Bahati mbaya siongizwi na hisia mihemko wala upofu wa imani kama kimekuuma report spam
Tunakupa darsa na somo umelipata, sasa ukirudia tunajuwa unafanya kusudi.
Upofu wa imani ndiyo uliyokufaanya kupotosha hata unapoitaja Qur'an.
Mihemko ndiyo iliyokufanya utuletee wa huyo tapeli ukachanganya na Rais kuapishwa.
Nyinyi mlie tu mliyoyategemea hayakuwa.
Mkapa alipowaambia kuwa ni "wapumbavu" hakukosea.
Hebu MTU hata mmoja ajitokeze na kusema kuwa huu ushindi ni 100% genuine na aape kuwa anao uhakika huo na yuko tayari Mungu amlaani kama kasema uongo.
Vijarida vingine hata usipovitaja kwa adabu hulaumiwi= Qur'an
Fanya adabu na vitabu vya wenzio, mbona Biblia umeandika sawa?
Tunakupa darsa na somo umelipata, sasa ukirudia tunajuwa unafanya kusudi.
Upofu wa imani ndiyo uliyokufaanya kupotosha hata unapoitaja Qur'an.
Mihemko ndiyo iliyokufanya utuletee wa huyo tapeli ukachanganya na Rais kuapishwa.
Nyinyi mlie tu mliyoyategemea hayakuwa.
Mkapa alipowaambia kuwa ni "wapumbavu" hakukosea na huu uzi wako unadhihirisha hilo.
Pole sana kama huelewi nilichoandika pita kimya kuliko kuropoka ficha ujinga wako kwa kukaa kimya itakusaidia sana
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Wakatoliki watakutawala kwa miaka yote kumi ijayo
Nasikia jamaa kakomba hazina yote.
Nasikia jamaa kakomba hazina yote.
Ikiwa upumbavu wetu unajumuishwa na uwepo wa huyo unayemuita 'tapeli' kwa mujibu wa mafundisho na adabu za dini na kabila lako, unaweza kuniambia ni nani alimualika tapeli kwenye sherehe ya kitaifa na alimualika kwa minaajili ipi?Tunakupa darsa na somo umelipata, sasa ukirudia tunajuwa unafanya kusudi.
Upofu wa imani ndiyo uliyokufaanya kupotosha hata unapoitaja Qur'an.
Mihemko ndiyo iliyokufanya utuletee wa huyo tapeli ukachanganya na Rais kuapishwa.
Nyinyi mlie tu mliyoyategemea hayakuwa.
Mkapa alipowaambia kuwa ni "wapumbavu" hakukosea na huu uzi wako unadhihirisha hilo.
Pole ujipe wewe uliyeleta upumbavu humu.
Na tutakupa darsa tu, hatukai kimya hata kidogo, mpaka uisome namba.
Punguani wahed.
We wadhani msahafu ni quorani tu?Mkuu jiheshimu,, misahafu hapo inahusikaje???