboko yako alikuwa mchonga mpaka Leo Canada unaisikia kwenye bomba

Darsa naona limekuingia na haukurudia kujifanya hujui Qur'an.

Huyo mchonga ndiyo nani?
 
Atajuta kuifahamu Tz, alikuja na mbwembwe akaondoka kimya kimya sijui alipitia mlango upi? mkimwona muulizeni mbona hakwenda tena kuaga Ikulu kwetu?
 
kwa nn wewe usilete ushahidi wako wa 100% genuine data za kuthibitisha huo wizi ? na uape kwa Mungu wako ?
Hapa JF uliletwa ushahidi wa lori lililo kamatwa na mabox ya kura zilizopigwa tayari. Kule Kagera/ Geita karatasi za kura zilizopigwa tayari tulionyeshwa zikiwa zimetupwa shule ya sekondari. Unataka nini tena kudhibitisha kuwa kulikuwa na wizi?
 
Tunakupa darsa na somo umelipata, sasa ukirudia tunajuwa unafanya kusudi.

Upofu wa imani ndiyo uliyokufanya kupotosha hata unapoitaja Qur'an.

Mihemko ndiyo iliyokufanya utuletee ya huyo tapeli ukachanganya na Rais kuapishwa.

Nyinyi mlie tu mliyoyategemea hayakuwa.

Mkapa alipowaambia kuwa ni "wapumbavu" hakukosea na huu uzi wako unadhihirisha hilo.

It will only take a fool to call others fools. Kwa hiyo wewe ni miongoni mwa wapumbavu na vipofu vilevile. Haiwezekani mtu kushinda kwa kura za wizi halafu amwambie Mungu amsaidie. Mungu ninayemwabudu hashiriki kwenye udhalimu.
 
Pumbavuz woooooooooooote na Tb Joshua wenu,kamwambieni kuna mtu Tz anakutukana nione kama ana uwezo wa Mungu. Hawa viroba ni wa ajabu sana kuna mmoja alianzisha topic ya Joshua kuwa Lowassa ndio Rais ajae wakatiririka kama nyumbu kumuamini huyu dealer. Wakafie mbele huko. Disaster ziko around the world

Kwani huyo rais wa NEC hakwenda kwa TB Joshua? What are you talking about?
 
Laana unayo wewe unaeabudu sanamu la mzungu aliyevishwa nepi.

[h=1]All Terrorists are Muslims?Except the 94% that Aren?t[/h]
piechart2.jpg
Terrorist Attacks on U.S. Soil by Group, From 1980 to 2005, According to FBI Database

Source: Study: Threat of Muslim-American terrorism in U.S. exaggerated - CNN.com

All Terrorists are Muslims...Except the 94% that Aren't | loonwatch.com

Unajiona mjanja kwa kuleta link za kuokoteza!wajinga nyie mnaompiga shetani kwa mawe na mwisho mnakufa wenyewe!kwanini na wewe usingeenda huko ufie huko utupunguzie kero,nafikiri hata shetani anawashangaa kwa upumbavu wenu wa kukosa elimu.hujui hata Quran inakuambia mshike elimu usimuache aende zake unafikiri ilimaanisha nini!kazi yenu kuvaa mahijabu eti tuwaone mnaheshima kumbe Ni ujinga halafu usiku mnajiuza au nikukosa nguo?si bora mle na nguruwe tu.
 
Atajuta kuifahamu Tz, alikuja na mbwembwe akaondoka kimya kimya sijui alipitia mlango upi? mkimwona muulizeni mbona hakwenda tena kuaga Ikulu kwetu?

Mbwembwe zipi mkuu? Ikulu yako aliingia peku peku sijui Nani aliedharauliwa wewe au yeye
Am just thinking loud
 
Unajiona mjanja kwa kuleta link za kuokoteza!wajinga nyie mnaompiga shetani kwa mawe na mwisho mnakufa wenyewe!kwanini na wewe usingeenda huko ufie huko utupunguzie kero,nafikiri hata shetani anawashangaa kwa upumbavu wenu wa kukosa elimu.hujui hata Quran inakuambia mshike elimu usimuache aende zake unafikiri ilimaanisha nini!kazi yenu kuvaa mahijabu eti tuwaone mnaheshima kumbe Ni ujinga halafu usiku mnajiuza au nikukosa nguo?si bora mle na nguruwe tu.

Elimu yako uliyonayo haitofuta ujinga wako wa asili ulionao kumbuka hilo.

Mwenye elimu angeandika huo utumbo wako?

Jisome ulivyo: DNA Discoverer: Blacks Less Intelligent Than Whites | Fox News
 
Nyumbu wameingiaje humu?
Ndio maana naona fujo na migongano.Kumbe kwa sabb ya nyumbu..
Haya ukumbi ni wenu..Tahadhari msikanyagane mkauana tu?
mpo?
 
Pumbavuz woooooooooooote na Tb Joshua wenu,kamwambieni kuna mtu Tz anakutukana nione kama ana uwezo wa Mungu. Hawa viroba ni wa ajabu sana kuna mmoja alianzisha topic ya Joshua kuwa Lowassa ndio Rais ajae wakatiririka kama nyumbu kumuamini huyu dealer. Wakafie mbele huko. Disaster ziko around the world

MUNGU amesikia kilio chako. Disaster itaanza kwako na familia yako. Usicheze na MUNGU wewe. Ropoka uwezavyo lakini usimjaribu MUNGU hata kidogo.
 
It will only take a fool to call others fools. Kwa hiyo wewe ni miongoni mwa wapumbavu na vipofu vilevile. Haiwezekani mtu kushinda kwa kura za wizi halafu amwambie Mungu amsaidie. Mungu ninayemwabudu hashiriki kwenye udhalimu.

Kama kura za wizi msipeleke wabunge wenu walioshinda bungeni.

Tumia kichwa chako kufikiri japo kiduchu sio kukiacha kama mzigo tu juu ya mabega yako. Au kwa kuwa wewe mwizi unafikiri watu wote wezi wenzio?
 
Back
Top Bottom