Kwa wakristo kutomtka Kikwete, nadhani lina ukweli ndani yake. Tazama hata humu JF, ni wakristo wangapi wanomponda Kikwete ingawa ni wazi kabisa kuwa Kikiwete ni kiongozi mzuri, mchapa kazi na ameifikisha mbali Tanzania katika miaka hii mitano.

Wengi wenu mlikuwa mstari wa mbele kulaani CUF baada ya mauaji ya pemba. Mkawaita al qaida etc. Leo Chadema wanaleta vurugu za kijinga mnaita wapigania uhuru!!
Huu ni ujinga uliopita mipaka.
Na kama hayo yanawakilisha 'mungu' wenu basi give me devil any time!!!!!!!
Ndugu yangu mimi ni Moslem Safi....lakini hili la kuoanisha mabaya ya serikali ya kikwete na wakristo kum-hate kwa sababu ni mu-Islam sikubaliani nalo...wewe unafurahi nchi hii inavyooza?..reflect back kuhusu Richmond..Dowans..na jinsi issue nzima ya Dowans inavyopelekwa msitake kupata sympathy ya waislam wakati mnachumia ktk matumbo yenu na familia zenu....tulipokuwa tunasema Ben afikishwe mahakamani kwa sababu ya ubadhirifu wa mali za umma hatukusema vile eti just kwasababu Ben alikuwa ni Mkristo na sisi eti ni waislam..tunazungumzia suala la maadili kwa ujumla...JMK nchi imemshinda..anakaa kimya sana ktk masuala muhimu ya Taifa...Lowasa na Al Hadji Shamsi wana suggest mazungumzo....makamba na chitanda wanasema wasioridhika waende mahakamani...Yeye Mkulu amekaa Kimya...hapo unategemea kutu-convince kwamba ni UDINI?...Uislamu ni Imani yangu hivyo usiutumie kama kinga hasa pale unavyotakiwa uwe responsible kwa mabaya uliyoyatenda...Kukua kwa gharama za umeme.Petrol..Cemet..Nondo..Nauli za daladala..Nauli za mabasi ya mikoani..si masuala ya kidini...tafuta utetezi mwingine ila usilete udini.
Ikifika utaijua sisi waislamu hatusemi na kupayuka ovyo kama maaskofu wenu subiri time will tellWewe mpumbavu...hebu nijibu kwanza change gani hiyo inakuja..nataka kuzipa mbavu zangu mazoezi kwa kicheko.
Naona Kim Khardshian wa JF kakimbia.
Ngoja nitambae zangu..maana ukikaa karibu na makanithi mwishoe utazoea kharufu zao..
Kwa wakristo kutomtka Kikwete, nadhani lina ukweli ndani yake. Tazama hata humu JF, ni wakristo wangapi wanomponda Kikwete ingawa ni wazi kabisa kuwa Kikiwete ni kiongozi mzuri, mchapa kazi na ameifikisha mbali Tanzania katika miaka hii mitano.
Kwa vile hii unairudia rudia sana naona kuna umuhimu wa kukujibu. Hii ni sehemu kutoka muandishi mmoja kuhusu mauaji ya Mwembechai.
Nimeitoa hapa: http://www.igs.net/~kassim/mwembechai/mchai-appendix.pdf
Pamoja na kujaribu sana kupindisha yaliyotokea na kuyaunganisha na kanisa katoliki hakuna mahali ambapo amefanikiwa. Padre Camillus Lwambano hakushangilia mauaji ya Mwembechai kama ambavyo unataka tuamini (kama kuna mahali alifanya hivyo basi tuwekeeni ushahidi) bali yeye kama wakristu wengine ( si wakatoliki peke yao) na waislamu moderates alikemea hali toxic iliyokuwa imeenea nchini ( hakuzungumzia mwembechai bali nchi). Kwa mara ya kwanza tangu uhuru wetu nilishuhudia mikutano ya wazi ya baadhi ya waislamu ambayo lengo lake kuu lilikuwa kupinga na ku-discredit ukristu. Hawa ndugu zenu hawakuishia hapo, wakawa wanaweka kanda za kejeli dhidi ya ukristu na kuzibroadcast kwa sauti kubwa 24/7. Lugha ya confrontation ikawa imeingia nchini mwetu. Alichokizungumzia Padre Lwambano lilikuwa mioyoni mwa wengi maana tayari paliisha anza kutokea vikundi vya vijana wa kikristu ambao nao walikuwa tayari kupambana na hao ambao waliona wanatukana dini yao. Alikuwa anaonya, kama alivyosema huyu Sheriff wa Pima County, marekani kuwa vitriolic language zina consenquence zake. Na ni kutokana na mwamko huo wa kidini ndipo kilipojichotekeza kikundi cha waislamu wenye msimamo mkali na kutaka kuondoa uongozi wa msikiti wa Mwembechai wakidai kuwa hawana imani nao. Hawakuishia hapo bali waliwaonya kuwa wakiendelea kung'ang'ania nafasi zao watawacharaza bakora ( tukumbuke viongozi hao walikuwa watu wazima) na vitisho vingine hadi waachie ngazi. Ni uongozi huo ulioomba ulinzi na msaada kutoka kwa serikali ili yasiwakute ambayo waliahidiwa. Na askari kweli walienda na kuwakuta vijana wamejitayarisha kwa mapinduzi. Lakini kama tulivyoshuhudia Arusha na sehemu nyingine ( migomo ya wanafunzi), askari wetu hawajui njia zaidi ya mabavu. Ubabe huu ndio uliopelekea vurugu kutoka kwenye msikiti hadi mtaani ambako waliokuwemo na wasiokuwemo wakapata mkong'oto. Wengi kati ya waliojeruhiwa walikuwa wafanya biashara ndogo ndogo ambao sio wote walikuwa waislamu. Sasa katika hili, mlitaka Kadinali Pengo awaombe radhi waislamu kwa lipi? Kwa kuonya kuwa lugha inayotumiwa na baadhi yetu itatufikisha vibaya? Si alikuwa ana-state the obvious? na si tuna yaona hadi sasa ambapo kuna mpasuko mkubwa wa kidini katika jamii yetu? tumefika mahali ambapo tunakataa ku-sympathise na outrage ilionyeshwa na upande mmoja kwa vile tu ni wa dini nyingine!
Amandla.....
Kiongozi yeyote wa dini kama raia wa nchi ana haki ya kutoa mawazo yake au kukemea lile analoona halifai katika jamii kwa faida ya wote.
Sasa huu mtindo ulioanzishwa na CCM wa kuita kila kitu 'udini' kwa kuwa tu kinawakosoa kitatupeleka pabaya watanzania.
CCM kama Chama Tawala kijiangalie na kujisahihisha pale kilipoteleza katika uchaguzi. Sio dhambi kushindwa uchaguzi, ndiyo siasa zilivyo, sasa badala ya kuchochea propaganda za kidini, Kikwete na chama chake wajipange upya.
Kwa vile hii unairudia rudia sana naona kuna umuhimu wa kukujibu. Hii ni sehemu kutoka muandishi mmoja kuhusu mauaji ya Mwembechai.
Nimeitoa hapa: http://www.igs.net/~kassim/mwembechai/mchai-appendix.pdf
Pamoja na kujaribu sana kupindisha yaliyotokea na kuyaunganisha na kanisa katoliki hakuna mahali ambapo amefanikiwa. Padre Camillus Lwambano hakushangilia mauaji ya Mwembechai kama ambavyo unataka tuamini (kama kuna mahali alifanya hivyo basi tuwekeeni ushahidi) bali yeye kama wakristu wengine ( si wakatoliki peke yao) na waislamu moderates alikemea hali toxic iliyokuwa imeenea nchini ( hakuzungumzia mwembechai bali nchi). Kwa mara ya kwanza tangu uhuru wetu nilishuhudia mikutano ya wazi ya baadhi ya waislamu ambayo lengo lake kuu lilikuwa kupinga na ku-discredit ukristu. Hawa ndugu zenu hawakuishia hapo, wakawa wanaweka kanda za kejeli dhidi ya ukristu na kuzibroadcast kwa sauti kubwa 24/7. Lugha ya confrontation ikawa imeingia nchini mwetu. Alichokizungumzia Padre Lwambano lilikuwa mioyoni mwa wengi maana tayari paliisha anza kutokea vikundi vya vijana wa kikristu ambao nao walikuwa tayari kupambana na hao ambao waliona wanatukana dini yao. Alikuwa anaonya, kama alivyosema huyu Sheriff wa Pima County, marekani kuwa vitriolic language zina consenquence zake. Na ni kutokana na mwamko huo wa kidini ndipo kilipojichotekeza kikundi cha waislamu wenye msimamo mkali na kutaka kuondoa uongozi wa msikiti wa Mwembechai wakidai kuwa hawana imani nao. Hawakuishia hapo bali waliwaonya kuwa wakiendelea kung'ang'ania nafasi zao watawacharaza bakora ( tukumbuke viongozi hao walikuwa watu wazima) na vitisho vingine hadi waachie ngazi. Ni uongozi huo ulioomba ulinzi na msaada kutoka kwa serikali ili yasiwakute ambayo waliahidiwa. Na askari kweli walienda na kuwakuta vijana wamejitayarisha kwa mapinduzi. Lakini kama tulivyoshuhudia Arusha na sehemu nyingine ( migomo ya wanafunzi), askari wetu hawajui njia zaidi ya mabavu. Ubabe huu ndio uliopelekea vurugu kutoka kwenye msikiti hadi mtaani ambako waliokuwemo na wasiokuwemo wakapata mkong'oto. Wengi kati ya waliojeruhiwa walikuwa wafanya biashara ndogo ndogo ambao sio wote walikuwa waislamu. Sasa katika hili, mlitaka Kadinali Pengo awaombe radhi waislamu kwa lipi? Kwa kuonya kuwa lugha inayotumiwa na baadhi yetu itatufikisha vibaya? Si alikuwa ana-state the obvious? na si tuna yaona hadi sasa ambapo kuna mpasuko mkubwa wa kidini katika jamii yetu? tumefika mahali ambapo tunakataa ku-sympathise na outrage ilionyeshwa na upande mmoja kwa vile tu ni wa dini nyingine!
Amandla.....
Asante Kikwete kwa Huduma nzuri za afya kila sehemu ya nchi hii.It shows your low level of thinking pathetic no wonder yule mwanamke mmoja (nadhani Jaydee) aliwahi kutukana JF imejaa wambeya kumbe nadeal na they likes of people who read tabloids Pathetic sasa ni misumari kwenda mbele nikikutana na wewe tukana mpaka uchoke but usije anga hizi utahama
Zomba ni kweli Kikwete ni kiongozi mzuri kwa sura nenda kanywe nae kahawa, mchapa kazi!!?? Kazi hipi? Kuhudhuria kwenye kuzindua makaburi au? Hiyo sentence yenye red nafikiri hukuwa unamaanisha acha masihara. Huyu JK sijui uwezo wake shuleni ulikuwaje napata wasiwasi sana.Kwa wakristo kutomtka Kikwete, nadhani lina ukweli ndani yake. Tazama hata humu JF, ni wakristo wangapi wanomponda Kikwete ingawa ni wazi kabisa kuwa Kikiwete ni kiongozi mzuri, mchapa kazi na ameifikisha mbali Tanzania katika miaka hii mitano.
Tatizo lingine kubwa ni maaskofu kuingilia siasa, na hii inaonyesha wazi kabisa na haipingiki. Wao, siasa ya nini?
I always like your threads and comments. Asante sana.Jamani udini huko wapi hapa!!! Aliyekataliwa kutambuliwa na maaskofu ni mkristo wala sio muislamu. Je angekuwa ni muislamu ingekuwaje???? Ni wapi maaskofu wa Arusha wametamka kwamba hawamtaki Kikwete kwa kuwa ni muislamu? Huu ni ujinga uliokithiri na kujaribu kutafuta mchawi wakati ukweli unajulikana!!! Hawa wanasahau kwamba ni kanisa hilo hilo liliowahi kutamka kwamba Kikwete ni chaguo la Mungu? Mbona waislamu hawakuipinga hiyo kauli? This sounds like cheap politics to me!!!
Tiba