Shida yenu wafia dini iko hapo. Hakuna haja ya kuwa na munkari kwa jambo jepesi namna hii kaka. Mwalimu Nyerere nia yake ilikuwa njema, lkn inahitaji ubongo makini kuelewa hilo.
Tukubaliane kwamba, all over the World, Uislam hauna HIERARCHY ya uongozi yenye kueleweka nje ya dola ya Kiislam. Namaanisha, hata Waislam wenyewe hawalijui lipi ni jukumu la nani kwenye masuala ya kiuongozi.
Hii dini haikuanzia hapa, imeletwa. Walioileta wana misimamo tofauti ya kiimani, sasa ulitaka nani awe mwakilishi wa Waislam ikiwa Sunnni hawawatambui Ishailia kuwa Waislam? Hebu chukulia mfn wa Kanisa Katoliki. Yajulikana wazi kuwa Askofu Mkuu wa Tanzania anaripoti kwa Pope, kwa hiyo jambo linalohitaji msimamo au kauli ya Kanisa basi linajulikana lipelekwe wapi.
Je, unaweza kunitajia makao makuu ya dini ya Kiislam? Na je, kuna makubaliano yanayoweza kusimama kwa upamoja kati ya Sunni, Shia, Ismailliya na Bohora kiasi kundi fulani liwe radhi kuwakilishwa na lingine ilhali lipo moja linalolishutumu lingine kuwa si Islamic?
Linapotokea jambo la kitaifa, nani katika Uislam anayo hadhi ya ngazi ya Askofu awasemee Waislamu nje ya BAKWATA?
You tell me...ni chombo gani serikali imekianzisha kwa minajili ya kuwacontrol wakristo ndan ya taifa hili.
Hakukuwa na haja ya hili, ROME does. Sasa je kwa Waislamu, Iran? Oman? Saudia? Iraq?
Utatukana mchana kutwa ndugu yangu lkn ukweli ni kwamba, kitu chochote kisicho na uongozi wa juu kabisa kina ugumu kukiendesha.
Sikia wewe kafiri.
Na hilo neno kafiri excuse my language siyo tusi.ni mtu asieamin uwepo wa mungu mmoja muumba wa mbingu na ardhi na asieamin kuwa muhammad na jesus na musa na ibrahim na n.k kuwa ni mitume wa mungu.huyo ni kafir.
Sasa sikiliza nikujuze.
Sisi waislam hatuabudu mnachokiabudu nyinyi.
Wala nyinyi makafir hamuabudu kile tunachokiabudu sisi.
Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu.
Nyerere laana ya mungu iwe juu yake alipopewa mamlaka ya kuongoza taifa hili hakupewa mamlaka had ya kuwapangia watu mustakabali wa iman zao na mungu wao.
Yeye nyerere alikuwa kafir tuh and in this very moment yuko jehannam anaungua vizur sana.
Sisi waislam hatuwez na hatutokuja kuwa km nyiny eti mna kiongozi wenu mkuu ambae anaamua kwa utashi wake kumodify maandiko matakatifu na kukaa vikao kuwaamulia either muwe mashoga au msiwe...hilo kwetu sisi halipo.
Sisi kiongoz wetu ni muhammad rehma na aman ziwe juu yake.
Hata km hiv sasa hayupo ulimwenguni ila alipoondoka alituachia mwongozo ambao ni qur an na hadith za maisha yake.
Huyo nyerere wako km kweli alikuwa ana nia na haja kweli ya kuwaunganisha waislm kwa kutumia chombo kimoja basi angefuata utaratibu wa kuwaomba ridhaa waislam wenyewe.
Na sio kuanzisha tuh eti kwa kuwa yeye ni Rais au kwa kuwa kanisa katoliki limemtuma.
Aibu sasa ipo juu yake na huko jehanam anakoungua.
Bakwata imepuuzwa km alivyopuuzwa yeye.
Ushahid ni huu tunaouona hivi sasa chombo cha waislam KINATETEWA NA KULILIWA MACHOZI NA MAKAFIRI KAMA NYINYI TEH TEH TEH.
MAAJABU KWELI KWELI HAYA.
ETI KAFIR LEO ANAITUKUZA NA KUIONA BAKWATA MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA UISLAM KUSHINDA MUISLAM MWENYEWE.
VIPI UMEIPENDA EEEH??
ICHUKUE TU MKUU HIYO BAKWATA...HAKUNA UBAYA MUASISI NI YULE MKATOLIKI MWENZAKO.
SISI HATUNA SHIDA NAYO.
INFACT HATA ANGEUNDA BAKWATA MILLION MOJA NDAN YA TAIFA HILI NYERERE LAANATULLAH ASINGEFANIKIWA KUWATENZA NGUVU WAISLAM NA KUUMALIZA UISLAM.
KAFA ZAKE YEYE NA YUKO MOTONI UISLAM UPO TU UNADUNDA MWENDO MDUNDO.