Balaa halitaletwa na T.B. Joshua

Balaa halitaletwa na T.B. Joshua

Hawawezi kukuelewa mkuu,
Yaani mpaka karne hii kuna watu wanaabudi na kuwatumainia binadamu wenzao badala ya Mwenyezi Mungu!!!! Haiingii akilini kabisa!!

Na ndiyo maana wanaangamia kwa kukosa maarifa. Ole wake amtumiaye binadamu mwenzake! Haiingii akilini kabisa
 
Ujio wa ghafla (kama ni kweli ni ghafla)wa T.B. Joshua Tanzania na kupokelewa na Magufuli mshindi wa ccm kiti cha urais na kukanyaga ardhi ya Tanzania pekupeku (japo alikuwa kavaa soksi kwahiyo sio pekupeku kabisa) kulizua mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii na wengi wakitabiri kama ni uchuro na balaa ...mimi napingana nao

T.B. Joshua na umaarufu wake hawezi kuleta balaa lolote ni kiumbe mdogo sana kwenye huu ulimwengu yeye alishuka kama dismainder fulani hivi, wamekuja na ndege yake kavaa alivyovaa hajali protocol, safarini aliamua kuvua viatu miguu ipumue (waliopanda ndege hata magari ya masafa marefu wanakua ni kwanini). Kwahiyo kwake ilikuwa ni sawa tu hata angeamua kuvaa bukta ...halafu awaachie walimwengu waje na tafsiri zao lukuki

Kwahiyo yeye hana uwezo huo wa kutuletea mabalaa bali mabalaa yataletwa na wale walioshika misahafu na kula kiapo cha ushindi wao bandia tena mbele ya maelfu ya watu..hii ni dhihaka na dharau kubwa mbele za Mungu. Hakuna jambo baya kama kumshirikisha Mungu kwenye dhambi na kumuomba akusaidie kuhalalisha udhalimu wa waziwazi ulioufanya...Mungu si wa maskhara kihivyo
Kama kweli Mungu au whatever ataamua kushusha mabalaa na kuadhibu asilaumiwe T.B.Joshua bali wale wote walioshiriki udhalimu na kushika misahafu[/QUO

upo sawa, japo wengi wanakukosoa kutokana na "mistaken fact" wasome the whole content hasa huyo mwenye ushungi.
 
Nasikia jamaa kakomba hazina yote.


Na huyo ni msh..e..nz..tu kama hao wenzie waliomtangulia....!

Lakini na sisi tumezidi ubununu...mpaka tuibiwe na vijambio labda ndo tutagubuka....

Tuwe wakweli tumeozaaaa.....acha wale ....!
 
........waabudu watu !

Sisi tunamuabudu Allah SWT.

'Na waambie wale wasio amini (makafiri): Fanyeni muwezavyo, nasi pia tunafanya (tuwezavyo).

'Na ngojeni (siku ya mwisho) nasi tunangoja !

'Na ni vya Mwenyezi Mungu tu vyote vilivyo fichikana katika ardhi na mbinguni, na mambo yote yatarejeshwa kwake. Basi (nyinyi Waislaam) mwabuduni Yeye. Na Mola wako Mlezi haghafiliki na yale mnayoyatenda.

Qur'an: 11:121-123

Hawawezi kukuelewa mkuu,
Yaani mpaka karne hii kuna watu wanaabudi na kuwatumainia binadamu wenzao badala ya Mwenyezi Mungu!!!! Haiingii akilini kabisa!!

Na ndiyo maana wanaangamia kwa kukosa maarifa. Ole wake amtumiaye binadamu mwenzake! Haiingii akilini kabisa

Nawafikishia Ujumbe Makafiri akina mshana jr kuwa 'Sisi Waislaam' tunawachungulia kwenye side mirror !
Kwetu sisi mtu kama TB Joshua ni tapeli tu kama Mwingira !
 
Last edited by a moderator:
Nawafikishia Ujumbe Makafiri akina mshana jr kuwa 'Sisi Waislaam' tunawachungulia kwenye side mirror !
Kwetu sisi mtu kama TB Joshua ni tapeli tu kama Mwingira !

Upofu wa imani ni kitu kibaya sana. Yani badala dini ikufanye kiumbe bora unageuka kuwa mtumwa na mzigo kwako na kwa Jamii yako huku kila kitu unachofanya kikigeuka kituko na dhihaka kubwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom