BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani

Kinachotakiwa ni kwa waislamu wenyewe kuchukua hatua za lazima kung'oa viongozi waliopo na kuweka watakaofanya mapinduzi ya kiuchumi na kielimu katika jamii ya waislamu
 
Bakwata iliundwa kwa nia njema sana na serikali ya wakati huo ili kuweka mambo ya Waislam kwenye mstari.

Tutoe tathmini ya uwepo wake
1. Kijamii
2. Kisiasa
3. Kiuchumi
4. n.k

Tuje na recommendations ya namna gani tuwe na BAKWATA bora kwa mujibu wa Uislam na ustawi wa amani wa Tanzania
 
Bakwata iliundwa kwa nia njema na serikali...?

Nilifikiri vyombo vya kidini viundwe na wanaDINI wenyewe(may be nimechanganyikiwa)
 
Muweke huru sheikh Ponda ndio alete ukweli....kashikwa mdomo then mnataka mawazo huru, how?
 
Hapa si mahala pa kujadili mambo ya dini ni jukwaa la siasa
 
Waislam wengi hawalipendi BAKWATA kwasababu halina muenendo wa Jihad!! Ingawa, BAKWATA inaweza ku chombo kizuri kwa Wailsam kama wataachana na Ushia na Usunni. Wengine wanadai kuwa, Bakwata ni chombo cha Wakristo kilicho anzishwa na Rais wetu wa Kwanza Mwalimu Julius Nyerere.
 
Bakwata iliundwa kwa nia njema sana na serikali ya wakati huo ili kuweka mambo ya Waislam kwenye mstari.

Tutoe tathmini ya uwepo wake
1. Kijamii
2. Kisiasa
3. Kiuchumi
4. n.k

Tuje na recommendations ya nmna gani tuwe na BAKWATA bora kwa mujibu wa Uislam na ustawi wa amani wa Tanzania

Thats so nonsense.

Nyerere laana ya mungu iwe juu yake huwa najiuliza sana kipi kilimsukuma ndan ya nafsi yake hadi kufikia kuagiza wanafiki na wachumia tumbo wake kina naseeb waanzishe chombo laanifu kama bakwata tena bila idhin ya waislam wenyewe ili kije kuratibu mambo ya waislam na uislam on behalf of his poor failed goverment?

Hivi mambo ya iman ya waislam yeye na serikali yake yanamuhusu nin?

You tell me...ni chombo gani serikali imekianzisha kwa minajili ya kuwacontrol wakristo ndan ya taifa hili.

I dont have such much ignorance.

I dont have such much stupidity.

I am not such dumb like you eti nikae hapa kudiscuss mustakabali wa bakwata kwangu mimi ili hali mimi nafaham in and out reason behind ya kuanzishwa chombo hiko.

Thanks god muslims community ndan ya nchi hii majority wameufaham ukweli na hiko chombo kitakufa natural death kana alivyokufa muasis wake NYERERE LAANATULLAH.
 
Bakwata iliundwa kwa nia njema na serikali...?

Nilifikiri vyombo vya kidini viundwe na wanaDINI wenyewe(may be nimechanganyikiwa)

Hell yeah.

Nyerere was craizy leader kuwahi kutokea ndan ya taifa hili.

Ndan ya uongozi wake aliokaa madarakani he cultivated nothing zaid ya unafiki kwa wananchi wake.udini na uungu mtu uliokosa mashiko.

He was stupid kudhan kwamba angeishi milele.

Taifa hili limefikia hapa lilipo kwa kukosa misingi mibovu na unafiki wa yule mzee.

Ona leo jinamiz lake la ccm linavyoiangamiza nchi hii.

Nyerere laanatullah was a disgrace to this nation.
 
Bakwata haiwezi kuwa chombo kizuri hata siku moja coz ilikuwa na malengo mabaya kwa waislam so km vp waachwe waislam waunde wenyewe chombo ambacho kitatetea uislam na serikali isikilize kauli za waislam na sio waislam wachache
 
Thats so nonsense.

Nyerere laana ya mungu iwe juu yake huwa najiuliza sana kipi kilimsukuma ndan ya nafsi yake hadi kufikia kuagiza wanafiki na wachumia tumbo wake kina naseeb waanzishe chombo laanifu kama bakwata tena bila idhin ya waislam wenyewe ili kije kuratibu mambo ya waislam na uislam on behalf of his poor failed goverment?

Hivi mambo ya iman ya waislam yeye na serikali yake yanamuhusu nin?

You tell me...ni chombo gani serikali imekianzisha kwa minajili ya kuwacontrol wakristo ndan ya taifa hili.

I dont have such much ignorance.

I dont have such much stupidity.

I am not such dumb like you eti nikae hapa kudiscuss mustakabali wa bakwata kwangu mimi ili hali mimi nafaham in and out reason behind ya kuanzishwa chombo hiko.

Thanks god muslims community ndan ya nchi hii majority wameufaham ukweli na hiko chombo kitakufa natural death kana alivyokufa muasis wake NYERERE LAANATULLAH.

Shida yenu wafia dini iko hapo. Hakuna haja ya kuwa na munkari kwa jambo jepesi namna hii kaka. Mwalimu Nyerere nia yake ilikuwa njema, lkn inahitaji ubongo makini kuelewa hilo.

Tukubaliane kwamba, all over the World, Uislam hauna HIERARCHY ya uongozi yenye kueleweka nje ya dola ya Kiislam. Namaanisha, hata Waislam wenyewe hawalijui lipi ni jukumu la nani kwenye masuala ya kiuongozi.

Hii dini haikuanzia hapa, imeletwa. Walioileta wana misimamo tofauti ya kiimani, sasa ulitaka nani awe mwakilishi wa Waislam ikiwa Sunnni hawawatambui Ishailia kuwa Waislam? Hebu chukulia mfn wa Kanisa Katoliki. Yajulikana wazi kuwa Askofu Mkuu wa Tanzania anaripoti kwa Pope, kwa hiyo jambo linalohitaji msimamo au kauli ya Kanisa basi linajulikana lipelekwe wapi.

Je, unaweza kunitajia makao makuu ya dini ya Kiislam? Na je, kuna makubaliano yanayoweza kusimama kwa upamoja kati ya Sunni, Shia, Ismailliya na Bohora kiasi kundi fulani liwe radhi kuwakilishwa na lingine ilhali lipo moja linalolishutumu lingine kuwa si Islamic?

Linapotokea jambo la kitaifa, nani katika Uislam anayo hadhi ya ngazi ya Askofu awasemee Waislamu nje ya BAKWATA?

Hakukuwa na haja ya hili, ROME does. Sasa je kwa Waislamu, Iran? Oman? Saudia? Iraq?

Utatukana mchana kutwa ndugu yangu lkn ukweli ni kwamba, kitu chochote kisicho na uongozi wa juu kabisa kina ugumu kukiendesha.
 
polepole kaka nakusoma tartiiiiiibu kabisa
 
Muweke huru sheikh Ponda ndio alete ukweli....kashikwa mdomo then mnataka mawazo huru, how?

Sasa sheikh Ponda na Bakwata wapi na wapi? Tunatathmini uwepo wa Bakwata kiuchumi kijamii na kisiasa.
 
Shida yenu wafia dini iko hapo. Hakuna haja ya kuwa na munkari kwa jambo jepesi namna hii kaka. Mwalimu Nyerere nia yake ilikuwa njema, lkn inahitaji ubongo makini kuelewa hilo.

Tukubaliane kwamba, all over the World, Uislam hauna HIERARCHY ya uongozi yenye kueleweka nje ya dola ya Kiislam. Namaanisha, hata Waislam wenyewe hawalijui lipi ni jukumu la nani kwenye masuala ya kiuongozi.

Hii dini haikuanzia hapa, imeletwa. Walioileta wana misimamo tofauti ya kiimani, sasa ulitaka nani awe mwakilishi wa Waislam ikiwa Sunnni hawawatambui Ishailia kuwa Waislam? Hebu chukulia mfn wa Kanisa Katoliki. Yajulikana wazi kuwa Askofu Mkuu wa Tanzania anaripoti kwa Pope, kwa hiyo jambo linalohitaji msimamo au kauli ya Kanisa basi linajulikana lipelekwe wapi.

Je, unaweza kunitajia makao makuu ya dini ya Kiislam? Na je, kuna makubaliano yanayoweza kusimama kwa upamoja kati ya Sunni, Shia, Ismailliya na Bohora kiasi kundi fulani liwe radhi kuwakilishwa na lingine ilhali lipo moja linalolishutumu lingine kuwa si Islamic?

Linapotokea jambo la kitaifa, nani katika Uislam anayo hadhi ya ngazi ya Askofu awasemee Waislamu nje ya BAKWATA?

You tell me...ni chombo gani serikali imekianzisha kwa minajili ya kuwacontrol wakristo ndan ya taifa hili.

Hakukuwa na haja ya hili, ROME does. Sasa je kwa Waislamu, Iran? Oman? Saudia? Iraq?

Utatukana mchana kutwa ndugu yangu lkn ukweli ni kwamba, kitu chochote kisicho na uongozi wa juu kabisa kina ugumu kukiendesha.

Mkuu hii busara ni ya kiwango cha juu sana. Endelea kuleta Ilim.
Nina maswali kwako,
Mchango positive wa Bakwata kwa jamii ni upi?
 
Hell yeah.

Nyerere was craizy leader kuwahi kutokea ndan ya taifa hili.

Ndan ya uongozi wake aliokaa madarakani he cultivated nothing zaid ya unafiki kwa wananchi wake.udini na uungu mtu uliokosa mashiko.

He was stupid kudhan kwamba angeishi milele.

Taifa hili limefikia hapa lilipo kwa kukosa misingi mibovu na unafiki wa yule mzee.

Ona leo jinamiz lake la ccm linavyoiangamiza nchi hii.

Nyerere laanatullah was a disgrace to this nation.

Kwa hiyo tungepata misingi mibovu tungeendelea? Fine with you!

Labda nikukumbushe faida za kujitambua. Unapozungumziwa Uhuru wa Tanganyika, baadhi yenu hamuishi kusema kuwa ulianzia MISIKITINI, na hapo utaorodheshewa majina ya Maalim walioshirikiana na Mwalimu Nyerere kuupigania. Ulipopatikana, bila shaka Mwalimu aliona umuhimu wa DINI kama taasisi ktk harakati za kijamii. Swali ni Je, ni muislamu wa dhehebu lipi anapaswa kuwawakilisha Waislam wa Tanzania (ambao ni mchanganyiko) na wote wakaridhika?
 
Bakwata haiwezi kuwa chombo kizuri hata siku moja coz ilikuwa na malengo mabaya kwa waislam so km vp waachwe waislam waunde wenyewe chombo ambacho kitatetea uislam na serikali isikilize kauli za waislam na sio waislam wachache

Mkuu nimezunguka nchi hii nimeona kwa wingi zahabati na hospitali za Bakwata. Pale Nzega ipo hospitali ya Bakwata inayohudumia watu wa dini, rangi na makabila yote. Tanga zipo nyingi, Kigoma zipo, Mwanza zipo, Morogoro zipo. Huo ni mchango mmojawapo tu wa Bakwata. Sasa tuyatazame haya kwa sura chanya na tu identify challenges
 
Mkuu hii busara ni ya kiwango cha juu sana. Endelea kuleta Ilim.
Nina maswali kwako,
Mchango positive wa Bakwata kwa jamii ni upi?

Yawezekana ipo mingi, lkn mimi kama mtu mmoja ninaona machache.

Amani kati ya Waislam wao kwa wao ni jambo gumu, najua wengi mtakataa lkn mkitafakari mtakubali. Ni ngumu sana leo hii Rais wa nchi leo aseme Waislam leteni mwakilishi wenu ktk ABC halafu hilo lipite bila mikwaruzano. Usiniambie hujawahi kusikia MSIKITI A unausemea vibaya MSIKITI B sababu ya imani kupishana. Mimi naona hayo ni mafanikio kwa jamii.

Nje ya BAKWATA hakutakuwa na Waislamu, sana sana kutakuwa na VIKUNDI vya KIISLAMU vyenye kupishana kiitikadi, sikukuu za Kiislamu na miandamo ya mwezi nayo ina ligi yake au na hilo limejificha mkuu?

Labda niseme hivi, sio UISLAM tu. Hata Makanisa ya leo haya yenye majina ya watu yana matatizo hayo hayo. Inapokuwa hakuna uongozi wa juu wa taasisi fulani, migongano haikosekani.
 
yawezekana ipo mingi, lkn mimi kama mtu mmoja ninaona machache.

Amani kati ya waislam wao kwa wao ni jambo gumu, najua wengi mtakataa lkn mkitafakari mtakubali. Ni ngumu sana leo hii rais wa nchi leo aseme waislam leteni mwakilishi wenu ktk abc halafu hilo lipite bila mikwaruzano. Usiniambie hujawahi kusikia msikiti a unausemea vibaya msikiti b sababu ya imani kupishana. Mimi naona hayo ni mafanikio kwa jamii.

Nje ya bakwata hakutakuwa na waislamu, sana sana kutakuwa na vikundi vya kiislamu vyenye kupishana kiitikadi, sikukuu za kiislamu na miandamo ya mwezi nayo ina ligi yake au na hilo limejificha mkuu?

Labda niseme hivi, sio uislam tu. Hata makanisa ya leo haya yenye majina ya watu yana matatizo hayo hayo. Inapokuwa hakuna uongozi wa juu wa taasisi fulani, migongano haikosekani.

the big show
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom