umekosea jukwaa
Bakwata iliundwa kwa nia njema sana na serikali ya wakati huo ili kuweka mambo ya Waislam kwenye mstari.
Tutoe tathmini ya uwepo wake
1. Kijamii
2. Kisiasa
3. Kiuchumi
4. n.k
Tuje na recommendations ya nmna gani tuwe na BAKWATA bora kwa mujibu wa Uislam na ustawi wa amani wa Tanzania
Usiende huko...
Alipokufa Mtume Muhammad salalhu alayhi wasallam iliwachukua Waislamu siku tatu tu kuchagua Khalifa ili aungoze ummah.
Kitendo hiki kinatafsiriwa kuwa Waislamu haturuhusiwi kuishi bila ya Khalifah zaidi ya siku tatu.
Karibu wakati wote Waislamu wamekuwa wakiwa na kiongozi wa Ummah hadi takriban miaka tisini iliyopita pale makafir wakiongozwa na Uingereza walipoiangusha Ottoman Empire kupitia mikononi mwa wanafiki.
Sasa hivi makafiri hawaoni tatizo lolote kuripoti jinsi uchaguzi wa Papa unavyooendelea lakini Muislamu kutaja tu Khalifah basi tayari ataitwa gaidi, extremist, Islamist, Muwahabi ...
Thats so nonsense.
Nyerere laana ya mungu iwe juu yake huwa najiuliza sana kipi kilimsukuma ndan ya nafsi yake hadi kufikia kuagiza wanafiki na wachumia tumbo wake kina naseeb waanzishe chombo laanifu kama bakwata tena bila idhin ya waislam wenyewe ili kije kuratibu mambo ya waislam na uislam on behalf of his poor failed goverment?
Hivi mambo ya iman ya waislam yeye na serikali yake yanamuhusu nin?
You tell me...ni chombo gani serikali imekianzisha kwa minajili ya kuwacontrol wakristo ndan ya taifa hili.
I dont have such much ignorance.
I dont have such much stupidity.
I am not such dumb like you eti nikae hapa kudiscuss mustakabali wa bakwata kwangu mimi ili hali mimi nafaham in and out reason behind ya kuanzishwa chombo hiko.
Thanks god muslims community ndan ya nchi hii majority wameufaham ukweli na hiko chombo kitakufa natural death kana alivyokufa muasis wake NYERERE LAANATULLAH.
Kwa taarifa yako.Dini za kuletwa na majahazi... tatizo waafrika hawajitambui na ndio maana NAMDHARAU MUNGU ALIYEPANDISHWA JAHAZI NA KUJA KULETA UTUMWA NA UKOLONI HAPA AFRIKA.
Vipi mnaanza lini kupigana kwa ajili ya mungu wenu anayeabudiwa toka Mecca na Nazareti!!!!!!
Shida yenu wafia dini iko hapo. Hakuna haja ya kuwa na munkari kwa jambo jepesi namna hii kaka. Mwalimu Nyerere nia yake ilikuwa njema, lkn inahitaji ubongo makini kuelewa hilo.
Tukubaliane kwamba, all over the World, Uislam hauna HIERARCHY ya uongozi yenye kueleweka nje ya dola ya Kiislam. Namaanisha, hata Waislam wenyewe hawalijui lipi ni jukumu la nani kwenye masuala ya kiuongozi.
Hii dini haikuanzia hapa, imeletwa. Walioileta wana misimamo tofauti ya kiimani, sasa ulitaka nani awe mwakilishi wa Waislam ikiwa Sunnni hawawatambui Ishailia kuwa Waislam? Hebu chukulia mfn wa Kanisa Katoliki. Yajulikana wazi kuwa Askofu Mkuu wa Tanzania anaripoti kwa Pope, kwa hiyo jambo linalohitaji msimamo au kauli ya Kanisa basi linajulikana lipelekwe wapi.
Je, unaweza kunitajia makao makuu ya dini ya Kiislam? Na je, kuna makubaliano yanayoweza kusimama kwa upamoja kati ya Sunni, Shia, Ismailliya na Bohora kiasi kundi fulani liwe radhi kuwakilishwa na lingine ilhali lipo moja linalolishutumu lingine kuwa si Islamic?
Linapotokea jambo la kitaifa, nani katika Uislam anayo hadhi ya ngazi ya Askofu awasemee Waislamu nje ya BAKWATA?
You tell me...ni chombo gani serikali imekianzisha kwa minajili ya kuwacontrol wakristo ndan ya taifa hili.
Hakukuwa na haja ya hili, ROME does. Sasa je kwa Waislamu, Iran? Oman? Saudia? Iraq?
Utatukana mchana kutwa ndugu yangu lkn ukweli ni kwamba, kitu chochote kisicho na uongozi wa juu kabisa kina ugumu kukiendesha.
Lakini nia njema ya Alhaji Mwinyi na Alhaji Kikwete kuiendeleza Bakwata umeiona! Au ni sunna na ibada kumtukana JuliasNimesoma maoni yako hadi mwisho nikitaraji kuona hiyo nia njema uliyosema ya Nyerere kuanzisha Bakwata ila sijaona.
Dah?wewe william mtoto wa mzee Malechela ndio unamtukana mwalimu was stupid Leader? Haya mkuu..Hell yeah.
Nyerere was craizy leader kuwahi kutokea ndan ya taifa hili.
Ndan ya uongozi wake aliokaa madarakani he cultivated nothing zaid ya unafiki kwa wananchi wake.udini na uungu mtu uliokosa mashiko.
He was stupid kudhan kwamba angeishi milele.
Taifa hili limefikia hapa lilipo kwa kukosa misingi mibovu na unafiki wa yule mzee.
Ona leo jinamiz lake la ccm linavyoiangamiza nchi hii.
Nyerere laanatullah was a disgrace to this nation.
Kwa sasa hakuna Khalifah kama ulivyoashiria mwanzo kuwa Waislamu hawana wa kuwaunganisha.Huko ambako yuko Khalifah, ni wa Shiite au Sunni?
Yawezekana kulalamika ndio msingi wa imani yako, lkn jiulize Mufti Mkuu wa Tanzania anaripoti kwa nani? Na ikiwa Iran na Iraq ni Islamic States, kunashindikana nini hao Makhalifa kuongoza Uislam ukawa mmoja.
Hoja hapa ni kwa nini BAKWATA ilianzishwa. Mimi nikusaidie tu kufikiri ndugu yangu. Mwandamo wa mwezi nao unaingiliwa na makafiri? Maana zipo shutuma na kukejeliana kwingi baina yenu juu ya lini ni sikukuu ya Iddi ilhali mwezi ni mmoja. Sasa jijibu basi mwenyewe, ikiwa anatakiwa wa kuwawakilisha Waislamu kwenye jambo fulani nyeti, je atoke Jamii Islammiya, Kocni Muslims of Tanzania, Ahmaddiya, Ismailliya, Sunni, Snashil, Shiite au nani?
Usiniambie kwamba Mwalimu Nyerere amewakataza hata Wairan kuwa na Khalifa
Tatizo ni hujuma za makafiri.My Brother,duniani Kote Matatizo Ya Waislamu Yanafanana.Hata Nchi Zinazojiita Za Kiislamu Kuna Matatizo.Shida Ni Uslamu Ni Disorganized.Hata Kama Kukiwa Na Mamlaka Iliyochaguliwa Kwa Kura,bado Kuna Watu Wataipinga.Hakuna Msingi Mkuu Wa Kuunganisha Watu.Wale Waliouza Eneo La Waislamu Chang'ombe Si Waislamu?Wamechukuliwa Hatua Gani?Lazima Muwe Na Lengo,lengo Lisiwe Kutetea Waislamu Kwa Kuwa Hakuna Anayewaonea Ila Ni Kutojiamini Na Hii Ni Duniani Kote.Hii Ni Xenophobia.Islam Is A Culture,ndio Maana Ni Ngumu Uislam Ku-coexist Na
Dini za kuletwa na majahazi... tatizo waafrika hawajitambui na ndio maana NAMDHARAU MUNGU ALIYEPANDISHWA JAHAZI NA KUJA KULETA UTUMWA NA UKOLONI HAPA AFRIKA.
Vipi mnaanza lini kupigana kwa ajili ya mungu wenu anayeabudiwa toka Mecca na Nazareti!!!!!!
hahahaaaaaa BRING HIM HERE AND I WILL DEFEAT HIM
My Brother,duniani Kote Matatizo Ya Waislamu Yanafanana.Hata Nchi Zinazojiita Za Kiislamu Kuna Matatizo.Shida Ni Uslamu Ni Disorganized.Hata Kama Kukiwa Na Mamlaka Iliyochaguliwa Kwa Kura,bado Kuna Watu Wataipinga.Hakuna Msingi Mkuu Wa Kuunganisha Watu.Wale Waliouza Eneo La Waislamu Chang'ombe Si Waislamu?Wamechukuliwa Hatua Gani?Lazima Muwe Na Lengo,lengo Lisiwe Kutetea Waislamu Kwa Kuwa Hakuna Anayewaonea Ila Ni Kutojiamini Na Hii Ni Duniani Kote.Hii Ni Xenophobia.Islam Is A Culture,ndio Maana Ni Ngumu Uislam Ku-coexist Na Imani Nyingine Bila Misuguano.Hili Hatuwezi Kulibadili Mpaka Tukubali Kuchanganyika Na Wengine Na Kukubali Mawazo Yao
Ndugu yangu bandiko lako lathibitisha kabisa kuwa una dhamira njema lkn hauko well informed. Kwa kifupi ni kuwa Bakwata ilikuwa ivunjwe na Rais Mwinyi. Lkn siku chache kabla ya kufanya hivyo alipokea maagizo makali sana yaliyofanya hiyo ndoto ipotee. Zaidi, liliwezekana jambo moja tu ambalo kiukweli kwa sasa linaidhoofisha bakwata na INSHAALLAH itakufa kabisa. Na huyu wa sasa pia ameshindwa kuivunja na ameamua kukaa kimya tu.
Uongozi ktk uislam ni suala la elimu, hekma busara, uchamungu; naomba fuatilia elimu ya dini ya sheikh mkuu wa Bakwata halafu uje utupe jibu. Lakini kubwa kuliko yote, tunaomba fuatilia uchaguzi wa Bakwata unafanyikaje? Nani anatoa hela za uchaguzi wa Bakwata? Na Bakwata wenyewe wale viongozi wake wanalipwa na nani? Natarajia ufanye "rethinking" ya uchambuzi wako.