BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

Watu kama hawa ndio wanaofanya hii dini ionekane ni ya wafanya fujo...wanachosha ni utoto wao,wakasome angalau wapate busara..
 
Haya bana huyo ndo kiongozi wa dini bana!!!
Sijui hiyo nafasi ya kutusemea anaitoaga wapi!
 
Mwiisilamu atakae kubali kuesabiwa atakua hana akili timamu,hatuna imani na Simba!Bakwata ni CCM C,SO niwalewaletu hawana jipya.
 
Source Jambo leo & Nipashe

Mwanaharakati na mtetrzi wa Waislam Tanzania sheikh Issa Ponda amedai mufti wa Tanzania sio msemaji wa waislam na kaongea kama yeye Simba ila sio kwaniaba ya taasisi za waislam Tanzania na hana mamlaka ya mkuamua mambo kwa waislam wote Tanzania.

Hivyo wameamua yafuatayo;

Kupinga kauli ya Mufti wa Tanzania na kuwa sio kauli na sauti ya waislam

Kwenda mahakamani kuishitaki serikali kwakutoweka kipengele cha Dini katika dodoso la sensa.

Siku ya sensa wataandamana nchi nzima kupinga sensa kama wasipoyekelezewa hayo hapo juu.

My take

Huyu jamaaa wanamwangalia tu kwanini wasi Mlimboke au kumwakyembe
Ungejua imani yao ni kwamba wakifa katika kile wanachoita kupigania dini yao wanaamini wanaenda moja kwa moja peponi japo kuwa hakuna aliyewahi kuleta feedback. Wee angalia wanavyowadanganya watu wakajitoe Muhanga wafe alafu wao wanaendelea kula bata wakiwa hai.
 
dawa ya huyu pondani ubwabwa tu atanyamaza kimyaaaaaaaaaa
hakuna haja ya kumliboka au kumwakyembe wakati sahani ya ubwabwa NI BUKU JERO........
 
Huyu jamaa anataka publicity.

Bila shaka ana jichanganya sna kani yeye ni msemaji wa waislam?

Nahisi anhitaji wali maharage ili atulie.
 
The good side of Islam ni kwamba hakuna cha Baba Sheikh wala Baba Ustaadh....kwahiyo si Mufti Sheikh Simba wala huyo Ponda mwenye ubavu wa kuwasemea Waislamu wakawasikiliza!! Hata kama Mufti atangaze kwamba Waisalmu wasishiriki zoezi la sensa, basi ni waislamu wachache sana, tena sana ambaao wanaweza kutekeleza agizo lake...hali kadhalika kwa POnda nae ndivyo hivyo hivyo!! Viongozi wa Kiislamu hawana ushawishi kwa maisha binafsi ya kiislamu hususani yale yasiyo ya kiroho ambayo mengi yake kwa hapa tz wanasilizwa sana sana katika siku ya kufunga na kufungua(RAMADHAN!!).
Therefore, wakati Ponda akimsema Mufti kwamba yeye(Mufti) sio msemaji wa waislamu; hata Ponda nae sio msemaji wa waislamu!!
Naona umeamua kuipamba weakness. Hizo taasisi sasa zinamuwakilisha nani?
 
The good side of Islam ni kwamba hakuna cha Baba Sheikh wala Baba Ustaadh....kwahiyo si Mufti Sheikh Simba wala huyo Ponda mwenye ubavu wa kuwasemea Waislamu wakawasikiliza!! Hata kama Mufti atangaze kwamba Waisalmu wasishiriki zoezi la sensa, basi ni waislamu wachache sana, tena sana ambaao wanaweza kutekeleza agizo lake...hali kadhalika kwa POnda nae ndivyo hivyo hivyo!! Viongozi wa Kiislamu hawana ushawishi kwa maisha binafsi ya kiislamu hususani yale yasiyo ya kirohoambayo mengi yake kwa hapa tz wanasilizwa sana sana katika siku ya kufunga na kufungua(RAMADHAN!!).
Therefore, wakati Ponda akimsema Mufti kwamba yeye(Mufti) sio msemaji wa waislamu; hata Ponda nae sio msemaji wa waislamu!!
Ile dhana ya Uislam ni mfumo kamili wa maisha kwako haiapply?
 
Kama dini zinataka kujua idadi ya waumini wao si wawahesabu huko huko kwenye nyumba za ibada zao? Tatizo kuna watu wanafikiria Ukristo ni kitu kitu kimoja halafu wanongozwa na Mhashamu Askofu mkuu Kadinali Pengo. Kuna jumuia za kikristo kama TEC (kwa wakatoliki), CCT (mainly walutheri na Anglican),

Na jumuia nadhani ya Wepentecost (yaani makanisa wanaodai yana upako yakiwemo ya watu binafsi). Kuna makanisa mengine Makubwa kama ya wasabato wao hawako kwenye jumuia zote hizi.

Imani zao na mafundisho yanatofautiana na misimamo yao ni tofauti. Viongozi wa Waislam (dini ya amani) wanawarubuni waumini wao waamini kuwa wakristo ni kitu kimoja na eti wana influence yao kwa serikali kuwanyanyasa au kuwanyima haki zao waislam. Viongozi hawa wanataka nchi isitawalike, wanataka kuleta uadui kati ya wanajamii.

Sisi wananchi wa kawaida tumeishi pamoja kwa muda mrefu bila kujali itikadi zetu lakini viongozi hasa wa kiislamu (dini ya amani) wanataka kutuchonganisha. Wanachotaka kufanikisha hasa ni nini?

Wanataka serikali ipange mipango yake kufuata dini za watu? Wanataka tuligawe taifa. Sasa hivi serikali yetu inaongozwa na uongozi wa juu ambao ni waislam (dini ya amani); Raisi wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wake, Rais wa zanzibar na makamu wake wawili wote ni waislam (dini ya amani). Kuna ubaya gani?

Kwani wanatulazimisha tufuate imani zao? Rais wa TZ na ZnZ anapigiwa kura na watu wote bila kujali dini zao. Kwa nini Shehe Ponda anataka Waislamu wahesabiwe, ili serikali baadaye ifanyeje? Viongozi wetu wa dini ndio mtaoua hii nchi.

Fujo za kidini ni mbaya sana, acheni kutoa statements za uchochezi. Serikali iwaangalie hawa badala kukaa mnapoteza muda kuwapeleka watu wasio na hatia msitu wa Mabwe pande.
 
Mwiisilamu atakae kubali kuesabiwa atakua hana akili timamu,hatuna imani na Simba!Bakwata ni CCM C,SO niwalewaletu hawana jipya.
Vipi mkuu kwenye swala la sensa tu ndiyo mmetambua kwamba bakwata ni ccm c? Mbona maswala mengine na matamko ya kipuuzi huwa mnai-support?
 
Kwan msemaji wa waislam ni nani na anachaguliwa na nani? anayefahamu plz, tunataka tuchambue upi mchele na pumba ni zipi
 
In short ni kwamba waislamu hawana msemaji wala kiongozi na infact uislamu maana yake ni dini ya vurugu sio dini kabisaa haihitaji uwe chuo kikuu ili ujue hilo na ukitaka kuwafyrahisha labda kama kila siku uwe unachoma makanisa matano na kuua wakristo themanini na wao uwe unawalipi milioni kumikumi kila kukicha na bado watadai kitu kingine!Unamkumbuka huyu ponda alisababisha watu kadhaa kuuawa pale mwembe chai?tena hawahawa wanaomsiliza yeye akakimbillia burundi leo anaendelea kuwapembua wavivu wenzie wakufikiri!Viongozi wote ni waislamu lakini bado wanalia na wakristo then unataka kujua kama wanakiongozi!these are devils among saints!If God is for Islam and his mercy comes by doing what they are doing then that is not deserve to God but Beelzebub
Vipi mkuu kwenye swala la sensa tu ndiyo mmetambua kwamba bakwata ni ccm c? Mbona maswala mengine na matamko ya kipuuzi huwa mnai-support?
 
usilolijua ni sawa n usiku wa giza. na washanga wanaomlaumu shekh pnda. hakuna sensa kw muslim anyjitambua lbd kw wanafk
 
Back
Top Bottom