BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani

Wakati mwingine huwa naona waislam wenyewe ndo wanafiki wa kiwango kisichoelezeka.

Ni upumbavu kuendelea kumlalamikia Nyerere na serikali yake kuunda BAKWATA ilhali tuna awamu mbili sasa zikiwa chini ya waislamu.

Mmeshindwaje kuivunja sasa wakati haina masilahi kwenu au Kikwete na Mwinyi hawalijui hili?

Hivi sasa mnadai mahakama ya kadhi ianzishwe na serikali ilhali mnaitukana serikali ya Nyerere kuanzisha BAKWATA eti kwa nini ilijihusisha na mambo yasiyoihusu huu ni ujuha.

Ukipata mtu ama mfumo wa kuulalamikia kila changamoto zinapokukabili na wala hujishughulishi kuzitatua then utabaki hivyo maisha yako yote.

Tuseme Nyerere ni mdini ndo maana alianzisha BAKWATA ili kuwakandamiza waislamu FINE!!

Sasa mmeshindwaje kuivunja? Achilia mbali kung'atuka Nyerere kesha kufa kabisa lakini kelele bado hizo hizo tu eti Nyerere kaanzisha.

WHO IS NYERERE??? Mbona mambo kibao tu aliyoyaanzisha hatunayo tena why not BAKWATA?

Mbaya zaidi,hata Ph.D holders na Professors(Muslims) wa nchi hii bado wanamlalamikia Nyerere!!!​
 
Bakwata iliundwa kwa nia njema na serikali...?

Nilifikiri vyombo vya kidini viundwe na wanaDINI wenyewe(may be nimechanganyikiwa)

sasa mbona kadhi mnataka muundiwe,?
 
Kasome kitabu the partner ship cha jumbe utaijua bakwata ya nani kasome kitabu cha mohamed said nyakati za abdulwahid syks utajua ingia youtyubu mcheki shekh ilunga atakupa majibu ya bakwata ni ya nani
 
Kwa hiyo waislam mnasubilia Nyerere aje aivunje hiyo bakwata? Hebu jiongezeni jamani muifute hiyo bakwata Nyerere muanzishe mnavyotaka ili maisha yasonge. Au napo iundwe tume? Basi fanyeni hivyo kwa manufaa ya wote tafadhari
 
Hell yeah.

Nyerere was craizy leader kuwahi kutokea ndan ya taifa hili.

Ndan ya uongozi wake aliokaa madarakani he cultivated nothing zaid ya unafiki kwa wananchi wake.udini na uungu mtu uliokosa mashiko.

He was stupid kudhan kwamba angeishi milele.

Taifa hili limefikia hapa lilipo kwa kukosa misingi mibovu na unafiki wa yule mzee.

Ona leo jinamiz lake la ccm linavyoiangamiza nchi hii.

Nyerere laanatullah was a disgrace to this nation.

Stupid guy, unajitia ujinga mpaka huwezi kujua unacho kiandika kina maana gani?
 
Tukubaliane kwamba, all over the World, Uislam hauna HIERARCHY ya uongozi yenye kueleweka nje ya dola ya Kiislam. Namaanisha, hata Waislam wenyewe hawalijui lipi ni jukumu la nani kwenye masuala ya kiuongozi.

Hii dini haikuanzia hapa, imeletwa. Walioileta wana misimamo tofauti ya kiimani, sasa ulitaka nani awe mwakilishi wa Waislam ikiwa Sunnni hawawatambui Ishailia kuwa Waislam? Hebu chukulia mfn wa Kanisa Katoliki. Yajulikana wazi kuwa Askofu Mkuu wa Tanzania anaripoti kwa Pope, kwa hiyo jambo linalohitaji msimamo au kauli ya Kanisa basi linajulikana lipelekwe wapi.

Je, unaweza kunitajia makao makuu ya dini ya Kiislam? Na je, kuna makubaliano yanayoweza kusimama kwa upamoja kati ya Sunni, Shia, Ismailliya na Bohora kiasi kundi fulani liwe radhi kuwakilishwa na lingine ilhali lipo moja linalolishutumu lingine kuwa si Islamic?

Linapotokea jambo la kitaifa, nani katika Uislam anayo hadhi ya ngazi ya Askofu awasemee Waislamu nje ya BAKWATA?

Utatukana mchana kutwa ndugu yangu lkn ukweli ni kwamba, kitu chochote kisicho na uongozi wa juu kabisa kina ugumu kukiendesha.
Usiende huko...
Alipokufa Mtume Muhammad salalhu alayhi wasallam iliwachukua Waislamu siku tatu tu kuchagua Khalifa ili aungoze ummah.

Kitendo hiki kinatafsiriwa kuwa Waislamu haturuhusiwi kuishi bila ya Khalifah zaidi ya siku tatu.

Karibu wakati wote Waislamu wamekuwa wakiwa na kiongozi wa Ummah hadi takriban miaka tisini iliyopita pale makafir wakiongozwa na Uingereza walipoiangusha Ottoman Empire kupitia mikononi mwa wanafiki.

Sasa hivi makafiri hawaoni tatizo lolote kuripoti jinsi uchaguzi wa Papa unavyooendelea lakini Muislamu kutaja tu Khalifah basi tayari ataitwa gaidi, extremist, Islamist, Muwahabi ...
 
Bakwata ni jumuiya ya ccm.Haina maslahi kwa waislam hata kidogo.Taasisi haina mbele wala nyuma!yatakiwa ifanyike mapinduzi kama yale ya kuua FAT na kuunda TFF
 
Hell yeah.

Nyerere was craizy leader kuwahi kutokea ndan ya taifa hili.

Ndan ya uongozi wake aliokaa madarakani he cultivated nothing zaid ya unafiki kwa wananchi wake.udini na uungu mtu uliokosa mashiko.

He was stupid kudhan kwamba angeishi milele.

Taifa hili limefikia hapa lilipo kwa kukosa misingi mibovu na unafiki wa yule mzee.

Ona leo jinamiz lake la ccm linavyoiangamiza nchi hii.

Nyerere laanatullah was a disgrace to this nation.

hivyo vitabu vyenu vya manyema na mtoro ndio vimekuharibu.
 
Kwani BAKWATA Nyerere aliiweka kwenye katiba ya nchi mpaka iwe vigumu kuibadilisha. Mwinyi amekaa miaka 10 Ikulu amebadilisha karibu mambo yote ya msingi aliyoanzisha Mwalimu, nani alimzuia kubadilisha bakwata?

Alhaji Kikwete anatawala wakati Mwalimu alikufa zamani, makamu wake na mkuu idara ya usalama ni imani moja, nani anayemtisha asiibadili Bakwata?
 
Wakati mwingine huwa naona waislam wenyewe ndo wanafiki wa kiwango kisichoelezeka.

Ni upumbavu kuendelea kumlalamikia Nyerere na serikali yake kuunda BAKWATA ilhali tuna awamu mbili sasa zikiwa chini ya waislamu.

Mmeshindwaje kuivunja sasa wakati haina masilahi kwenu au Kikwete na Mwinyi hawalijui hili?

Hivi sasa mnadai mahakama ya kadhi ianzishwe na serikali ilhali mnaitukana serikali ya Nyerere kuanzisha BAKWATA eti kwa nini ilijihusisha na mambo yasiyoihusu huu ni ujuha.

Ukipata mtu ama mfumo wa kuulalamikia kila changamoto zinapokukabili na wala hujishughulishi kuzitatua then utabaki hivyo maisha yako yote.

Tuseme Nyerere ni mdini ndo maana alianzisha BAKWATA ili kuwakandamiza waislamu FINE!!

Sasa mmeshindwaje kuivunja? Achilia mbali kung'atuka Nyerere kesha kufa kabisa lakini kelele bado hizo hizo tu eti Nyerere kaanzisha.

WHO IS NYERERE??? Mbona mambo kibao tu aliyoyaanzisha hatunayo tena why not BAKWATA?

Mbaya zaidi,hata Ph.D holders na Professors(Muslims) wa nchi hii bado wanamlalamikia Nyerere!!!​
Ndugu yangu bandiko lako lathibitisha kabisa kuwa una dhamira njema lkn hauko well informed. Kwa kifupi ni kuwa Bakwata ilikuwa ivunjwe na Rais Mwinyi. Lkn siku chache kabla ya kufanya hivyo alipokea maagizo makali sana yaliyofanya hiyo ndoto ipotee. Zaidi, liliwezekana jambo moja tu ambalo kiukweli kwa sasa linaidhoofisha bakwata na INSHAALLAH itakufa kabisa. Na huyu wa sasa pia ameshindwa kuivunja na ameamua kukaa kimya tu.

Uongozi ktk uislam ni suala la elimu, hekma busara, uchamungu; naomba fuatilia elimu ya dini ya sheikh mkuu wa Bakwata halafu uje utupe jibu. Lakini kubwa kuliko yote, tunaomba fuatilia uchaguzi wa Bakwata unafanyikaje? Nani anatoa hela za uchaguzi wa Bakwata? Na Bakwata wenyewe wale viongozi wake wanalipwa na nani? Natarajia ufanye "rethinking" ya uchambuzi wako.
 
Dini za kuletwa na majahazi... tatizo waafrika hawajitambui na ndio maana NAMDHARAU MUNGU ALIYEPANDISHWA JAHAZI NA KUJA KULETA UTUMWA NA UKOLONI HAPA AFRIKA.
Vipi mnaanza lini kupigana kwa ajili ya mungu wenu anayeabudiwa toka Mecca na Nazareti!!!!!!
hahahaaaaaa BRING HIM HERE AND I WILL DEFEAT HIM
 
Shida yenu wafia dini iko hapo. Hakuna haja ya kuwa na munkari kwa jambo jepesi namna hii kaka. Mwalimu Nyerere nia yake ilikuwa njema, lkn inahitaji ubongo makini kuelewa hilo.

Tukubaliane kwamba, all over the World, Uislam hauna HIERARCHY ya uongozi yenye kueleweka nje ya dola ya Kiislam. Namaanisha, hata Waislam wenyewe hawalijui lipi ni jukumu la nani kwenye masuala ya kiuongozi.

Hii dini haikuanzia hapa, imeletwa. Walioileta wana misimamo tofauti ya kiimani, sasa ulitaka nani awe mwakilishi wa Waislam ikiwa Sunnni hawawatambui Ishailia kuwa Waislam? Hebu chukulia mfn wa Kanisa Katoliki. Yajulikana wazi kuwa Askofu Mkuu wa Tanzania anaripoti kwa Pope, kwa hiyo jambo linalohitaji msimamo au kauli ya Kanisa basi linajulikana lipelekwe wapi.

Je, unaweza kunitajia makao makuu ya dini ya Kiislam? Na je, kuna makubaliano yanayoweza kusimama kwa upamoja kati ya Sunni, Shia, Ismailliya na Bohora kiasi kundi fulani liwe radhi kuwakilishwa na lingine ilhali lipo moja linalolishutumu lingine kuwa si Islamic?

Linapotokea jambo la kitaifa, nani katika Uislam anayo hadhi ya ngazi ya Askofu awasemee Waislamu nje ya BAKWATA?

You tell me...ni chombo gani serikali imekianzisha kwa minajili ya kuwacontrol wakristo ndan ya taifa hili.

Hakukuwa na haja ya hili, ROME does. Sasa je kwa Waislamu, Iran? Oman? Saudia? Iraq?

Utatukana mchana kutwa ndugu yangu lkn ukweli ni kwamba, kitu chochote kisicho na uongozi wa juu kabisa kina ugumu kukiendesha.

Nimesoma maoni yako hadi mwisho nikitaraji kuona hiyo nia njema uliyosema ya Nyerere kuanzisha Bakwata ila sijaona.
 
Bakwata iliundwa kwa nia njema sana na serikali ya wakati huo ili kuweka mambo ya Waislam kwenye mstari.

Tutoe tathmini ya uwepo wake
1. Kijamii
2. Kisiasa
3. Kiuchumi
4. n.k

Tuje na recommendations ya nmna gani tuwe na BAKWATA bora kwa mujibu wa Uislam na ustawi wa amani wa Tanzania

Sina hakika Bakwata ilianzishwa na nani. Lakini naamini ni taasisi ambayo uwepo wake una athari (effect) katika jamii. Uchunguzi wangu binafsi unaonesha Bakwata ina mapungufu makubwa mno ya kisera, kimkakati, na kimenegement. But tatizo kubwa zaidi la Bakwata na viongozi wake hawafahamu kabisa kama wana matatizo hayo! Hivyo suala la kujinasua kuwa usiku wa kiza kinene. Tuendelee kujadiliana....
 
Mungu ibariki Bakwata , Mungu wabariki viongozi wake , uwaongezee busara waendelee kuheshimu binadamu wengine wenye tofauti ya imani na wao.
 
Dini za kuletwa na majahazi... tatizo waafrika hawajitambui na ndio maana NAMDHARAU MUNGU ALIYEPANDISHWA JAHAZI NA KUJA KULETA UTUMWA NA UKOLONI HAPA AFRIKA.
Vipi mnaanza lini kupigana kwa ajili ya mungu wenu anayeabudiwa toka Mecca na Nazareti!!!!!!
hahahaaaaaa BRING HIM HERE AND I WILL DEFEAT HIM

Ndiyo nini sasa!
 
Back
Top Bottom